Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni?
Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako?
Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental
Wasiliana nasi sasa, kuuliza bei ni Bure kabisa!
Call/WhatsApp : 0788457446
Office : Kijitonyama
Bei kuanzia 150,000
Nasubiri majibu yenu CCM Makao Makuu au hapo Lumumba juu ya hili kwani Sisi wana CCM tunayahitaji yale Magari ili tuweze Kumtangaza zaidi Bi. Hangaya na Tanzania yake.
Huyu Haji Manara anatakiwa awe Jela.
Kwa yeyote anaejua mtu au mahali ambapo wanauza magari aina ya "Mercedes-Benz G-Class" au "Gelandwagen" kama linavoonekana hapo chini naomba anisaidie kuna mtu anafanya biashara ya kuyanunua hata kama yakiwa ni mabovu "Wrecked".
Mobile Number: 0783 242247 & 0621 703279
Nikiwa seminari tuliwahi kufundishwa kilatini ijapokuwa ntakuwa nimesahau maneno mengi bado nakumbuka msemo wa muhimu sana wa kilatini unaosema kama wengine wameweza kwanini mimi? Kwa kilatini Si isti et istae cur non ego? Msemo huu utatuongoza kwenye makala yetu ya leo tukitafakari hatua...
Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo!
Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika!
Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika)
Hii inamaanisha kwamba...
Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way.
Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na...
Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi na masuala ya tax clearance kwenye bisahara ya magari huko Alibaba mpaka watu wanakomaa na mitandao...
Nilishangaa sana nilivyofikaa Zambia, magari mengi barabarani.
Je, hii inamaanishaa Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba.
Naomba kuwasilisha
Bondia Hassan Mwakinyo amesema Kwamba hawezi kupigana kugombania gari kwasababu hana shida ya gari kwani ana magari matatu na kati ya hayo kuna moja anatumia kupeleka Mbwa wake Baharini kuogeshwa.
Huyo ndo Mwakinyo bwana Mdigo mwenye maneno yake.
Bado mnataka apigane na Twaha Kiduku?
Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU.
Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili.
Gharama za maisha zinapanda kila...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuzivutia kampuni kubwa za usafirishaji duniani, baada ya meli kubwa ya kisasa ikiwa na shehena kubwa zaidi ya magari kuwahi kutia nanga bandarini hapo.
Meli hiyo ya TRANQUAIL ACE (IMO: 9561253) inayomilikiwa na Kampuni ya Mitsui ikitokea moja kwa moja nchini...
Habari zenu wakubwa' Naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka27 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis' Nina uzoefu wa miaka9 ' kimtaji kiukweli sijafanikiwa kufungua ofisi yangu'hivo nilikuwa naomba mwenye connection ya kazi kwenye workshop au garage yoyote aniunganishe 0629177983
Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro.
Watumishi wa ardhi...
Wakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu!
Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje...
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Habari za asubuhi wakuu..Natumaini wote mmeamka salama.
Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka hapo juu sisi ni wauzaji wa magari aina zote yaliyotumika japan na yaliyotumika hapa bongo, ofisi zetu zipo Dodoma wajenzi na Dar es salaam kinondoni
Haya ni baadhi ya magari yaliyokuwepo
Hii ni toyota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.