Habari wadau..
Gari limeisha bima leo na niko bush hakuna ofisi za kampuni za bima.. nataka ninunue online kwa sim banking..
Ila najiuliza sticker naipataje? Maana kesho narudi mjini sitaki usumbufu wa traffic njiani
Karibu hapa uweze kushare pamoja nasi picha za magari mazuri sana. Unaweza kuweka picha ya magari unayoyahusudu au una ndoto siku moja uweze kuyamiliki siku ukibahatikiwa kuwa Mond au laizer. Karibu sana tuburudishe macho na tuelimike.
Mimi naanza na huu Mnyama cadillac escalade nauelewa sana...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameelekeza Makamanda wa Polisi nchini kufanya operesheni dhidi ya magari mabovu ambayo hayapaswi kuwepo barabarani rasmi kesho, ili kuwahakikishia usalama watumiaji wa vyombo vya moto na kuepuka ajali za barabarani.
IGP Sirro amesema hayo leo...
Unajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na gari Haina ubora Bei ipo juu najiuliza hivi kweli muuzaji yaani mwenye gair ndio anauza bei hiyo...
Wakuu igweee
Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha
Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi
So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana naomba mnisaidie kujua ni gereji ipi ina kiwango kikubwa na mafundi wazuri
Kuna huyu trafiki anaeongoza magari kwa mbwembwe(huku anachezacheza) anaonekana kuvutia na kufurahisha watu wengi.
Sijui ndio kuipenda kazi yake au laa, ila anachofanya ni kuwafanya watu wengine wanaomuona kupenda kazi zao hata kama wanazifanya katika mazingira magumu kwani anaonesha kuipenda...
Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi inayosababishwa na genge la kamatakamata ya magari barabara za mitaa ya jiji.
Hili genge huibuka na kupotea...
JESHI la Polisi kitengo cha Usalama barabarani, limetoa mafunzo kwa mafundi magari waliyokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kutambua vifaa ambavyo vipo kwenye magari hayo.
Mafunzo hayo yametolewa leo Mei 29, 2021 na Mkuu wa...
MAJINA YAMAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE.
Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake .
katika ukuaji wa biashara , katakana co.ltd , ilibadilishwa ...
Nchi hii tunaenda wapi?
Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni...
Kikwazo kikubwa kinachoathiri biashara ya Daladala leo ni njia na usimamizi wa haya magari. Hii inajumuisha wasimamizi yaani TRA & trafiki, Bima etc.
Biashara ya Daladala imekuwa moja ya uwekezaji hatari zaidi hadi sasa kutokana na wamiliki kushindwa kushika mambo yote,tena ukizingatia wengi...
Binafsi siamini kuwa serikali hii ya sasa, kama ilivyokuwa kwa serikali zilizopita, hawaelewi kuwa ukipinguza kodi ya kuingiza magari nchini, watu wengi zaidi wataagiza magari na hivyo kuiongezea zaidi serikali mapato, bali naamini wanahofia miundombinu ya jjji kuzidiwa na wingi wa magari ila...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
Binafsi huwa natamani mno Kuyajua Magari yao nikiwa njiani ( natembea kwa Miguu ) lakini sijaweza kuyajua ila nimeambiwa Matrafiki wote huwa wanayajua Kiurahisi sana tu hata kama yako mbali au yakisimama ana kwa Kuyaangalia au kwa Kumhoji Dereva ( Mwendeshaji wake )
Ninataka kuyajua ili niwe...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanayatunza magari waliyokabidhiwa na serikali na kwamba atakayekutwa amepaki gari kisa kukosa 'service' atakuwa hana kazi na kwamba magari hayo yasitumike kununulia nyanya wala kwenda nayo bar...
Muundo wa Halmashauri zetu zina idara 12 na vitengo 6. Hivyo kufanya jumla ya wakuu wa idara na vitengo kuwa 18 . Kabla ya kuondoka watalaam wa Maji kwenda RUWASA Halmashauri ilikuwa na wakuu wa idara na vitengo 19.
Idara zilizopo katika Halmashauri ni idara ya Elimu Msingi, Idara ya elimu...
Matrafiki Wanaongoza Magari Wakati Taa Zinafanya Kazi
Kwa wale wanaojiunga hivi punde na haya yanayojiri, ambao bado wanajiuliza kwani je vipi somo mbona trafiki kuongoza magari wakati taa za kuongozea magari zinafanya kazi? Hii hapa historia fupi.
Miaka ileeee palizuka kelele nyingi kwa nini...
Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata.
Magari haya unaweza kuyakuta mbali tena yakiwa nje ya mji.
Swali la kujiuliza. Nani anaweka mafuta haya magari kuyawezesha...
Wakuu nchi kama Brazil sehemu kubwa ya magari yake yanatumia pombe kama nishati. Mengine yanatumia mchanganyiko wa mafuta na pombe. Wamarekani nao hawako nyuma, hawa pombe yao inatokana na mahindi. Pombe huko Brazili inatokana na miwa.
Na kiukweli future ya nishati ya magari ni pombe. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.