magufuli

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Magufuli alitufanyia mambo mabaya lakini hakufanya biashara na Rasilimali za Nchi

    Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga...
  2. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Bila uchawa awamu ya sita ingekuwa ngumu sana kutawala

    Ni wazi kuwa Awamu ya nne itabaki kuwa Awamu pekee ya kidemokrasia. Tunadiliki kusema Kikwete ni baba wa Demokrasia. Hongera sana JK Mungu akutunze. Ni Awamu pekee watu walipingana kwa hoja ndani na nje ya CCM na Bado walibaki pamoja. Hali haikuwa hivyo katika Awamu ya Tano. Ilikua Awamu ya...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wekeni mambo wazi, ujenzi wa Ikulu Chamwino ni kazi nzuri ya hayati Magufuli, angekuwepo hata bandari ingeendelezwa na JKT bila DP World

    Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi. Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Je, hawa waandishi wa hivi vitabu vinavyohusu mazuri ya Hayati Magufuli wote wanatumiwa na wafuasi wake?

    Habari jf ,tuweke hisia pembeni. Je, wanatumika au shujaa anastahili sifa zake?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuondoka Hayati Magufuli tumebakiwa na Tundu Lissu, vijana tujifunze uzalendo

    Habari jJF, Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:- 1. Ni watu wenye misimamo 2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi . Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa. Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Hayati Magufuli walitisha sana

    Kila kitu alichofanya Magufuli ilikuwa unique aise, check hii miamba.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 mwishoni, Tumuache Hayati Magufuli apumzike hili ni la kwetu

    Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli. Maonesho ya Expo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu mpendwa nchi hii imekuwa ya migomo? Mbona wakati wa Magufuli hatukuona hata kikundi kimoja kikijaribu hata kuwaza kugoma? Why now?

    Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wanaodai Rais Magufuli hakuwa anapingwa ni waongo wakubwa

    Nimeona ona humu JF baadhi ya watu wanadai kuwa eti kipindi cha Rais Magufuli watu ambao hivi sasa wanamkosoa Rais Samia, hawakuthubutu kumpinga hadharani kama ambavyo wanampinga huyu mama yao. Hilo si kweli. Rais Magufuli alipingwa sana na watu. Tena watu wa kada zote. Kudai kuwa hawa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Sikumkubali Magufuli ila nisingependa waliokuwa washauri wake wamdhalilishe; hawa hata Rais Samia akistaafu watamtendea hivyo

    Rostam Aziz alijiweka karibu na JPM akafanikiwa kuzindua Taifa gesi. Leo JPM hayupo anamdhalilisha kwamba alionga na utawala wake ulikuwa unaelekeza nini mahakama ifanye....kama kweli anachosema ndicho anachokiamini kwanini hakusema JPM akiwa hai? Kwanini hakuwahi kukemea? Mwigulu ameonyesha...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM. 1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii. 2. Rostam Aziz yeye...
  12. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Magufuli alikuwa na hirizi ya simba?

    Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa. Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole. Wataalam wa mambo yasiyoonekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mmiliki wa Samaki Samaki kapewa Kuwekeza Coco Beach sasa ila Kipindi cha Hayati Magufuli hakupewa?

    Hilo eneo (Coco Beach) Hayati Magufuli alikataa kabisa kupewa Watu (hasa Matajiri) wawekeze hapo akisema kuwa paachwe wazi ili hata Masikini akina GENTAMYCINE tuwe tunakuja Kutembea, Kuogelea na Kupunga Upepo mwanana wa Baharini (wenye Afya) bila tatizo. Cha Kushangaza na Kusikitisha tayari...
  14. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Niliingia CCM sababu ya Magufuli. Nachana kadi muda sio mrefu

    Boss ashampooo mtoto wa mjini basi nikiwa mwaka mwisho pale BOT kwa pembeni chuo cha IFM ndio kipindi Magufuli nae alikuwa anaingia madarakani toka akiwa waziri nilitamani aje kuwa raisi na ndoto yangu ikatimia akawa raisi 2015 Alivyoanza kwa kasi yake tu mimi na rafiki yangu tulijiunga CCM...
  15. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipambana na makundi matatu hatarishi na akafanikiwa kuyaangamiza kwa 85%. Je, Rais Samia ataweza kupambana na haya mawili yaliobaki?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Leo naomba nije na mada inayohusu "maadui mamboleo" wa taifa letu, tukiachana na wale watatu wa zamani waliokuwa wakijulikana kwa majina ya (1) maradhi, (2) uvivu, (3) umasikini. Sasa tuna maadui wapya watano ambao ni (1) ufisadi, (2) ujinga, (3) ushoga, (4) uteja...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mbaya; aliua mifumo ya utawala bora akawadanganya Watanzania na vitu vidogo kama madaraja, stendi, ndege n.k

    Kwa vipimo vyote Magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao. Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu. Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania...
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Tuweke rekodi sawa. Hayati Magufuli hakuwahi kuzuia wakulima kuuza mazao nje

    Kuna Sukuma gang uchwara wanataka kusema kuwa JPM alikuwa akizuia wakulima kuuza mazao nje. Wanapotosha mchana kweupe. Sera ya Bashe ndiyo ilikuwa sera ya JPM. Ndiyo sera iliyokuwa inaenda kumkomboa mkulima. Hakuwa na hizi sera za kuiba mali ya wakulima.
  19. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Muswada huu ukipita na kuwa Sheria Magufuli Day itakuwa Machi 29 kila mwaka na itakuwa siku ya mapumziko

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa na Maono, Viongozi wote aliokataa kufanya nao kazi hawafai kwa taifa letu

    Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake. Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa. January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa...
Back
Top Bottom