Nukuu ya Hayati Magufuli Kuhusu TRA

Waafrika (isomeke watu weusi duniani kote) hatujui tunachokitaka acha tu wazungu waendelee kutuibia na kututawala mpaka Yesu atakaporudi. Kila mtu anawaza kuiba na kujinufaisha yeye, familia yake na marafiki. There is no hope for Africans labda ifike mahali tubadili kabisa falsafa na mitazamo yetu. Na hii itachukua vizazi kadhaa.

JPM alikuwa kiongozi sahihi kuhusu ubabe wa kiuchumi na angekuwa savy na kuacha tu kutumia maguvu kwa waliomkosoa angeifikisha nchi hii pazuri sana. Hakukuwa na haja ya kuvunja haki za binadamu na kuchafua demokrasia namna ile. Angekuwa savy kama mama pengine angekuwa hai na tungekuwa tunasonga mbele
 
Leta ushahidi kama alivyoleta Mleta UZI tulinganishe na ikiwezekana akaunti na majina ya benk zilizochukuliwa pesa..
Wewe na wajinga wenzako wachache ndio mtahitaji ushahidi(ndio staili yenu ya kumtetea mungu wenu)lakini wenye akili wote wanajua jinsi gani aliwafanyia watu ubaya kwa sababu wafanyabiashara wengi walifikia hatua ya kuogopa kuweka hela benki na ilibidi Rais Samia afanye kazi kubwa kuwabembeleza kuweka pesa benki na hazitochukuliwa.
Ni juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa CRDB kaeleza jinsi akaunti za watu zilivyokuwa zikipigwa pini.
 
Weka ushahidi

Usilete porojo za kingese
 
Back
Top Bottom