Kuanzisha biashara ya service ya magari

KiwandaniTz

Member
Jan 8, 2019
44
38
Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE.

Nitashukuru kwa yoyote mwenye uwezo wa kunielezea.
 
Back
Top Bottom