Nina matatizo makubwa sana, umri wangu ni miaka 30, nimeolewa lakini sijabahatika kupata mtoto, kwani nikiwa Kidato cha 4 nilifanyiwa oparesheni ya uvimbe, niliporeje home mama akaniambia huku akilia kuwa daktari kasema siwezi kupata ujauzito kwa njia ya kawaida kwani ule mrija wa kupitisha...
Wakubwa shikamoon
Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.
Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Neno linasema, "NIITE NAMI NITAKUITIKIA, NAMI NITAKUONYESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU USIYOYAJUA."
Neno la Mungu katika kitabu cha YEREMIA linatuonesha kwamba nabii Yeremia alikuwa mfungwa wakati huo.
Alikuwa amefungwa ndani ya uwanda wa walinzi, uliokuwa katika nyumba ya mfalme wa Yuda na wakati...
Zinaelekea siku 80 sasa tangu tupokee boom la 2.
Kwa kawaida boom tunapokea ndani ya siku 60 hadi 70.
Kuchelewesha boom la 3 kiasi hiki bila taarifa yoyote kunawaweka wanafunzi wengi kwenye wakati mgumu.
Naomba kuwasilisha.
Mimi ni Mchaga kwa asili, japo nilizaliwa Same na kukulia kijiji cha Same. Nimekulia kwenye familia ya kawaida sana ya wakulima na wafugaji. Utoto wangu haukuwa wa anasa wala uhuru mkubwa kama watoto wengi wa sasa. Maisha yetu yalijengwa kwenye kanuni, utaratibu na nidhamu kali sana. Mtu...
"Kwa hiyo nikifariki malaika wawili watakuja kwenye kaburi langu na kuanza kuniuliza maswali kwa Kiarabu. Ikiwa nitashindwa kuelewa, watanitesa kijana wa kiYoruba kwa sababu tu ya kushindwa kuelewa Kiarabu kaburini? 😂"
Huyu kiongozi wetu, ZCC wa Kanda ya Ziwa, amekuwa kero kubwa sana kwa wafanyakazi wote wa TFS hapa! Moyo wangu unawaka kwa huzuni na hasira wakati nikiandika hili, kwa sababu juhudi zetu zote za kuitumikia taifa na kuhifadhi misitu yetu zinadhalilishwa na tabia zake za kurudisha nyuma kila jambo...
Suala la kujiuza ni jambo la udhalili na pia kimaadili halifai, lakini inafika wakati, hali ya maisha inakua ngumu hadi mtu anaona, njia pekee ya kujinasua ni kutumia mwili wake, mdada akiangalia wateja anaweza kuwapata anaona bora niingie huku.
Anaweza asifike hatua ya kujipanga barabarani...
Kwa anayoyapitia Fella binafsi nimefurahi sana.
Natamani yamkumbe zaidi ya hapo mpaka akili imkae sawa.
Jamaa kalia weeee kaona isiwe kesi mkewe kaja kutoa povu eti kwa nini aliwasaidia wanamkataa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Jamaa acha apitie magumu tu maana ni kada wa chama kileeeeeee hivyo msaada au huruma ya...
Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa kawaida wakiishi maisha magumu. Waliona anasa hizo kama ishara ya ufisadi.
Zamani wanepali wengi...
Mara nyingi kipindi cha uchaguzi pesa nyingi mno hutumika kwenye kampeni na mbilinge mbilinge za hapa na pale kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani kwa namna yoyote ile mwisho wa siku uchaguzi ukitamatika hazina inabaki nyeupe na watanzania huwa wanakuwa kwenye kipindi kigumu mno cha...
Naam!
nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea mwenza!
Ndoto yangu imenionesha hakuna namna nyingine ya kufukuza huu upepo tofaut hiyo ya...
Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,
Au niseme ni tamaa ya fedha,
Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,
Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.
Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa...
Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku
Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu
Wazee mwenye mchongo...
Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii.
tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto.
Shule ya msingi kanindo...
Anonymous
Thread
kishiri
magumu
mazingira
mazingira magumu
miundombinu
miundombinu mibovu
msingi
mwanza
nyamagana
shule
shule ya msingi
wanafunzi
Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
asubuhi
biashara
business
easy
everyone
kijana
kila siku
kufilisika
kufunga
kufunga biashara
kupoteza
madeni
mafanikio
magumu
maisha
maisha magumu
miaka
miaka mitatu
mitaji
n.k
ndani
siku
usiku
wachache
wafanyabiashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.