Je, Akili Kubwa ilitumika kuamua Hostels za Magufuli ziwe za Wanakarantini wa COVID-19 au Mamlaka ilikurupuka tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,590
2,000
GENTAMYCINE nauliza hivi leo hii Serikali Kuu ikija na Tamko la Jumla kuwa Shule zote na Taasisi za Elimu ya Juu ( Hostels hizo za Magufuli ) zilizo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM )ikiwemo Wanafunzi waliokuwa wakikaa hapo wataenda Kuishi wapi?

Je, Mamlaka iliyoamua hili la Hostels za Magufuli kuwa za Wanakarantini wa CORONA ( COVID-19 ) ilikaa Kitako na Wizara husika ya Elimu nchini Tanzania ndipo wakaja na haya Maamuzi au ni Mwendelezo wetu ule ule wa Waswahili wa Kukupenda Kukurupuka na Kufanya mambo ya Zimamoto?

Nauliza tena je, Akili Kubwa ilitumika katika Kuliamua hili au ni Akili tu za ' hovyo hovyo ' ndizo zilitumika?

Nawasilisha.
 
Anti-Hacker

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
814
1,000
Ngoja nituloe kidogo leo,nimeng'enye kwanza labda nitakuelew maana bado naona upuuzi...tu
 
Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,249
2,000
GENTAMYCINE,
Nadhani unakumbuka zama zile inapokuwa likizo Hostel zilikuwa zinakodishwa na baadhi ya Taasisi ikiwamo za Dini nk kwa ajili ya Makongamano yao na course fupi

Sidhani kama ni vibaya Kuzitumia kwa matumizi haya yanayosababishwa na Pandemic hii. Pia tukumbuke Chuo ni cha Serikali na Wizara zote mbili ni za Serikali hiyo hiyo, hivyo ni Akili kubwa sana imetumika baada ya kusikia kilio cha wanaopelekwa kwenye Hotels za gharama Kubwa. Hata Kule Mbeya wametenga Shule
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,590
2,000
Akilitime,
Huwa napenda sana na mno Kukutana na ' Members ' ambao ni ' very Smart upstairs ' hapa Jamvini JamiiForums kama Wewe Mkuu na siyo wale ' the so called CERTIFIED FOOLS ' kama Anti-Hacker ' and the likes '

hapa ambao hupenda Kukurupukia Mada zangu ambazo huwa zinahitaji kidogo utulie na utumikishe vyema Akili zako, Ufahamu wako na uwe na Kipaji Kikubwa cha Kufanya ' Critique and Thorough Analysis ' tofauti na ambavyo Wapuuzi fulani fulani hudhania.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,590
2,000
Ukute wewe Ni Bashite
Nashukuru kwa Kuling'amua ( Kulijua ) hilo mapema Mkuu na ukitaka Kuamini hilo fuatilia ' posts ' zangu zote nilizokuwa ama nikichangia kuhusu Yeye au Kumfumba utamuona amekuja na Kunishambulia.

Alichonizidi ni huo Utajiri wake wa Kifisadi na Kiuchawi na hako Kacheo ila upande wa Kichwani kunako IQ hata aroge vipi na awe Tajiri vipi hawezi Kufikia hata tu 5% ya kilichomo ndani ya Ubongo wangu ambacho Kimebarikiwa na Kuratibiwa vyema kabisa na Mwenyezi Mungu ambaye ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,590
2,000
Nadhani unakumbuka zama zile inapokuwa likizo Hostel zilikuwa zinakodishwa na baadhi ya Taasisi ikiwamo za Dini nk kwa ajili ya Makongamano yao na course fupi

Sidhani kama ni vibaya Kuzitumia kwa matumizi haya yanayosababishwa na Pandemic hii. Pia tukumbuke Chuo ni cha Serikali na Wizara zote mbili ni za Serikali hiyo hiyo, hivyo ni Akili kubwa sana imetumika baada ya kusikia kilio cha wanaopelekwa kwenye Hotels za gharama Kubwa. Hata Kule Mbeya wametenga Shule
Je, Vyuo Vikuu vyote vikifunguliwa leo? Nasubiri mrejesho wqko haraka ili nijue una Akili Kubwa au za Punje ya Mchele.
 
Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
2,667
2,000
Ndio ili lile jina lisi potee vinywani mwa watu kama apa

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
tsutsunga

Member
Feb 25, 2019
6
45
GENTAMYCINE nauliza hivi leo hii Serikali Kuu ikija na Tamko la Jumla kuwa Shule zote na Taasisi za Elimu ya Juu ( Hostels hizo za Magufuli ) zilizo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM )ikiwemo Wanafunzi waliokuwa wakikaa hapo wataenda Kuishi wapi?

Je, Mamlaka iliyoamua hili la Hostels za Magufuli kuwa za Wanakarantini wa CORONA ( COVID-19 ) ilikaa Kitako na Wizara husika ya Elimu nchini Tanzania ndipo wakaja na haya Maamuzi au ni Mwendelezo wetu ule ule wa Waswahili wa Kukupenda Kukurupuka na Kufanya mambo ya Zimamoto?

Nauliza tena je, Akili Kubwa ilitumika katika Kuliamua hili au ni Akili tu za ' hovyo hovyo ' ndizo zilitumika?

Nawasilisha.
Kuna uwezekano hawajapanga kufungua taasisi za Elimu hivi karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comet

Member
Jul 26, 2019
95
125
Naipenda serikali ya awamu ya Tano.

Lakini kwa hili imenisikitisha mno.

It seems inatamani wanafunzi waendelee kukaa nyumbani.

Akili kubwa haikutumika, Bwana GENTAM
Wanafunzi waliondolewa ili kuwanusuru na Corona. Hivyo kurudi kwao (vyuoni na shuleni) kutategemea kutoweka (au kupungua) kwa tatizo hilo. Hii maana yake ni kuwa hawawezi kurudi vyuoni endapo tatizo litaendelea kuwepo (the two events are mutually exclusive), na likiisha, watu waliowekwa hostel watarudi makwao na wanafunzi watarudi hostel. CONCLUSION: hapa akili kubwa imetumika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom