magufuli

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

    Viongozi wetu wanapatikanaje? Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani? Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ahoji Rais Magufuli angekuwa hai Kikwete angesema hayo?

    Mtanzania Omari Hussein amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuacha Rais Samia Suluhu aongoze nchi kwa hekima zake hasa kushughulikia kashfa kubwa inayolikabili taifa kwa sasa ya mkataba wa Bandari na DP World. "Halafu Mstaafu angetulia hayupo kwenye kiti kabisa au anataka Tena ?? hatutaki Escraw...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wale waliomtukana Rais Hayati Magufuli na sauti zao kuvuja watafunguliwa kesi ya Uhaini.

    Wasalaam JF, Ndugu Watanganyika wenzangu wakati vuguvugu hili la Bandari zetu kuwa katika hali ya sintofahamu. Niwakumbushe huyu Mwamba anaezuia mainstream media kuripoti taarifa mbalimbali za kukataa mpango wa Bandari zetu kugawiwa kwa DP World. Miaka kadhaa nyuma huyu bwana na wenzako...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisimama kidete Sheria ya Kulinda Rasilimali za Tanganyika ikatungwa. Leo hii Mkataba wa Bandari upo kinyume na sheria hii

    Kifungu cha 11 cha National wealth and reources (permanent sovreignty) kinazua makampuni yatayoingia mkataba na nchi yetu kutumia rasilimali kufungua kesi nje ya nchi kwenye mahakama za kitaifa. IGA ya mwarabu imeenda kinyume na sheria za nchi. Ila ilipitishwa na ikabarikiwa na mahakama kuu.
  7. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

    Amewapa Pesa za ruzuku ameruhusu mikutano ameahidi kuwapa katiba mpya amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni baadhi wamelipwa malimbikizo yao amekubali Maridhiano. Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Misafara ya Nyerere mpaka Mkapa haikuwa na gari za wagonjwa kama ilivyo kwa Marais waliofuatia?

    Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nilivyotinga kongamano la Hayati John Magufuli UDSM mwaka 2018 na kukaa VIP bila kualikwa wala kustukiwa

    Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli. Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Carbon iliyopata Mgandamizo mkali ikawa Almasi ambayo itamkata yeyote yule akiishika kwenye makali yake imeanza na Lissu

    Iko hivi: Tundu Lissu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote yaweza...
  11. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, njia ya kupita ili kuingia Ikulu ni kuacha kabisa kumchafua Hayati Magufuli. Mkumbatieni mtafika

    Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi...
  12. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Upinzani tulizeni akili, 2025 mnachukua nchi. CCM hawana cha kutuambia zaidi ya miradi ya Magufuli

    Nina amini kwamba CCM hii imechoka Imechokwa CCM hii na Ile ya awamu ya nne ni baba mmoja mama mmoja. kila kona ya nchi wananchi wanalalamika bidhaa kupanda bei. Hakuna mtu wa kuwatetea. kiongozi mkuu ndo kabisa kachokwa ni vile nidhamu inawaongoza Watanzania. Lakini wanatamani hata kumpigia...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

    Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100)...
  14. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania BoT zifungeni Bureau de Change zilizofungwa wakati wa Hayati Magufuli

    Chondechonde mama, hao wafanyabishara wanaokushauri wanakupoteza. Kwenye uchumi wa kibepari mfanyabiashara anaangalia faida yake tu, sio wajibu wake kulinda maslahi ya nchi au mtu mwingine yeyote. Ni wajibu wa serikali kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya wafanyabishara. Kwasasa watu...
  15. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Aelezea Madhara ya Kukosoa Serikali ya Magufuli: Risasi 16 na Jaribio la Mauaji

    = Hotuba kamili ya Mh. Tundu A. Lissu Anzia dakika ya 18 👇🏻👇🏻
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu. Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM...
  17. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Lissu alimkemea Magufuli na Mkapa ambao ni wakatoliki wenzie, huo udini anaopakaziwa sasa unatoka wapi?

    Watu wakiishiwa hoja, husingizia jinsia ama dini! Lissu sifahamu kama ni Mkristo ama dini gani. Ninachojua Tundu Lissu kwake suala la dini, ni la mtu na Mungu wake na siyo Tanzania inajisiwe na mtu awaye yote kwa sababu ya dini yake Inapotokea kiongozi yeyote anakuwa kinyume na sheria za nchi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengue kauli yake ya yeye na Magufuli ni wamoja, au aombe radhi kwa madhila yaliyowapata baadhi ya watanzania kwenye awamu ya 5

    Baada tu ya kuingia madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja. Sijui kama wakati ule au hata wakati huu Rais anafahamu uzito wa maneno hayo. Kusema kuwa ni mmoja na mtu mwingine kunaweza kumaanisha mengi ila...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mtu akiingia Ikulu kwa "ndodndokela" anakuwa hana ajenda (anapuyanga). Tuliyaona kwa Magufuli na sasa tunayaona kwa Samia

    Kuna hadithi ya mfalme aliyetaka kumuoza binti yake kwa mwanaume jasiri atakayeweza kuogelea kwenye bwawa la mamba mpk kulivuka na kufika upande wa pili . Wakiwa wamejipanga pembeni ya bwawa mwanaume mmoja alisukumwa na mwanaume mwenzake. Yule mwanaume alidumbukia ndani ya bwawa na kwa bahati...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CCM inabidi itumie nguvu kubwa kuhakikisha matokeo makubwa uwekezaji wa bandari

    Mwanafilosofia na mwanahistoria Niccolo Machiavelli kutoka nchini Italia aliwahi kusema " the end will justify the means" ambapo tukipeleka Kwa tafsiri isiyo rasmi alimaanisha " hata jambo baya likiwa na matokeo mazuri basi jambo hilo "morally" linakuwa ni zuri". Kinachoangaliwa na kutazamiwa...
Back
Top Bottom