Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
1. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)

2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since when Mzaramo akaitwa Dotto. Mama angu ni mzaramo wa Malui (Kisarawe rural: Ukiwa Msanga sokoni unaiacha njia ya kwenda Chole unakata kushoto) sijawahi kusikia mzaramo anaitwa Dotto.

Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee? Mzaramo hata akizaa mapacha hawaiti kulwa na Dotto atawaita Hassan na Hussein au Halima na Hadija etc..kuitana kulwa na Dotto ni utamaduni wa wasukuma na wanyamwezi

3. Anaongea sana kama mtoto wa jinsia pendwa. He claims to be from Kinondoni but he doesn't talk 'according to Kinondoni'. Watoto wa Kino hawaongei kama anavyo ongea yeye. " something is missing in him" (elewa vizuri maana ya " na " kama zilivyo tumika kwenye sentensi tajwa hapo juu)

# Dotto Magari!!! Do u tell me what I think ur telling me?

Time will tell.

1. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)

2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since when Mzaramo akaitwa Dotto. Mama angu ni mzaramo wa Malui ( kisarawe rural:ukiwa Msanga sokoni unaiacha njia ya kwenda Chole unakata kushoto) sijawahi kusikia mzaramo anaitwa Dotto.

Na wewe fafuta lakwako, kuna sababu kwa nini wewe unamfaham, na yeye hakufaham, weka bidii kwenye kazi.
 
1. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)

2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since when Mzaramo akaitwa Dotto. Mama angu ni mzaramo wa Malui ( kisarawe rural:ukiwa Msanga sokoni unaiacha njia ya kwenda Chole unakata kushoto) sijawahi kusikia mzaramo anaitwa Dotto.

Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee? Mzaramo hata akizaa mapacha hawaiti kulwa na Dotto atawaita Hassan na Hussein au Halima na Hadija etc..kuitana kulwa na Dotto ni utamaduni wa wasukuma na wanyamwezi

3. Anaongea sana kama mtoto wa jinsia pendwa. He claims to be from Kinondoni but he doesn't talk 'according to Kinondoni'. Watoto wa Kino hawaongei kama anavyo ongea yeye. " something is missing in him" (elewa vizuri maana ya " na " kama zilivyo tumika kwenye sentensi tajwa hapo juu)

# Dotto Magari!!! Do u tell me what I think ur telling me?

Time will tell.
Nimemjua kupitia andiko lako,ila nimemuona yuko poa tu,he is busy making money.
 
Wewe elewa tu hata Waha wengi hujiita Wamanyema/Wabembe.
NB:Ukaamua uwatanie watani zako kabisa Wanyamwezi na Wasukuma.Hata hivyo:-
-Doto=Dogo/Mdogo
-Kulwa=Kubwa/Mkubwa.
 
1. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)

2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since when Mzaramo akaitwa Dotto. Mama angu ni mzaramo wa Malui ( kisarawe rural:ukiwa Msanga sokoni unaiacha njia ya kwenda Chole unakata kushoto) sijawahi kusikia mzaramo anaitwa Dotto.

Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee? Mzaramo hata akizaa mapacha hawaiti kulwa na Dotto atawaita Hassan na Hussein au Halima na Hadija etc..kuitana kulwa na Dotto ni utamaduni wa wasukuma na wanyamwezi

3. Anaongea sana kama mtoto wa jinsia pendwa. He claims to be from Kinondoni but he doesn't talk 'according to Kinondoni'. Watoto wa Kino hawaongei kama anavyo ongea yeye. " something is missing in him" (elewa vizuri maana ya " na " kama zilivyo tumika kwenye sentensi tajwa hapo juu)

# Dotto Magari!!! Do u tell me what I think ur telling me?

Time will tell.
Gubu🤣
 
Back
Top Bottom