Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.
Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema...
Ni muda wakusikia madini kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu akiwa live VOA akichambua hoja na kujibu maswali mbalimbali kutoka katika chombo hiki cha kimataifa.
Karibu tumsikilize , nilitamana sana mahojiano Kama haya yangekuwa yanafanywa na televisheni na media zetu kama ilivyokuwa enzi ya JK lakini...
While his COVID-19 policies have dominated media coverage regarding his disappearance and suspicious death, Tanzania’s John Magufuli was hated by the Western elites for much more than his rebuke of lockdowns and mask mandates. In particular, his efforts towards nationalizing the country’s...
Kumeibuka na tabia fulani ya kumshindanisha Mheshimiwa Samia na hayati Magufuli kwenye kila jambo na hatua anazochukua.
Mfano, kwenye hafla ya kupokea ripoti ya CAG mheshimiwa aliagiza kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa Bandari, baada ya hatua hiyo kuliibuka na wachambuzi uchwara wakaanza...
Mama naomba niandike kifupi ili nisikuchoshe kusoma maana najua una majukumu mengi na mazito ya kuwatumikia Watanzania.
Mama, wakati hayati magufuli hajakumbwa na mauti alituahidi ajira 13529 za ualimu. Kati ya hizo ni ajira 8000 tu zimetolewa katika awamu ya kwanza nazo zilitolewa angali bado...
Ni wazi kwamba kila mtu anamkumbuka mwendazake kwa mambo mbali mbali (legacy) aliyofanya wakati wa uhai na uongozi wake. Miongoni mwa legacy hizo ni hizi hapa kwa ufupi
1. Kukandamiza demokrasia
Ni katika kipindi chake tumeshuhudia demokrasia ikibanwa wazi wazi huku vyama vya siasa vikizuiwa...
Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.
Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema..
Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Wilayani Meatu mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina amemlilia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akimtaja kama kiongozi wa mfano na kielelezo barani Afrika katika kuleta maendeleo na kushughulikia kero na matatizo ya wananchi yaliyoshindikana kwa miaka mingi...
Leo katika bunge, kipindi cha maswali na majibu, nimemuona Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Mjini, Mheshimiwa Steven Byabato akijibu maswali kwa umahiri sana. Anaonekana anajiandaa kabla ya kuingia bungeni, anasoma, na tayari ana uelewa wa wizara.
Anaongea kwa data kutoka kichwani...
WALIOSHINDWA KUMSHAURI VIZURI HAYATTI MAGUFULI WAONDOLEWE KWENYE UONGOZI
Na, Robert Heriel.
Katika makala yangu niliyoandika mwaka juzi, niliyoipa kichwa kisemacho "Njama za Ikulu, hata Rais anaweza kudanganywa" nilieleza namna kiongozi anavyoweza ingizwa mkenge au kujiingiza mkenge pasipo...
Ndio basi tena his legacy will live forever.
Ni kwamba eti
Hasara itokee isitokee
Mambo aliyofanya Magufuli katika kipindi chake kifupi hata vipofu wameyaona. Vipofu nao wanasimulia Mambo aliyofanya. Mabubu nao pia wanasimulia.
Ndio hivyo ndugu zangu.
Kama unaumia
Nenda kabomoe Ubungo na...
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
Watu wengi hufikiri waliokuwa wanampinga Magufuli .. walikuwa wanampinga kila kitu au hawaoni mazuri yake ...
Ukweli ni kuwa mazuri ya Magufuli yanafahamika na yanajulikana ambayo tungependa yaendelezwe. ..
Laiti kama Yale ambayo sio mazuri yasingekuwepo kama watu kupigwa risasi
Na kupotea...
Kwa kweli mafisi hayalali,
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti
Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number
Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na...
Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli.
Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.
Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha...
Kinda sorta like Trumpism without Trump, I hope we are headed towards Magufulism without Magufuli.
Not that I wanted him to die nor relished his death. Far from it.
I wish the mantra of ‘hapa kazi tu’ continues.
However, missing from it will be the abrasive language we got used to.
Missing...
Na. M. M. Mwanakijiji
Wale ndugu zetu waliombea, waliongojea, na hata waliosubiria Magufuli afariki akiwa madarakani leo wanataka tuendelee kuamini kuwa chaguo lao limeingia madarakani sasa. Ndugu zetu hawa ndio wale huko nyuma na si mara moja wamekuwa wakisubiria kwa hamu "kitu" kitokee ili...
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa.
Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima.
Na hivi ndivyo...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya
“Ripoti...
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.
Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo, Angevunja bodi nzima ya TPA, DG angefukuzwa na sio kusimamishwa. Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA waziri mpya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.