magufuli

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

    Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu. Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

    Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile...
  3. Agresive

    JamiiForums Tanzania Kwa madudu anayoanika CAG, kumbe Magufuli uongozi wake ulikuwa sifuri tu

    Wakuu na wadogo wa JF. Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu. Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo. Kwa haraka 40% ya...
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa ukweli na uwazi, siasa safi na uongozi bora katika utawala wa Hayati Dkt. John Magufuli ndiyo chanzo cha ubadhirifu na ufisadi huu

    Ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za serikali (CAG) mwaka 2019/2020 imesomwa na inaendelea kujadiliwa bungeni... Hali ni mbaya sana. Karibu kila wizara na taasisi/mashirika ya umma ni upotevu wa mabilioni ya fedha yasiyoeleweka na kutokuwa na ushahidi zimetumika kufanyia nini. Kubwa...
  5. Keynez

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wafuasi kindakindaki wa Magufuli?

    Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake. Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

    CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha. Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli baada ya kivuli chako kufichwa ghafla

    Tutegemee kuona haya yafuatayo...... 01: Misamaha Ya kodi kwa Walipaji wakubwa ili Wanyonge waanze Kusumbuliwa. 02: Kushuka kwa makusanyo Ya kodi na kukwama kwa Maendelo ya Ilani uliyoinadi. 03: Kuzalisha wawekezaji wapya Watakaokuwa na manufaa binafsi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Serikali ipo kimya juu ya Watu 49 pamoja na watu sita wa familia moja waliofariki wakimuaga Rais Magufuli

    Ni kama vile hakuna jambo lolote la kuhuzunisha na kusitikitisha lililotokea wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, mpaka sasa hakuna kilichofanyika kwa wafiwa si kwa serikali ya ngazi ya wilaya au mkoa wa DSM. Kutokana na mkanyagano huo , Familia moja jijini Dar Es Salaam...
  9. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete. Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuliaminishwa na iliyokuwa Serikali ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kuwa tatizo limedhibitiwa na halipo, kulikoni leo tena limeibuka?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka makamanda wa polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga, Dar es Salaam na Unguja na Pemba kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kufanya operesheni ya pamoja ili kumaliza tatizo la dawa za kulevya. Chanzo: Habari Leo Online...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

    Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri. Sasa najiuliza, kama...
  12. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ni urithi wetu

    Rais Samia amehawakikishia watanzania kuwa miradi yote aliyoacha Hayati Rais Magufuli lazima itekelezwe na kumalizwa kwa sababu ni urithi wa watanzania na tukiitelekeza tutaambulia laana kutoka kwa Mungu na kutoka kwa aliyeanzisha hiyo miradi. Rais Samia - Rais Dkt. John Magufuli ametuachia...
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Last moments of the ‘Bulldozer’ John Pombe Magufuli

    Tanzanian President John Magufuli was discharged from Nairobi Hospital while on life support and flown to Dar es Salaam late last week after doctors concluded that he could not be resuscitated, the Nation has established. The President, who was flown to Kenya secretly on March 8 after suffering...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

    Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi. Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa? Je, hawaaminiki tena?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa PSSSF umefilisiwa na nani?

    Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza. Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale. Ukinizingua Nakuzingua!
  16. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Pasaka: Tunaonyeshwa kuwa Magufuli hakuyaishi maono yake na kama aliyaishi hayakuwa maono sahihi?

    Wanajamvi: Kwa wale Wakristu, wanafahamu matukio muhimu yaliyojiri baada ya Yesu Kristu Kufa Msalabani. Kwanza, Dunia ilitetemeka kuonyesha kuwa yule aliyekuwa msalabani ni Mungu anayetawala maumbile. Pili, Pazia la Hekalu la wayahudi kupasuka vipande Viwili kutoka juu mpaka chini. Wafu...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Sheria gani na kanuni gani zimetungwa kipindi cha Magufuli zinatakiwa kutenguliwa?

    Mi binafsi napenda ile sheria ya kutaka mtu anayefungua akounti youtube alipie. Au yule anayefungua blog, online tv na websites alipie. Tena kulipia pesa ndefu. Ungependa kanuni na sheria gani kandamizi iondolewe?
  18. Ileje

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii waliotunga nyimbo za kumuenzi Magufuli ni kwa mapenzi au shinikizo?

    Ukizisikiliza kwa makini nyimbo nyingi zilizotungwa baada ya Rais Magufuli kufariki huwezi kuacha kuwaza ni kweli na kwa dhati ya mioyo yao hawa wasanii wanamaanisha? Au kuna kitu wanakinyemelea nyuma ya pazia! Inavyoonekana ni kama baada ya kifo hiki wengi watashindwa kuendelea kuitumikia...
  19. mama D

    JamiiForums Tanzania Ni siku 21 leo, endelea kulala salama kipenzi chetu Rais John Pombe Joseph Magufuli

    Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu. Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu kipenzi Mama yetu Samia Suluhu Hassan. Kama alivyokuahidi ukiwa hai kwamba upumzike maana yeye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

    Mzuka wanajamvi! Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali. Hata ukiwaambia kajenga international Airport...
Back
Top Bottom