Nigeria: Wabunge wagoma kununua magari yaliyotengenezwa nchini humo

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV

Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini humo.

toyota-landcruiser-prado-banner-1-526x296.png

Source: Nigeria news sources

This is Africa.
 
Back
Top Bottom