Tangazo la Biashara

Mr No fair

Member
Oct 25, 2020
53
52
Kwa wale wataoweza mikoani Mimi nipo Dodoma nauza sponge za kutengeneza masofa wanaziiita SHEET kitaalamu hizi ni zile chakavu tunauza kwa kilo kama wewe ni fundi hii kutasaidia kukupunguzia matumizi makubwa ya pesa kwenye kukununua sheet special sisi tunauza kg sh 6000 kwa kilo popote unaagiziwa kama wewe ni fundi au mfanyabiashara wa. Magodoro unaweza kuweka 0hizi dukani kwako zitakulipa pia kama kuna fundi sofa unae.fahamu mpe huu mchongo atakushukuru sana tupo Dodoma mjini 0656410330 tutafute WhatsApp au tupigie masaa ya muda wa kazi kwa maelezo zaidi
 

20211211_182208.jpg
 
Back
Top Bottom