Tangu 2015 JPM alipoingia madarakani, kubwa zaidi alifanikiwa ni kuua upinzani na CCM ilipata kutamba kweli kweli pasi na kupingwa na chama chochote
Muda mfupi tu tangu Rais Samia Suluhu kushika nafasi kuiongoza nchi hii upinzani umezikwa rasmi.
Kwa sasa Tanzania haina upinzani tena, si ACT...
Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
KWAHERI HAYATI MAGUFULI (JESHI),KARIBU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN(IRON LADY)
Taifa letu teule lipo katika wakati mgumu sana wamaombolezo na majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wetu aliyekuwa rais wa tano jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuli.
Kwa upendo Wa Mungu juu ya...
Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka...
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.
Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
afrika
anastahili
bara
ccm
chanzo
jamii
john
john magufuli
jpm
kasi
kifo
kiongozi
kuuawa
magufuli
moyo
mwandishi
pombe
rais
rais magufuli
tiss
tuzo
uzalendo
Ikiwa ni siku moja tu baada ya hayati Magufuli kuzikwa halmashauri ya wilaya ya Handeni imepandisha ushuru wa mauzo ya mifugo mnadani kuwa sh 3000 kwa mfugo mmoja iwe umeuza au haujauza ilmradi tu umefika mnadani.
Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia...
Nimepitia ilani za Chadema kwa mihula mitatu waliyobahatika kugombea nafasi ya urais ukiacha huu uliopita wa Tundu Lisu.
Mwaka 2005 mgombea alikuwa Freeman Mbowe
Mwaka 2010 mgombea alikuwa Dr Wilbroad Slaa
Mwaka 2015 mgombea alikuwa Edward Ngoyai Lowassa
Mambo yote yaliyomo katika ilani hizo...
Kupitia ukurasa wa Instagram wa mkurugenzi wa kituo cha habari cha Efm na TVE, Mbwana Francis Ciza alimaarufu Majizzo ameeleza namna alivyokamilisha taratibu zote za hayati Magufuli kuja kulizindua jengo lao la kituo hicho cha habari, Majizzo ameeleza kuwa –
“Moyo wangu umejawa na maumivu...
Kupitia Instagram yake msanii huyo wa WCB ameandika kuwa :-
“Happy birthday To Me. Ahsante Mungu leo ni siku yangu ya kuzaliwa, nakushuru maana Kufika siku ya leo si kwa mabavu yangu bali ni kwa uwezo wako. Niseme tu nitaitumia siku yangu ya leo kumuombea aliyekuwa Rais wetu hayati Dr. JOHN...
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
ccm
charles kimei
crdb
hekima
historia
jamhuri
lukuvi
maamuzi
magufuli
makamu
mkuu
moto
muungano
mwakyembe
mwanamke
ndugai
rais
raisi
sahihi
serikali
sifa
speaker
taifa
uchumi
waziri
waziri mkuu
Halina ubishi hata kiduchu kwa miaka yote tangu mwaka 1995 hayati JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha barabara za Tanzania zinaunganika. Na kweli sasa hivi nchi imepiga hatua kwa kuwa na miundo mbinu mizuri. Pia alipokuwa rais wa JMT aliwakingia kifua wamachinga wasiwekewe kiwingu na kufanya...
Hii ni video ambayo Nape alifanyiwa mahojiano mwezi wa 2 wakati Bunge likiendelea, kuna wabunge waliokuwa wakianza kusema Magufuli aongezewe muda atake ama asitake.
Sasa maoni ya Nape ni kuwa hawajui kesho ni nani atakuwepo ama hatakuwepo (akimaanisha hata JPM anaweza kudondoka muda wowote) na...
Kwa wanaokumbuka kilichoitokea KANU nchini Kenya baada ya Daniel arap Moi kuachia madaraka mwaka 2002 watakumbuka maneno haya kutegemea na CCM itakavyoendesha utawala wake baada ya kifo cha John Magufuli. Kama watagombania madaraka au kuyatumia vibaya na upinzani ukajizatiti, unaweza kuwa mwisho...
Rest in Peace and Power Dr John Pombe Magufuli the late President of The United Republic of Tanzania.
I must say The late JPM has suffered a lot of criticism from the western media propaganda,puppet opposition leaders who intentionally and purposeful tried to dissappoint Magufuli adminstration...
Ningependa kufahamu weledi wa hawa walinzi wawili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli. Naona huyu mlinzi mweusi na huyo mwenye sigjda wamekuwa wakipokea sifa kemkemu kutoka kwa Watanzania kwenye mitandao ya kijamii. Mwenye kujua chochote kuhusu taaluma yao atujuze.
Kazi iliyotukuka aliyoifanya Hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli tangia akiwa waziri hadi alipokuwa Rais wa awamu ya tano ni kubwa mno na inaonekana.
Ingawa amelala mauti, jina lake, maono yake, miradi aliyoisimamia akiwa madarakani na Jitihada zake katika kulinda , kusimamia na matumizi ya...
Ama kwa hakika tumeondokewa na Jembe.
Nilikusupport sana kwakua mimi ni muumini wa falsafa za matendo.
Kupiga kazi bila porojo. That's my motto.
Ingawa umemaliza mwendo. Rest assured kwamba vijana wako tupo na tutaendeleza yale yote mema uliyoyawaza kuyafanya.
Tulikusuport na makamu wako...
Bila kuzungusha sana uzi mambo hayo ni;
(i) Kugusa maisha ya wengi
(ii) Kusifiwa akiwa hai
(iv) Kuondoka wakati bado anahitajika.
Mambo haya kwa ujumla wake kulingana na hotuba iliyosomwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ni bahati aliyokuwa nayo Hayati D.k John Pombe Joseph Magufuli.
Fuatilia mbashara hapa
RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli.
Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi
Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Mama Janeth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.