magufuli

  1. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

    Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaomlinganisha Magufuli na Mwalimu Nyerere?

  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  4. Cvez

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yupo vizuri katika kuainisha matatizo changamoto inakua katika kutatua hayo matatizo

    Ndugu Mheshimiwa Rais wetu katika kipaji ambacho Mungu amemjalia ni uwezo mkubwa na ujasiri wa kuainisha tatizo na kuliongelea bila kung'ata maneno. Kupitia njia hii imemsaidia kumpatia mashabiki lukuki kabla na baada ya kua rais. Kuna issue ya ufisadi alionyesha ujasiri kuiongelea, mikataba...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kauli zinazotolewa na Rais Magufuli na zile za Spika Ndugai kuhusu viongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA), zinashabiana sana

    Kwanza nieleze kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi kuna mihimili 3 katika nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama, ambayo inatakiwa kufanya shughuli zake bila kuingiliana, katika kile tunachokiita kwa Kiingereza kama "check and balances" Hali ni tofauti sana katika nchi hii, kwa kuwa Rais...
  6. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, wewe ni mwanaume

    Tuko katika vita na kama ilivyo kawaida ya Watanzania umoja wetu ndiyo nguvu yetu. Umedhihirisha kwamba wewe ni jemedari hodari katika hili. Ulimwengu mzima unatafuta kujua huyu Magufuli ni wa aina gani? Vitabu vya historia vitaandika habari zako kama mtu shujaa wa karne. Naamini COVID19...
  7. Africaboy

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji muhimu na ya kuvutia sana Afrika nzima

    Katika episode hii ambayo imeangazia 'MEGA CITIES' ama ukipenda majiji ambayo yako developed na yenye mvuto. Jiji la Dar ni miongoni mwa majiji haya 7. itazame video yenyewe unipee maoni yako. DISCLAIMER: Maelezo yamefanywa kwa lugha ya Kiingereza 👇 The Most Beautiful & Developed African mega...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

    Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Daraja sarendar bridge Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri. Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Magufuli is failing Tanzanians and East Africans

    How Magufuli is failing Tanzanians and East Africans On paper, President Pombe Magufuli is arguably the most learned of all East African presidents. This is not to say that he is the brightest or rather the less ignorant of them all. This can be clearly seen from how he is handling the Covid-19...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Chadema wanaweza kukosa " bahati" ya kukutana uso kwa uso na Rais Magufuli na kupiga picha ya pamoja hadi bunge linavunjwa!

    Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi. Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema "...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Bila kupeana makavu hatutoboi, kwako mzee baba

    Kwako Rais wetu mpendwa, jembe letu la ukweli, mzee baba, Dr. Magufuli. Protokali yote imezingatiwa. Mengi yameandikwa, shauri mbalimbali zimetolewa tangia kabla sana ya ugonjwa huu kuingia nchini takribani miezi miwili sasa. Ugonjwa uliopaswa kuzuiliwa kuingia, uliingia nchini. Pia ugonjwa...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote, Magufuli aachwe amalize vipindi vyake viwili vya Urais

    Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono. Sijaanza kampeni hapana. Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge. Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee. Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli eleza sababu zako kwa nchi jirani sio kuwakwepa

    Kwenye suala la Corona hakuna aliyeleta huu ugojwa. Nashangaa Raisi wetu kuwakwepa marafiki zake kama Odinga na majirani zetu kama Kagame, Musevi , Kenyatta na hata raisi wa Zambia kiasi cha kuanza kufungiana mipaka. Kwnye Corona hakuna jibu zuri lakini ni bora ueleze sababu zako ili...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Viwanda 4000, mia moja kila mkoa vimemuangusha Rais Magufuli

    It is a sad story ambayo itasimuliwa vizazi na vizazi. Mojawapo ya sifa kubwa ya serikali ya wamu ya tano iliyotikisa dunia ni jinsi ilivyoweza kujenga viwanda vikubwa 4000 ndani ya miaka 4 habari hii pia iliungurumishwa na Profesa Kabudi kwenye United nations general assembly alipokuwa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli upo wapi? Waajiri wako tunataka kujua upo wapi? Viongozi wenzako wa EAC/SADC na marafiki wanakutafuta mbona hujitokezi?

    Naandika hili andiko nikitumia haki yangu ya kikatiba kutaka kujua rais Magufuli yupo wapi...Tuna haki ya kujua maana hatujui aliko na kwenye Ikulu zote mbili hajaonekana kwa zaidi ya mwezi na huu ni mwezi wa pili sasa. Tumesikia amekataa kuhudhuria mkutano wa SADC kwa Webinar na mkutano wa EAC...
  16. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

    CHARITY BEGINS AT HOME. Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao... Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni; Magufuli alisema hatutafanya lockdown kwani nchi jirani zinategemea bandari zetu, nchi jirani zinazuia magari toka kwetu kuiingia kwao!

    Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo. Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia...
  18. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania This is the moment of the Truth, Tanzania fight against COVID-19

    COVID-19 has clearly affected people’s lives worldwide. The most disruptions are being caused by factory-closures, total lockdown, border closures, and other strict measures that have resulted in a lack of essential goods and services, raw materials for industries, parts, and components...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Waziri wetu wa Afya ametengwa? Kitengo cha kupambana na COVID 19 kimehamishiwa ofisini kwa Waziri Kabudi?

    Kabla Rais hajamuondoa marehemu Dkt. Augustine Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje alianza sana kumtumia tumia Prof. Kabudi hadi akamuwakilisha kuongea na diaspora wa USA. Baadaye tuliona yaliyotokea. Leo nimemshangaa sana Waziri wa Mambo ya Nje kubeba majukumu yote ya Wizara ya Afya hadi...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Magufuli katuangusha kwenye uchumi

    Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And...
Back
Top Bottom