Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,408
Uchumi wa viwanda, TZ tunatengeneza magari
Tesla hio mkuu.Hilo ni gari au toroli?
Pongezi kwa shujaa wa Afrika Magofool. Hilo bonge ya gari.
Jf jioni ya Leo Ni balaa tupuGari ama mkokoteni
Huo mlango mbona hauna wakufungia?! na jamaa mbele pale ana record kabisa aje kutuonesha video.Tesla hio mkuu.
Elon Musk ka-panic baada ya kuona hili ndinga Mzee.Tesla hio mkuu.