Kheri ya Kuzaliwa kwako Mheshimiwa Rais John Magufuli.

John Walter

Member
Aug 14, 2017
59
57
Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna.
Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee kuipeleka nchi panapostahili.
Happy Birthday John Magufuli.
1572333396957.png
 
Jembe umefikisha miaka 60 hongera ila endelea kutuletea maendeleo ya miundombinu na sasa Achana na mabasi ya mwendokasi ulete street trains au zinaitwa Tram au Luas
 
Back
Top Bottom