INAUZWA Sabufa ya gari na bajaji inapatikana kwa bei nafuu

Buda95

Member
Aug 1, 2020
14
74
Subwoofer yenye Amplifier ndani
-Watts 1000
Mdundo Kama Wote
Kwa ajili ya Gari lako au Bajaji
Zinapatikana kwa Jumla na Rejareja
Bei
90,000/=
Tupo Kariakoo-Dar es Salaam
WhatsApp & Calls
0714122948
Delivery Ipo
Mikoani Tunatuma Pia
IMG-20200801-WA0001.jpeg
IMG-20200801-WA0000.jpeg
IMG-20200801-WA0002.jpeg
 
Najaribu kuangalia uwezekano wa kuifunga hii kitu kwenye fekon🤸‍♂️
 
Disen car subwoofer (MPYA)
Subwoofer yenye amplifier ndani
-Watts 1000
-Mdundo kama wote
Kwa ajili ya gari lako au bajaji
Zinapatikana
Bei
90,000/=
TUPO LIVINGSTONE/PEMBA KARIAKOO
WhatsApp & Calls
0714122948
Delivery ipo Kwa waliopo Dar

Mikoani Tunatuma pia


FB_IMG_1606969508808.jpg
FB_IMG_1606969503173.jpg
 
Kuna kitu unapotosha au hujui.Sidhani kama kuna subwoofer ya gari yenye watts 1000.Unazijua watts 1000 wewe?!

Hebu piga picha hapo kwenye subwoofer ambapo pameandikwa watts 1000 kisha posti hapa.
 
Kuna kitu unapotosha au hujui.Sidhani kama kuna subwoofer ya gari yenye watts 1000.Unazijua watts 1000 wewe?!

Hebu piga picha hapo kwenye subwoofer ambapo pameandikwa watts 1000 kisha posti hapa.
Muuzaji na yeye hajui chochote .ndo mana mtu kamuuliza kuweka geto akasema haifai ni wazi hana uelewa na anachouza

Hako ka sub kana power transistor mbili tu 5198/1941 kanakula volt 30± real power hapo ni 70-80w tu and not more..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom