Isecure Technology ni kampuni inayojishughulisha na kufunga mifumo mbali mbali ya ulinzi maofisini na majumbani. Hii mifumo ni kama CCTV camera, Electric fence, Bio-metric time attendance and Access control. Pia tunajishughulisha na ufungaji wa GPS kwenye magari na Pikipiki
Kwa sasa tunahitaji...
Niseme kwamba mafundi tuliojenga majengo haya ya uviko hasa madarasa tumeteswa sana na bado tunateseka sana.
Kwa hii wilaya niliyopo tuliingia mkataba na serikali kujenga haya majengo tukakubaliana bei na kamati ya kujenga madarasa yakamilike kwa muda japo muda ulikua mdogo sana yani wiki 3...
Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
Kwa wale wataoweza mikoani Mimi nipo Dodoma nauza sponge za kutengeneza masofa wanaziiita SHEET kitaalamu hizi ni zile chakavu tunauza kwa kilo kama wewe ni fundi hii kutasaidia kukupunguzia matumizi makubwa ya pesa kwenye kukununua sheet special sisi tunauza kg sh 6000 kwa kilo popote...
Nafikiri watu wengi huchanganya choo na bafu kwasababu ya bajeti.
Lakini huyu kweli alikuwa na shida ya budget?
Ni mafundi mmekremisha? Ukosefu wa ubunifu? Au wenye nyumba wenyewe wanapenda hivi? Me nimecheka Kweli, nafikiri ni fundi maiko kafanya yake.
Hakuna kitu nachukia kama chooni...
Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu.
Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika...
Wakuu habar za uzima najua tupo kwenye pilika pilika kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu. Nilikua naombeni msaada wa kisheria kwenye ufundi simu upande wa software je kuremove password kwenye simu ni kosa kisheria?
Na kipi ukifanya ni kosa na kipi so kosa wakuu. Ngoja niwape kisa...
Kwa hili TAMISEMI kaeni mfikiri upya mzigo mnao watwisha walimu ukiachilia mbali mzigo wa vipindi walio nao si haki na si sawa
Na CWT mpo kimya hata hamfuatilii mkaona ni madhila gani walimu walio chini ya chama chenu wana nyanyasika na kusurubishwa kwa kazi ambayo hawakuisomea na wala hawana...
Urban electrico istallati installation Company ni kampuni ya umeme inayo jishughulisha na kazi zote za design na istallation ya umeme wa:-
01. Nyumba na fances
02. Hoteli & bar
03 Disco and club
05 flame za maduka. E.tc
U.e.i company tunajivunia kufanya kazi kwa ubora na hii ni kwa sababu ya...
Nahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note: Wawe Dar
Nahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note:
Wawe Dar
Zaidi ya mara nne naenda kupima naambiawa hakuna malaria.
Nikiangalia mwili wangu upo hoi na hauna nguvu, watu wa hospital Hai wanapima kwa kutumia Malaria test Kit. Mbona hawatumii darubini kama zamani? Maana matokeo yanazingua jamani, mtu unaumwa alafu unaambiwa hauumwi.
FURSA FURSA FURSA
Tunawatangazia mafundi wote wa ujenzi na wasaidizi wa kazi za Ujenzi kuwa kuna fursa ya kazi na mafunzo ya ujenzi. Pia kwa yeyote yule ambaye yuko tayari kujifunza ujenzi ata kama sio Fundi wa ujenzi atapokelewa.
Tunapatikana Kibaha Misugusugu.
Kwa maelezo zaidi piga: 0672629292
Wale mabingwa wa uezekaji paa, wanaojua kuweka mlalo mzuri wa kupendezesha nyumba,kwa mabati ya muundo wa vigae, tuwekeeni sample, ikiwezekana na bei ili wateja tujichange kwa kazi.
Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo!
Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama.
Majengo ya serikali sio nyumba...
Nawasalimia kwa jina la jamuhuri kazi iendele
Kwa kifupi naomba kufikisha ombi langu kwenu wakuu.
Mimi kama kijana natamani sana kujifunza ufundi hasa wa pikipiki na vingine pia kwan ufundi ni hazina kubwa sana kwa mtu kwan hatujue leo wala kesho yetu. Ombi langu kwenu kama nitapata...
Wakuu habari zenu,
Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp
Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.