magari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni magari gani Tanzania showroom yanauzwa chini ya sh `10M

    Habari Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo toka japan? Nina bajeti hiyo washkaji nipeni ushauri wa kiukweli sio utani. Asante
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ole Lekaita Akabidhi Magari Mawili ya Wagonjwa Kituo cha Afya Sunya - Kiteto

    MBUNGE OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Wilaya ya Kiteto kimekabidhiwa magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza mara baada ya kukabidhi magari hayo jana tarehe 16...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge PAC: Kuna Uwepo wa Magari ya Serikali 547 ambayo Hayatumiki kwa Muda Mrefu

    Ukaguzi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini jumla ya Magari ya Serikali 547 yalikuwa yameegeshwa kwenye Karakana za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na katika baadhi ya Taasisi za Serikali Aidha, baadhi ya magari yaliyotelekezwa hayakuwa kwenye mipango ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Academic Mikocheni Njia ya Clouds inasababisha Foleni, Utaratibu mbovu wa kupokea magari

    Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo. Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Dotto Magari bila ya kujijua amemkosea Tajiri yake Manara

    Wakati akimuongelea Baba Levo kuhusu kupigwa na Harmonize, Dotto Magari akapitiliza na kusema kuwa Baba Levo hana maisha na anaishi kwenye Apartment ya kupanga ghorofani. Dotto ameyasema hayo bila ya kukumbuka kuwa Tajiri yake Haji Manara nayeye anaishi kama Baba Levo. ANGALIA VIDEO HAPA
  6. JamiiForums Tanzania Ajali ya Magari 13 Msafara wa Makonda; Tusome Alama za Nyakati

    Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara. Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

    Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii. Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM...
  8. JamiiForums Tanzania Usajili wa magari ya serikali umefikia “STN” kazi iendelee

    Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN. Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo! Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toyota yasaini makubaliano ya Kuunda Magari yake nchini Kenya

    Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala. Makubaliano hayo yatawezesha Toyota kuanzisha kiwanda cha kutengeneza magari nchini. kampuni imefanya uwekezaji wa awali wa Kshs 800...
  10. JamiiForums Tanzania Tunaweka mfumo wa gas kwenye magari

    Karibu!! karibu!! NIT TUNAFUNGA GAS KWENYE MAGARI ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta na utaokoa asilimia 75% za gharama ya mafuta Gharama za ufungaji mfumo ni kulingana...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Dereva gari la serikali alewa na kusababisha ajali

    Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda. Baadhi ya mashuhuda wamemuuliza kwanini amelewa na ni dereva wa serikali ambapo amekiri kweli kuwa amelewa.
  12. JamiiForums Tanzania Lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes

    Deadline day shoking transfer Naam wakati people wapo bize kufatilia siku ya mwisho ya usajili wa majira ya baridi kwenye soka mara inaibuka taarifa bingwa mara 7 wa mashindano ya mbio za magari maarufu kama langalanga( Formula one)lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes😅...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha. Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari mabosi yaende kule ili kuwazungusha, sasa sisi wafanyakazi wengine tukifika tunabaki hohe hahe...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

    Tumekuwa tukiona Mhe. Paul Makonda akiingia na Toroli, Bulldozer, Baiskeli n.k kwenye ziara zake mikoa tofauti nchini. Je ulishawahi kujiuliza ni jinsi gani msafara wa magari wa Makonda unavyoonekana akiwa anaelekea kwenye ziara zake huko mikoani.? Hapa nimekuletea picha tofauti za muonekano...
  15. JamiiForums Tanzania Majaji, Viongozi wa serikali, Magari ya Jeshi yanaongoza kwa kuvunja Sheria za Usalama barabarani

    Katika watu wanaopaswa kutii sheria za barabarani ni Watu hawa, Majaji, Jeshi, Viongozi wa serikali, ila katika nchi yetu hii ipo tofauti sana, yan wanaongoza kuvunja sheria mnoo, bila hata sababu za msingi, na hata zingekwepo hawakupaswa kuvunja sheria. Unakuta wanapita Njia ya magari ya...
  16. JamiiForums Tanzania Magari ya TANESCO yanasababisha ajali na kukimbia

    Salam wana jukwaa, Una hii kero nimeipata siku nyingi ila sikuwa na msukumo wa kuileta humu mpaka ilipokutana na mtu wangu wa karibu, haya magari ya ndugu zetu wa tanesco yale ya emergency huwa hawajui ni muda gani waendeshe kana kwamba kuna dharula. Hii inapelekea gari lile kuendeshwa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni anapwaya! Trafiki wanajiamulia cha kufanya, magari yanajiendesha

    Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye jeshi la Polisi limo ndani yake anaonekana kufeli pakubwa na so far Mama Samia anamvutia pumzi. Waziri Masauni, ama kwa kujua ama kutokujua kuna makosa makubwa sana anayofanya. Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya ajali iliyohusisha gari aina ya Fuso (T 861...
  18. JamiiForums Tanzania Flipper Zero, kifaa cha kidigitali kinachoweza kutumika vibaya kwenye udukuzi wa funguo za magari na password za simu

    Sio kila kilichopo kimetengenezwa au kuundwa kina dhamila mbaya inaweza kuwa nzuri kwa wengine na wengine wakatumia vibaya. Teknolojia inazidi kukuwa na kuwa msaada kwa matumizi lakini ugeuka kuwa mbaya kwa wanaotumia kwa njia ya uwovu kwenye mambo mengine. Wakati napitapita kwenye mitandao...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati wa Temeke hulazimika kupanda magari mawili ili kufika Mabibo Kigogo ama Manzese

    Wanaohusika na kuanzisha root za daladala watufikirie , maana nauli imepanda na tunalazimika kulipa nauli mbili kwa safari fupi kabisa.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari amjibu Mwijaku "ile nyumba au kibanda nitokee, watu wamejenga bangaloo"

    Mzuka mwanajamvi. Influencer na muuza magari maarufu nchini Dotto Magari ambaye ni watani na wanamashindano ya kimaisha na Mwijaku na baba level ameiponda nyumba mpya ya mwijaku iliyoleta gumzo la aina yake nchini toka jana. Video hapo chini https://www.youtube.com/watch?v=Af0N3hZ66t0 LIKUD...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…