magufuli

  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Aliyepandisha gharama za Toto Afya kadi ni muuaji. Magufuli tunamkubuka kwa hili

    Kama unatibiwa india. Au unatoka familia yenye ukwasi huwezi kujua mateso wanayopata watanzania wa kawaida.. Watu wanatumia mitishamba au kwenda kwa mwaposa badala ya kwenda hospital kukwepa gharama kubwa za matibabu. Uongo mkubwa wanakwambia mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa bure. Hata kwa...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mshahara wa Rais ni Milioni 9 kama alivyowahi kutuambia Hayati Magufuli?

    Enzi ya uhai wake, hayati Magufuli aliwahi kutuambia kuwa analipwa shilingi milioni 9 kwa mwezi na akirudi toka mapumzikoni Chato atatuonyesha hati yake ya mshahara (salary slip). Bahati mbaya mpaka anaingia kaburini hakuwahi kutuonyesha hiyo salary slip yake. Je, ni kweli mshahara wa Rais ni...
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli angekuwepo SGR Dar-Moro na Bwawa la Mwl. Nyerere vingekuwa vinafanya kazi

    Nawaza tu, endapo Magufuli angekuwepo leo; 1. Train ya umeme ingekuwa inapiga kazi usiku na mchana na serikali ingianza kuingiza pesa za kutosha. 2. Bwawa la Mwl. Nyerere lingeanza kuzalisha umeme wa kutosha na leo hii stori za kukatika umeme zisingekuwepo. 3. Kalemani angekuwa Waziri wa...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

    Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James. 19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile. Watu...
  5. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kila dalili zinaonesha Bwawa la Nyerere kuhujumiwa na wapigaji ili kupata kile wangekosa chini ya Hayati Magufuli

    Kuchelewa kufunguliwa mradi wa bwawa la Nyerere kwa hali yoyote ni njama ya wale ambao mradi kama huo ungewaingizia binafsi mabilioni kwa upigaji au wataathirika upigaji wao kwa mradi mkubwa wa hydro kuzalisha umeme megawati 2000 na zaidi. Kuna maajenti wa mabeberu wa kigeni wako tayari kwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alitaka kuiangamiza CHADEMA kwa mabavu, Rais Samia amewapa kamba wajinyonge wenyewe

    Tukionee huruma hiki chama cha harakati Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa kama Hayati Magufuli, achana na maridhiano na wasiotaka, watakupotezea muda

    Nadhani tunahitaji kujadili siasa za nchi yetu kwa uhalisia zaidi kuliko kwa kujipa moyo au kwa wishful thinking Uhalisia upo hivi, Rais Samia Suluhu ndio Rais ambaye amejaribu kuwa fair zaidi kwa Chadema kuliko Rais yeyote, na sidhani kama atatokea Rais mwingine akawa fair kwao kama Samia...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hakika Hayati Magufuli Nchi Aliiweza

    Tunahitaji watu aina ya Magufuli kwa miaka 100 japo watanzania akili zitukae sawa. Kuna Mtu yuko Mahali yeye Kaamua kukaa Kimya anategemea mambo yatafanyika automatic.
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mpango wa Mungu kuhakikisha Magufuli anakuwa Rais kwanza ndio afariki

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kama ilivyo ada au desturi, leo nimekuja na maono mengine ambayo nina amini hapo kabla Hakuna aliewahi kuwa nayo. Maono yenyewe ni kuhusu namna John P. Magufuli alivyokuwa raisi na baadae kufariki. Ni hivi.. kabla ya hayati John P. Magufuli kuwa raisi wa JMT, nchi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wapinzani: Je, Samia agombee 2025 au ampe kijiti chuma kingine kama Magufuli?

    Upinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea. Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi. Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na...
  11. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Ni Lowassa na Hayati Magufuli pekee waliowahi kuwa na Votting Block

    Wakenya wanajua sana mambo ya Votting block, kura zinapigwa kwa Block, ikiamuliwa jamani sisi tumpee kura zetu fulani kweli anapewa kwa asilimia nyingi sana. Wakenya wana kitu wanaita Votting Block, hizi ni Block za Makabila na hii ina nguvu sana Kenya, Wakenya hasa Makabila ya Kenya ukiteua...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Team Magufuli imerudishwa ili kufanikisha ushindi wa 2025 uwe kama wa 2020?

    Jembe lililoaminiwa na Magufuli kwenye madini,limepewa unaibu Waziri Mkuu,jembe lingine Mnyeti kapewa unaibu Waziri. Lakini je, watoto wa kambo watalipa fadhila hizo. Je, Bashiru kuchukua form ya urais CCM hata kama itampelekea kufutwa uanachama!? Je, top three inakubaliana kuhusu...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ifahamike kwamba hata Kamishna wa sasa wa TRA alivuliwa hadhi ya ubalozi na Magufuli

    Hii maana yake ni kwamba Ubalozi si lolote wala chochote kwenye maisha ya Tanzania. Kumvua Ubalozi Dkt. Slaa zaidi ni kumuongezea Umaarufu na heshima kwa jamii yake , ni sawa na kumvisha nishani kwa mapambano Matukufu dhidi ya wezi wa Bandari zetu. Kama aliyevuliwa ubalozi na Magufuli...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi. 1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini. 2...
  15. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  16. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  17. Diwani

    JamiiForums Tanzania Hili la Bandari, lawama hii iende kwa hayati Magufuli

    Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu. Ni nini mzizi wa haya yote? Kisa kilianza Mwaka 2020, wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ulikuwa...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ningekua mimi Samia ningemshukuru sana hayati Magufuli.

    Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT. Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza...
  19. Ileje

    JamiiForums Tanzania Samia kama Magufuli wakuu wa wilaya na ma-DED roho juu!

    Rais Samia amewatimua kazi DC na DED wa wilaya ya Mtwara baada ya wananchi wa kata moja kurudisha kadi za CCM kwa sababu ya kuhamisha mradi uliokuwa ujengwe kata hiyo kuhamishiwa kata nyingine kisa uwepo wa wanachama wengi wa vyama vya upinzani. DC na DED walihamisha mradi wa maendeleo...
  20. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

    Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM? Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020. Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
Back
Top Bottom