Wakatoliki hususan vijana ambao wako msingi na sekindari huwa wanahudhuria mafundisho ya dini kabla ya kupata komunio ya kwanza au kipaimara.
Kwa bahati mbaya sana huwa wanayaita let let ila kimsingi hushindwa kutamka retreat.
Ni kipindi kifupi kabla hawajapata hizo ekaristi.kimsingi ni...
*TANESCO NA REA WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA MNAMUANGUSHA MH.RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI*.
.
TRANSFORMER ILIYOPIGWA NA RADI MIEZI KARIBU MIWILI KATA KAGOMA ILITAKIWA KUWA IMEREJESHWA.
Ni miezi takriban miwili sasa Wananchi wa Kata Kikuku na Kagoma wapo Gizani kwa kukosa huduma ya UMEME na...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
Mwenyekiti wa AU na Rais wa Afrika Kusini ndugu Cyrill Ramaphosa amelazimika kuitisha mkutano wa mataifa jirani ambayo pia ni wanachama wa jumuiya ya SADC.
Mkutano huo umefanyika kwa njia ya video. Nchi zilizoshiriki ni Afrika Kusini, Angola, Lesotho, Eswatini Msumbiji, Namibia na Zimbabwe...
Serikali hii inapenda sana kufanya mambo yake uvunguni. Rais kanyamaza, Waziri Mkuu kanyamaza kana kwamba kila kitu kipo sawa. Wameachiwa wapayukaji kina Makonda kila siku kuongea pumba huku watu tunaotegemea wanaweza kuongea mambo ya maana wakiwa wamekimbia korona.
Nauliza hivi, ule utaratibu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amesema siri ya kuteua wanajeshi wengi Serikalini ni kutaka kuingiza Serikali kwenye nidhamu kutoka kwa wanajeshi hao
Magufuli alisema anataka kuichukua nidhamu iliyopo jeshini na kuingiza Serikalini kwa sababu alipoingia madarakani...
Wanabodi,
Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
Hatuwezi kilinganisha Tanzania na nchi kama China, US, UK na Italia katika nyanja ya miundombinu ya huduma za Afya.Pia hatuna uhakika kuwa ni lini ugonjwa huu wa Corona utapata tiba au chanjo. Pia ni wazi kuwa hatuwezi kuendelea kuwa na watu waoga ambao wanajifungia kutokufanya kazi kukabiliana...
Suala hili niliwahi kuliandikia post mahali, lakini nimeonelea kulianzishia uzi ili kulifafanua kwa undani zaidi.
Katika kuhalalisha hoja ya JPM kulisha maparachichi na maboga test kits za COVID-19, Wafuasi wa JPM wamekuwa mara kwa mara wakitumia hoja kwamba hizi mashine sehemu nyingi duniani...
Salamu wanaJF
katika strategies za kupambana na COVID 19 hakuna expert duniani.kila mmoja wetu ameweza kuwa na ushauri wake ambao ni valid kwa muktadha wa uelewa,taarifa,uzoefu,elimu n.k
Rais Magufuli alichagua NO LOCKDOWN ..!!
Baada ya msimamo huu hata mimi big fan wa Jembe Magufuli...
Katika historia ambayo nilijikuta nakasirika baada ya kuisoma basi ni ya Kinjekitile Ngwale na vita yake ya majimaji mwaka 1905 hadi 1907. Ni historia inayochefua mno ukiisoma. Na kwakweli sijui hata ni kwanini inafundishwa kwenye mitaala.
Tunaambiwa kuwa Kinjekitile aliwaambia watu wake endapo...
Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda.
Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti?
Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa?
Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe?
Why kumjibu mtu kama Makonda...
Ninalalizimka kuandika uzi huu kulingana na mwendelezo wa tafakuri zitokanazo na hotuba pendwa ya mheshimiwa huyu hasa ya hivi karibuni tokea pande za kule Chatto.
Katika hotuba yake Chatto mheshimiwa hakuwa na maneno mazuri sana kwa yeyote mwenye mtizamo wa kuwatenga watu katika kupambana na...
Msimamo usioyumbishwa! Hiyo ndiyo picha aliyoitengeneza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kueleza waziwazi mashaka yake juu ya mashine zinazotumika kupima sampuli za wagonjwa wa Corona.
Akizungumza kutokea Chato, mkoani Geita wakati wa hafla fupi ya...
Coronavirus test kits used in Tanzania were dismissed as faulty by President John Magufuli on Sunday, because he said they had returned positive results on samples taken from a goat and a pawpaw.
Magufuli, whose government has already drawn criticism for being secretive about the coronavirus...
Rais John Magufuli
BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo.
Kwa mujibu wa ratiba ya awali, Bunge la Jamhuri ya Muungano, lilipangwa kumaliza muda wake, tarehe 30 Juni 2020.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo...
Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu.
Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena.
Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu.
Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale...
Nilimsikiliza vyema mheshimiwa rais katika hotuba yake kuhusiana na Corona alipokuwa akimwapisha waziri Mwigulu.
Waziwazi mheshimiwa rais alipotosha kwa makusudi katika maeneo kadhaa labda kwa maslahi zaidi ya kisiasa. Kwa bahati mbaya gonjwa hili halihitaji propaganda za kisiasa bali ufumbuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.