Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,529
Reaction score
42,832
NAANGALIA TBC MUDA HUU ANASIFIWA MAGUFULI TU na kwaya.

Muimbaji anasema watoto Sasa hivi madarasani hawakai chini kwa sababu Magufuli amefuta hili tatizo.

Pia Hilo jamaa Nene jeusi lenye mtambi linasema Sasa hatukopi Tena na bakuli la ombaomba liko kabatini. Ila ni Jana hapa tumeambiwa mkopo wa world Bank dola 500 tulizozililia unakuja.

Anyway nikusifu tu hapa hongera TBC.
 
Back
Top Bottom