Eti Magufuli alipigana vita na mabeberu, vita ya uchumi, ni vita gani alishinda dhidi ya Western Impelialism?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,292
73,832
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?

Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dearly kwa kukurupuka kwake Magufuli!

Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
 
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!

Brother CHATO siyo mbali saña . Panda Basi uende ukamuulize.

Tutakusindikiza Sisi wenyeji
 
Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark,
Lets assume tumekubali alikopa mpaka tukawa kwenye Red mark,
1. Je matokeo ya mikopo ya Red Mark yalionekana au hayakuonekana?
2. Km tulikua kwenye Red Mark, Je tumewezaje kuendelea kukopesheka?
3. Now tunakopa kuliko alivyokopa yeye, Je now tupo kwenye Mark ya rangi gani?
4. Je matokeo ya Mikopo ya sasa ya above Red mark inaonekana?
 
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!

Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Kipindi MCC wanaondoka na kuacha miradi yao ulikua likizo ya kunyonyesha?

Paying deadly paying what?
 
Alishinda vita dhidi ya corona, na alipewa tuzo
images - 2023-05-25T074143.444.jpeg
 
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!

Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Huko Rondo mnafufuka? Wewe si ukizikwa naye pale?
 
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!

Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Mkuu una akili sana kuuliza hili swali???
 
Back
Top Bottom