magufuli

  1. K

    Rais Magufuli kamaliza kabisa mahakama na vyombo vya usalama

    Serikali bila kujua imeharibu kabisa imani ya wananchi kwa mahakama na vyombo vya usalama. Sababu kubwa iliyosababisha ni kuingiza siasa kwenye hivi vyombo muhimu. Kwanza kwenye mahakama JK amechagua majaji ambao hawakuwa mahakimu na wengi kuona hakuna umuhimu kuwa hakimu kama majaji...
  2. J

    Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

    Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa. Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany. Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari. Rais...
  3. Zanzibar-ASP

    UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?

    Kituko kipya cha karne katika siasa za Tanzania kimeibuka leo, baada ya Ikulu ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa, Rais wa nchi amelipa kiasi cha shilingi milioni 38 ili kumlipia faini Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni mfungwa wa kisiasa aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai. Sina uhakika kama...
  4. Miss Zomboko

    Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefungua mjadala wa Bunge kufanya mabadiliko ya katiba yanayoweza kumruhusu kukaa madarakani mpaka mwaka 2036. Hata hivyo katika hotuba yake amesema, angependa kuwepo ukomo wa mihula ya Urais nchi ikishakomaa kisiasa. =================== (MOSCOW) — Russian...
  5. technically

    Rais Magufuli ajibu hoja za Marekani, Asijifiche kwenye hoja za uzalendo, Kwanza sio Mzalendo

    Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana, Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta...
  6. Janja PORI

    Mabadiliko haya TRA aliyoleta Rais Magufuli hata aondoke leo yatadumu milele

    Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu. Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni 1...
  7. S

    Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

    Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na...
  8. Roving Journalist

    Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  9. J

    Ikulu: Rais Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri

    Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm. Source TBC
  10. technically

    Rais Magufuli ashangalia goli la Yanga, nimeipenda hii

    Rais Magufuli bwana nimemuona anashangilia bao la Yanga hata kama yeye ni Simba na kavaa jezi ya Yanga nimeipanda hayo ndio mambo tunataka kuliunganisha taifa.
  11. J

    Mbatia apongeza uthubutu wa Rais Magufuli. Awataka wapinzani waache Ulalamishi na wajifunze kutoa kauli chanya

    Mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amesema Rais Magufuli ni mzalendo wa kweli, mchapakazi, ana uthubutu na ni mtu anayechukua maamuzi magumu. Mh Mbatia ametolea mfano namna Rais Magufuli alivyokomesha ujambazi, alivyoimarisha sekta ya elimu na afya na alivyothubutu kujenga miundombinu ya kisasa...
  12. Superbug

    Kongole Rais Magufuli kwa kutokomeza ugaidi na viashiria vyake

    Mimi ni Kati ya watu wanaomkosoa Sana mh JPM humu wakati mwingine nakuwa mkali mno kwa mh rais kwa hili anisamehe maana ndio hulka yangu nikiwa na Jambo silielewi. Lakini nakiri wazi Kuna Mambo napaswa kumpongeza yeye na serikali yake. Kupunguza ugaidi Mh Rais nakiri kwa uwazi kuwa Sasa Mambo...
  13. N

    Mbatia: Sijatumwa na Magufuli kuiangusha CHADEMA Mbeya

    Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema mazungumzo yake na Rais wa Tanzania, John Magufuli ya Machi 3, 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam hayakulenga kukiangusha Chadema katika majimbo ya Rungwe, Busokelo na Kyela katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu. "Nimekuja Mbeya kwenye ziara ya...
  14. N

    CARTOON: Hakika nchi imefika mahali pazuri mno. Katuni mpya ya Gado imemaliza kila kitu. Magufuli for Life

    Kama una nyongeza ongezea mwenyewe.
  15. J

    Mama Samia: Rais Magufuli ni mtu anayetambua mamlaka yake na hakubali kushindwa kwa lile analoliamini

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema Rais Magufuli ni mzalendo kwa maneno na matendo, ni mtu anayetambua mamlaka yake na asiyekubali kushindwa katika lile analoliamini. Mama Samia alikuwa akijibu swali la mwandishi wa BBC aliyetaka kujua yeye kama msaidizi namba moja wa Rais Magufuli...
  16. Pascal Mayalla

    Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  17. Superbug

    Ole Sabaya anawafundisha vijana wengine nchini kwamba siasa bora ni siasa za kimafia

    Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana. SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana. Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia...
  18. digba sowey

    Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. My take,hizi ndo siasa safi. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
  19. M-mbabe

    Rais Magufuli aitikia wito wa maridhiano wa Mbowe, leo akutana na viongozi waandamizi wa vyama pinzani

    Ni dhahiri kuwa Mbowe na Chadema wamezichanga na kuzicheza karata zao vyema sana. Kitendo cha Mbowe kutamka hadharani umuhimu wa maridhiano kati ya serekali na wapinzani kililenga ku draw attention ya sympathizers wa mustakabali wa mwenendo wa kisiasa na utawala bora hapa nchini. Sympathizers...
  20. Mystery

    GE2020 Rais Magufuli heshimu maamuzi ya wananchi kupitia sanduku la kura kwenye Uchaguzi Mkuu mwishoni mwa mwaka huu

    Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na haki, lakini maneno na vitendo vya viongozi...
Back
Top Bottom