magufuli

  1. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

    CHARITY BEGINS AT HOME. Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao... Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni; Magufuli alisema hatutafanya lockdown kwani nchi jirani zinategemea bandari zetu, nchi jirani zinazuia magari toka kwetu kuiingia kwao!

    Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo. Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia...
  3. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania This is the moment of the Truth, Tanzania fight against COVID-19

    COVID-19 has clearly affected people’s lives worldwide. The most disruptions are being caused by factory-closures, total lockdown, border closures, and other strict measures that have resulted in a lack of essential goods and services, raw materials for industries, parts, and components...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Waziri wetu wa Afya ametengwa? Kitengo cha kupambana na COVID 19 kimehamishiwa ofisini kwa Waziri Kabudi?

    Kabla Rais hajamuondoa marehemu Dkt. Augustine Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje alianza sana kumtumia tumia Prof. Kabudi hadi akamuwakilisha kuongea na diaspora wa USA. Baadaye tuliona yaliyotokea. Leo nimemshangaa sana Waziri wa Mambo ya Nje kubeba majukumu yote ya Wizara ya Afya hadi...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Magufuli katuangusha kwenye uchumi

    Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Let let (retreat) ya Rais Magufuli inaweza kuwa na afya kwa Taifa

    Wakatoliki hususan vijana ambao wako msingi na sekindari huwa wanahudhuria mafundisho ya dini kabla ya kupata komunio ya kwanza au kipaimara. Kwa bahati mbaya sana huwa wanayaita let let ila kimsingi hushindwa kutamka retreat. Ni kipindi kifupi kabla hawajapata hizo ekaristi.kimsingi ni...
  7. Kankra

    JamiiForums Tanzania TANESCO Muleba mnamuangusha Rais Magufuli

    *TANESCO NA REA WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA MNAMUANGUSHA MH.RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI*. . TRANSFORMER ILIYOPIGWA NA RADI MIEZI KARIBU MIWILI KATA KAGOMA ILITAKIWA KUWA IMEREJESHWA. Ni miezi takriban miwili sasa Wananchi wa Kata Kikuku na Kagoma wapo Gizani kwa kukosa huduma ya UMEME na...
  8. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

    Mwenyekiti wa AU na Rais wa Afrika Kusini ndugu Cyrill Ramaphosa amelazimika kuitisha mkutano wa mataifa jirani ambayo pia ni wanachama wa jumuiya ya SADC. Mkutano huo umefanyika kwa njia ya video. Nchi zilizoshiriki ni Afrika Kusini, Angola, Lesotho, Eswatini Msumbiji, Namibia na Zimbabwe...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu kila Alhamisi ulifia wapi?

    Serikali hii inapenda sana kufanya mambo yake uvunguni. Rais kanyamaza, Waziri Mkuu kanyamaza kana kwamba kila kitu kipo sawa. Wameachiwa wapayukaji kina Makonda kila siku kuongea pumba huku watu tunaotegemea wanaweza kuongea mambo ya maana wakiwa wamekimbia korona. Nauliza hivi, ule utaratibu...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chama cha TLP chaitisha Mkutano Mkuu 9/5/2020 ili kumpitisha Dkt. Magufuli kuwa Mgombea Urais

    #Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya corona
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

    Najiuliza ni nini tatizo? Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani. Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia...
  13. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoboa siri ya kuteua wanajeshi Serikalini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amesema siri ya kuteua wanajeshi wengi Serikalini ni kutaka kuingiza Serikali kwenye nidhamu kutoka kwa wanajeshi hao Magufuli alisema anataka kuichukua nidhamu iliyopo jeshini na kuingiza Serikalini kwa sababu alipoingia madarakani...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?

    Wanabodi, Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
  15. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona umeleta matumaini kwa Watanzania

    Hatuwezi kilinganisha Tanzania na nchi kama China, US, UK na Italia katika nyanja ya miundombinu ya huduma za Afya.Pia hatuna uhakika kuwa ni lini ugonjwa huu wa Corona utapata tiba au chanjo. Pia ni wazi kuwa hatuwezi kuendelea kuwa na watu waoga ambao wanajifungia kutokufanya kazi kukabiliana...
  16. C

    JamiiForums Tanzania COVID-19 Test Kits zilizogunduliwa kuwa na hitilafu kwingineko duniani siyo hizi za Magufuli

    Suala hili niliwahi kuliandikia post mahali, lakini nimeonelea kulianzishia uzi ili kulifafanua kwa undani zaidi. Katika kuhalalisha hoja ya JPM kulisha maparachichi na maboga test kits za COVID-19, Wafuasi wa JPM wamekuwa mara kwa mara wakitumia hoja kwamba hizi mashine sehemu nyingi duniani...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Kuhusu lockdown Rais Magufuli yupo sahihi

    Salamu wanaJF katika strategies za kupambana na COVID 19 hakuna expert duniani.kila mmoja wetu ameweza kuwa na ushauri wake ambao ni valid kwa muktadha wa uelewa,taarifa,uzoefu,elimu n.k Rais Magufuli alichagua NO LOCKDOWN ..!! Baada ya msimamo huu hata mimi big fan wa Jembe Magufuli...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwa anayofanya Rais Magufuli leo, yana tofauti gani na ya Kinjekitile Ngwale wa mwaka 1905? Tuwe wakweli na huru kujadili!

    Katika historia ambayo nilijikuta nakasirika baada ya kuisoma basi ni ya Kinjekitile Ngwale na vita yake ya majimaji mwaka 1905 hadi 1907. Ni historia inayochefua mno ukiisoma. Na kwakweli sijui hata ni kwanini inafundishwa kwenye mitaala. Tunaambiwa kuwa Kinjekitile aliwaambia watu wake endapo...
  19. The Boss

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwanini inacheza ngoma za Rais Magufuli?

    Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda. Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti? Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa? Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe? Why kumjibu mtu kama Makonda...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Uzalendo na Ucha Mungu wa Rais Magufuli ni upi?

    Ninalalizimka kuandika uzi huu kulingana na mwendelezo wa tafakuri zitokanazo na hotuba pendwa ya mheshimiwa huyu hasa ya hivi karibuni tokea pande za kule Chatto. Katika hotuba yake Chatto mheshimiwa hakuwa na maneno mazuri sana kwa yeyote mwenye mtizamo wa kuwatenga watu katika kupambana na...
Back
Top Bottom