Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye akihojiwa na Mwananchi amependekeza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2030.
-----
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri kwa kutoa maagizo...
Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo
Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters.
Source...
Tukiwa bado tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu, mchapa kazi hodari, mtu wa matokeo, msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inatumika kwa malengo husika na aliyetufundisha mengi na hasa uthubutu wa kuyaendea mambo.
Kwa...
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari.
NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...
Afisa Mkuu wa Tiba na Mshauri wa Tiba wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua.
Ameshauri Serikali yake kujifunza kuishi na #CoronaVirus pia amesema vinavyotajwa kuwa virusi vipya ni uongo.
======
The idea that Covid variants can be stopped...
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.
Tukirejea kwenye mada, aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa...
Habarini wakuu…
Wakati bado tukiwa kwenye maombolezo, nimeona ni vema nifanye utafiti kidogo wa kumulika uchumi wa Hayati Magufuli, ili tuweke record zetu sawa, maana huku mtaani na kwenye vyombo vya habari kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana.
Japo mimi sijawahi kuwa mshabiki wa Hayati...
Binafsi nampongeza aliyekuwa mbunge wangu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na siasa za kutamani madaraka.
Pamoja na kufuatwa jela na Mwenezi Polepole na kulipiwa faini na wanafamilia bado mchungaji Msigwa alibakia kuwa mwanachama mtiifu wa Chadema.
Nina imani...
Ni mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana.
Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.
Na. M. M. Mwanakijiji
(Makala hii imetoka kwenye gazeti la Raia Mwema, Jumatano Machi 31, 2021. Picha juu kutoka kwa Michuzi Blog).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan ana kibarua kigumu. Anakabiliwa na kuridhisha pande nyingi kiasi kwamba upande wowote ambao...
Askofu Malasusa wa DMP amesema kinachoangaliwa siyo wingi bali ubora wa kazi uliyoifanya hapa duniani na kwamba hayati Magufuli amehudumu kwa muda mfupi kama Rais lakini kazi zake ni nyingi na bora.
Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee barani Afrika.
Askofu Malasusa amesema hayo...
Wakuu,
Habari za asubuhi,
Hayati Magufuli alikuwa anaona mbali sana kuhusu hili gonjwa la corona, japo baadhi ya watu wa ndani ya nchi, mataifa jirani na nchi za magharibu walikuwa wakibeza sana misimamo yake.
Mshauli mkuu wa masuala kiafya wa uingereza kaona kujifungia ndani/lockdown...
Wana JF,
Nimepatwa na mshangao kumuona Mama Samia Jana anaongelea changamoto za Muungano kwenye masuala ya fedha, nilidhani ni masihara nashangaa leo tena yameibuka kwenye speech ya Makamu wa Rais.
Ama kweli hamna mtu mbaya au mzuri moja kwa moja-kipindi cha Magufuli haya mambo sikuwahi...
Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025.
Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
Wanabodi,
Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya.
Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM.
Tatu, nitoe pongezi kwa President Samia kuwa rais wa JMT, kuongoza awamu ya Sita, hongera sana Mama Samia, umeanza vizuri kwa...
Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America.
Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake...
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka...
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.
Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.