USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita .

Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi karibuni kunazia Namanga, Horohoro,Sirari na n.k wafanyabiashara na wamiliki wa magari wanakimbilia Tanzania kununua mafuta kwa bei chee hata eneo la ziwa Victoria.

Asante Sana mama

USSR

---
Maelfu ya wamiliki wa magari pamoja na waendesha boda boda katika mji wa mpakani wa Namanga wanaendelea kuingia nchini Tanzania ili kununua mafuta ya bei rahisi kulingana na gazeti la Nation.

Tarehe Mosi mwezi julai shirika la kudhibiti bei ya mafuta nchini Kenya EPRA liliongeza bei ya mafuta kwa mujibu wa sheria ya fedha ya 2023, ambayo iliongeza VAT kutoka asilimia 8 hadi kumi na sita

Mjini Nairobi na kaunti ya Kajiado lita moja ya petroli inauzwa kwa shilingi 195.5 za Kenya huku nchini Tanzania ikiuzwa kwa shilingi 2,781 za Tanzania ambazo ni shilingi 160 za Kenya.

Hii ina maana kwamba lita moja ya mafuta ya petroli iko chini kwa shilingi 35 za Kenya nchini Tanzania.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti la Nation Media, umebaini kwamba wengi waliokuwa wakinunua mafuta katika kituo cha mafuta cha Admire Filling Station kilichopo kilomita moja kutoka mpakani ni raia wa Kenya.

Kulingana na gazeti hilo, bei ya mafuta imekuwa ikishuka nchini Tanzania katika kipindi cha miezi miwili iliopita huku ikipanda nchini Kenya.
 
Weka kapicha tujione.
 
Kwahiyo cost za kivuka mipaka hamna? Sijajua kama watu wa mipakani County border huwa haziwahusu ni in and out for free
 
Huyu Ruto nchi imemshinda bwebwe zake zote zimeishia wapi?
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp Bado wanakuja
 
Back
Top Bottom