Habarini wanaJF, binafsi sio mwandishi mzuri ila kwa hili lililonikuta na huyu fundi selemala nimeona bora niandike niombe ushauri.
Iko hivi miezi miwili nyuma mwezi September nilikuwa na mpango wa kutengeneza kabati la nguo la mbao haya ya kisasa, nikatafuta fundi nikamuonesha design nilikuwa...