mafundi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa mafundi wa hesabu tu!

    Habari wakuu, Nahitaji kuweka mkeka wa match 5, option 4 , ( home,draw ,draw ya cap na away win,) Je nitaweka mikeka mingapi? Ili mmoja utoe Member citizen..,natambua uwezo wako wa hesabu naomba majibu mkuu
  2. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi hupelekea watu kujenga bila ramani au kwa ramani za kukopi kutoka kwa watu wengine?

    Habarini wakuu. Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao. Hebu fikiria umetumia milioni...
  3. albab

    JamiiForums Tanzania Msaada kutoka kwenu wakuu

    Wadau heshima yenu. Kwa ufupi mwakani nataka nianze ujenzi ila bado napata ukakasi kuhusu haya yafuatayo. 1. Nitumie tofali za kuchoma (hapa nimepanga kujengea tope joint zikiwa ndogo saanaaa kwa haraka ukiangalia unaweza sema tofali zimepangwa tu) 2. Nitumie tofali za kupanga ("interlocking...
  4. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu, malengo ya kurasimisha ujuzi kwa mafundi uliouanzisha hauendani na maelekezo yako pale VETA, watumbue wahusika

    Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa...
  5. politicians

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafundi ujenzi

    Habari wadau! Natafuta mafundi ujenzi wa nyumba n.k,kama wewe ni fundi ujenzi naomba nitumie SMS kwenye namba hii 0687234549,halafu mimi mwenyewe nitakupigia baadae,Asante!
  6. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Mafundi nguo acheni ujinga huu...

    Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu! Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa. Leo nimekuja kuchukua nguo zangu kubabake zimemodolewa zote! Hapa nilipo nimechukia kinoma! Nahisi sinaga bahati na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwenu mafundi nyumba

    Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida.
  8. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako. Marekebisho ninayofanya ni...
  9. mgt software

    JamiiForums Tanzania TBS, TCRA na TRA washindwa kuisaidia Serikali kuondoa spea feki za Simu. Mafundi simu waishia lockup wasijue lakufanya

    Wana Jf Serilikali kupitia ajent zake za kitaifa kwa pamoja wanaungana kuikosesha mapata serikali na kuleta mtafaruku mkubwa kati ya mafundi simu na wateja wao. TBS, TCRA na TRA zilivyoshindwa Nazi zao kila moja nitaelezea makosa yao TBS wameshindwa kuajiri vijana wenye weledi kutambua vitu...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka Kujifunza 'Kujitetea' pale 'mnapoonewa' na Watu 'Wababe' na mpate Haki zenu 'waigeni' Mafundi hawa

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile... 1. Fatma Karume 2. Peter Kibatala 3. Tundu Lissu 4. Jebra Kambole 5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia...
  11. napenda movie

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye shida upande wa Software za simu na tool tukutane hapa

    Tuna deal na simu za aina yeyote ile kwa tatizo linalohusu software basi hapa ndo nyumbani unaweza jipatia frmware pamoja na tool yake kwa free kabisa na ukakamilisha kazi yako bila shida kabisa. Ikiwa unauhitaji wa ku unlock simu na vifaa vingine kama vile modem looter nk huduma inapatikana...
  12. Voltaire

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mafundi bora kabisa Dar es Salaam wa kunyoosha na kupiga rangi

    Habarini? Gari yangu imepata michubuko kwenye upande wa nyuma na kwa pembeni, nahitaji kurudia rangi sehemu hizo tu na rangi iwe inashahabiana kwa walau 80% au zaidi hapa Dar es Salaam, kwa anayefahamu mafundi bora wanaoweza kuifanya hii kazi anisaidie walau contacts au location. Shukran!
  13. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa kupiga nyumba plaster (lipu)

    Nataka kupiga nyumba plaster (kwa nje tu) lakini sijui bei gani? Mchanga wa kutosha nyumba nzima hupo na simenti mifuko 12 (yaani 3 kila upande) hipo. Sasa mimi hela yangu ya kuungaunga. Mafundi mtanifanyia bei gani kwa mifuko hiyo 12 ya cement. Mimi Niko Dar
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naulizia hiki kifaa kwa mafundi umeme

    Kwa wale wajuzi eti kuna kifaa ambacho kinaweza kudivert umeme kila mpangaji akawa anatumia umeme wake na ukakata kivyake tofauti na kuweka luku?
  15. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mafundi makochi Mungu anawaona!

    Unakuta kochi limemaliziwa vizuri linang'aa na kitambaa safi cha nguo, turubahi, au ngozi. Utadhani limetengenezewa Ulaya! Utapigwa hela ndefu seti 1.5million mpaka 5m. Sasa lipeleke nyumbani watoto waanze michezo yao! Utasikia mara ndani mbao zinaanza kukatika mara ukikaa unadumbukia kwenye...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme njoeni tupeane michongo na changamoto zetu

    Habari, Kama title inavyojieleza, Je? Nichangamoto zipi unakutana nazo katika harakati zako za ufundi. Mimi nakumbuka nilikuwa nafanya kazi shirika moja kabla ya kuacha nilikuwa nalipwa 2k kwa mwezi.
  17. Mr mussa

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea katika muda wa ziada. Fani ni IT pamoja na sehemu za mafundi wa PC na simu

    Kwanza naomba niwape pole kwa mapambano ya kila siku kuhakikisha maisha yanaenda. Mimi ni mwanafunzi wa Degree chuo kimojawapo hapa Dar katika course ya IT. Katika maisha kila mtu anakuwa na lengo lake kuwa baada ya muda fulani nataka kuwa katika level hii ya maisha. Personally naomba msaada...
  18. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Christmas watu wanakaba Koo za mafundi tu!

  19. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mafundi wazuri wa Nissan X-Trail

    Wanabodi, Leo asubuhi wakati nawasha gari yangu ya Nissan X Trail ikatoa muungurumo usio wa kawaida yake. Muungurmo wa gari uliotoa ni kama ule wa magari ya mashindano au kama ule unaofanana na Subaru Forester. Nimeshindwa kuondoka nalo kwenda nalo ofisini imenibidi nilipaki nyumbani. Naomba...
  20. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza urembo wa mageti, fensi, madirisha, milango, balcon na vitanda

    Habari! Kwa mahitaji ya urembo wa mageti, madirisha, milango, balcon na vitanda usisite kutucheki tukuhudumie. Pia tunafanya kazi yeyote ya casting. Karibu bei zetu ni za kishindani na nafuu. Tupo Mbeya mjini.
Back
Top Bottom