Kwa wanaojua magari haya

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,836
12,593
Habari za usiku huu?

Nina kijana wangu nataka kumnunulia gari kwa ajili ya biashara.

Gari yenyewe ni Toyota Coaster used hapa Tanzania. Au Nissan Civilian niagize kutoka Japan.

Nataka kununua Toyota Coaster 1HZ used hapa Tanzania kutokana na kuagiza ni ghali zaidi na itakuwa nje ya bajeti yangu.

Kuagiza Nissan Civilian kutoka Japan ni ndani ya bajeti yangu

Changamoto wengi wanasema Nissan Civilian sio nzuri kwa barabara korofi zisizo na lami body yake inachoka mapema tofauti na Toyota Coaster.

Wengine wanasema spare parts za Nissan Civilian ni ghali (bei juu tofauti na Toyota Coaster)!!

Najua humu ndani wajuzi wa magari na wenye uzoefu ni wengi naomba mnisaidie mm mstaafu.

Asanteni na mlale salama.

Inshallah.
 
Toyota itakuwa nzuri zaidi, uimara pamoja na upatikanaji wa spea.

Pia kama una lengo la kuingia kwenye utalii, unaweza ukanunua gari moja au mbili (land cruiser), ukaipeleka kule Karatu kwa ajili ya ngorongo, kukodi hiyo gari kwa tripu ni 350,000.​
 
Habari za usiku huu?

Nina kijana wangu nataka kumnunulia gari kwa ajili ya biashara.

Gari yenyewe ni Toyota Coaster used hapa Tanzania. Au Nissan Civilian niagize kutoka Japan.

Nataka kununua Toyota Coaster 1HZ used hapa Tanzania kutokana na kuagiza ni ghali zaidi na itakuwa nje ya bajeti yangu.

Kuagiza Nissan Civilian kutoka Japan ni ndani ya bajeti yangu

Changamoto wengi wanasema Nissan Civilian sio nzuri kwa barabara korofi zisizo na lami body yake inachoka mapema tofauti na Toyota Coaster.

Wengine wanasema spare parts za Nissan Civilian ni ghali (bei juu tofauti na Toyota Coaster)!!

Najua humu ndani wajuzi wa magari na wenye uzoefu ni wengi naomba mnisaidie mm mstaafu.

Asanteni na mlale salama.

Inshallah.
Habari mzee Wang... Karibu nikuhudumie ukishamaliza kupewa ushauri, naitwa cecylia ni agent in clearing and forwarding pia nauza gari used options yyt uitakayo... Karibu 0764423726
 
naitwa cecylia ni agent in clearing and forwarding pia nauza gari used options yyt uitakayo... Karibu 0764423726
Nijuavyo utapokea simu nyingi za kununua jina siyo za kuagiza coaster
 
Habari mzee Wang... Karibu nikuhudumie ukishamaliza kupewa ushauri, naitwa cecylia ni agent in clearing and forwarding pia nauza gari used options yyt uitakayo... Karibu 0764423726
Nitumie details za Toyota Coaster IHZ na Nissan Civilian TD42 nione cha kufanya kwenye bei maana wengi wakisikia sisi wastaafu wanadhani tunajisaidia pesa kumbe vikokotoo vimeshatumaliza.

Unaweza kuweka hapa au PM.
 
Back
Top Bottom