magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya wamachinga maarufu kama vitambulisho vya Rais Magufuli

    Kuna vitambulisho vya wamachinga vilivyo kuwa vinatolewa kwa gharama ya shilingi 20,000/=, ambavyo vilisemekana ni kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama wamachinga. Kwa kweli watu ambao wamenufaika na vitambulisho hivi ni wafanya biashara wakubwa kwani waliamua kutoa bidhaa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kamau: Rais Magufuli adhibitiwe na EAC, amevuka mipaka!

    MNAMO Novemba 5, 1984, kinara wa ODM Raila Odinga alifahamishwa kuhusu kifo cha mamake, Bi Mary Juma ikiwa imepita muda wa miezi miwili tangu afariki. Mary alifariki mnamo Septemba 1984, lakini Bw Odinga hakuwa na ufahamu wowote kuhusu tukio hilo kwa kuwa alikuwa akitumikia kifungo katika...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Siku hazigandi, mwaka 2020 aliotangaza Rais Magufuli kuwa ndiyo mwaka wa kufanya mikutano ya kisiasa, kwa vyama vya upinzani, ndio huo ushafika

    Mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hii, Rais Magufuli alivipiga marufuku vyama vya upinzani nchini kutofanya mikutano ya kisiasa hadi mwaka 2020, kwa madai kuwa uchaguzi umekwisha, kwa hiyo huo ni wakati wa kufanya kazi na siyo wakati wa kampeni. Wakati akitangaza hivyo Rais Magufuli...
  4. JamiiForums Tanzania Sikukuu zimeisha, Rais Magufuli tunakuomba uanze ziara

    Naandika hivi ni kwa sababu Mh Rais unapokuwa katika ziara zako hapo ndipo kero za wananchi huibuliwa na kutatuliwa. Maana wengi wa wasaidizi wako ni kama hawana msaada kwa wananchi. Misafara yako inaposimama kila mahali hapo ndipo akina mama na wazee walioonewa na kudhulumiwa huwa unawasaidia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na CCM mpya kwa Tanzania imara: Falsafa inayojenga mtazamo chanya kwa watanzania juu ya CCM

    Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna hata Mradi mmoja wa Rais Magufuli utakaofanikiwa

    Nina imani 110% na ninachokiandika hapa. Rais wetu (hata kama hakuchaguliwa na wengi bado ni Rais wa nchi hii) hakujua kuwa alichokuwa unachokifanya kilikuwa counter-productive (nampa benefits of doubts kuwa alikuwa anajua pesa zilivyokuwa zinafujwa na alipaswa kuchukua hatua) lakini anakosea...
  7. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh Rais Dkt Magufuli, Wape muda watanzania, tatizo ni NIDA

    MH RAIS WAPE MUDA WATANZANIA, TATIZO NI NIDA. Na Elius Ndabila 0768239284 Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aliyenipa afya njema na nguvu ili niweze kukuandikia barua hii ya wazi Mh Rais. Pia nitumie wasaa huu kuwatakia heri ya mwaka mpya Watanzania wote ambao Mungu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama ya Mafisadi mpaka Mahakama ya Kusamehe Mafisadi...!

    Watu wanaitazama Tanzania kwa jicho lingine. Labda huu nao ni ubunifu wa Utawala na pengine ni mafanikio miongoni mwa mafanikio. Watawala walianza na kile kilichoitwa kutumbuwa mafisadi na kuwasekwa ndani waliotuhumiwa. Mara ikaundwa mahakama ya Mafisadi na kutangaziwa kiama mafisadi wote...
  9. JamiiForums Tanzania Magufuli: Nitaendelea kutumbua majizi 2020

    Aidha, alitaja miradi hiyo kuwa ni ununuzi wa ndege, kujenga reli na elimu bure, huku akitaka Watanzania kudumisha amani na upendo ili uwe mwaka wa maendeleo na ustawi kwa taifa. Kwa mujibu wa salamu za Mwaka Mpya kwa Watanzania zilizopo kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, Rais Magufuli...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 CUF yaapa kuingia Ikulu

    UCHAGUZI WA MWAKA 2020: Chama cha Wananchi CUF chataka mazingira mazuri Chama cha wananchi CUF kimetoa wito kwa Rais John Magufuli kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa ili kuweka mazingira mazuri ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha...
  11. JamiiForums Tanzania Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

    Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika: 1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu 2...
  13. JamiiForums Tanzania Vita ya Urais 2020: Lissu Vs Magufuli Vs Membe nini kitatokea?

    Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili. Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM asili Magufuli ataungwa mkono na ccm dola. Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu? Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
  14. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wazee mnataka kumpongeza Rais Magufuli kwa sababu gani maana isiwe tu mnafuata mkumbo wa kupongeza?

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amewataka wazee wa mkoa huo kutoa sababu za kutaka kumualika Rais Magufuli ili wampongeze, amewataka wajihoji mmoja mmoja na kujiuliza wanampongeza kwa jambo gani maana isiwe wanafuata mkumbo tu. Chalamila amesema hayo kwenye kongamano la wazee wa mkoa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Magufuli anapendelea Chato wanatakiwa wajibu hoja

    Wanaosema Muheshimiwa Rais anawapendelea wananchi wa Wilaya ya Chato kwa kutekeleza miradi mikubwa wilayani humo hata kaamua kwenda kula Christmas nyumbani kwao waje na hoja hizi (sisi wa Nyamagana hatuna swali, hata zile millioni mia alizotuahidi Mwanza Sekondari zimeshafika project inaendelea)...
  16. JamiiForums Tanzania Uliyempigia Kura Magufuli mwaka 2015, ulipenda kipi kwake baadae ukagundua siyo? Na ulomnyima ulichukia nini kwake baadae ukagundua siyo?

    Tuna Mategemeo Kibao kila ziliapo kengele za Kuanza mchakato wa kampeni za Uchaguzi mkuu kitaifa! Kilichonivutia kwa Magufuli 1.Jinsi ya Kusimamia anayoyaamini hasa kwa wale wanaokwamisha maendeleo Nikasahau kwamba kumbe kuna ambayo naye anakuwa kinyuma hivyo inabidi asikilize washauri duh...
  17. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

    Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano. Naomba kuanza na angalizo, Kuna watu wana allergy na pongezi zozote kwa rais Magufuli na awamu yake ya 5, hivyo akifanya jema lolote au akipongezwa kwa zuri lolote, wao wanakasirika. Kwa vile bado tuko kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

    Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31. Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole Mwananchi ====
  19. JamiiForums Tanzania Magufuli: The Chemist, PhD holder, The Mega projects implementer, NYERERE HEP, SGR, ROADS, WATER SUPPLY, ETC

    President John Magufuli is a chemical engineer. He holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam. Undeniably, he is fond of construction and has demonstrated the knack to push projects through once he buys into it. It is not for nothing that he has been nicknamed ‘bulldozer’, a...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

    Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo ! Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa! Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa! Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…