Kwanini watu ambao hawajasoma huwa wakiwa na mafanikio kidogo au zaidi wanakuwa na madharau?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vipi?

Ni utafiti ambao nimefanya muda mrefu sana...watu wengi ambao hawaja soma alafu wakapata mafanikio kidogo huwa hubikwa na dharau pamoja na kiburi.

Hii nitofaauti na watu ambao wamesoma alafu wakawa na mafanikio kama wakina Bill Gate na Marehemu Reginald Memgi.

Kulikuwa na majamaa wengi enzi hizo ambao walikuwa walikamata vipesa kidogo kupitia utalii na mererani hapo Arusha.
Hakika walikuwa na nadharau na kiburi.mfano msukuma bungeni

Ni utafiti tu nilifanya.
 
Mimi mtazamo wangu ni kwamba....
Waliosoma bado wanataka wa wanyenyekewe na waliofanikiwa hata kama hawajasoma.
Yaani aliesoma anapo ajiriwa na tajiri asiesoma, hawa waliosoma hua wanajiona kwamba bilawao hao matajiri wasio soma hawawezi fika mbali, ilhali wasomi wanasahau kwamba kabla ya wao kujoin tayari wasiosoma walipambana hata wakafikia utajiri ambao hao wasomi waneukuta.
 
Mtizamo wako tu, Watu wakifanikiwa wanakuwa bize na mambo yao, ule muda wa kujichanganya unakua haupo tena kama hapo awali, Sasa wasioelewa kwamba mafanikio ni majukumu zaidi wanahisi kwa mtizamo wao kwamba huyu jamaa ana majivuno kibri na memgime mengi.Na hakuna mtu anaefanikiwa halafu akawa na lifestyle ile ile ya kale.
 
Hapo vipi?

Ni utafiti ambao nimefanya muda mrefu sana...watu wengi ambao hawaja soma alafu wakapata mafanikio kidogo huwa hubikwa na dharau pamoja na kiburi.

Hii nitofaauti na watu ambao wamesoma alafu wakawa na mafanikio kama wakina Bill Gate na Marehemu Reginald Memgi.

Kulikuwa na majamaa wengi enzi hizo ambao walikuwa walikamata vipesa kidogo kupitia utalii na mererani hapo Arusha.
Hakika walikuwa na nadharau na kiburi.

Ni utafiti tu nilifanya.
Kila mtu anajivunia na alichonacho. Aje nimalizie K-Vant

Kupanga ni kuchagua!
 
Mtizamo wako tu, Watu wakifanikiwa wanakuwa bize na mambo yao, ule muda wa kujichanganya unakua haupo tena kama hapo awali, Sasa wasioelewa kwamba mafanikio ni majukumu zaidi wanahisi kwa mtizamo wao kwamba huyu jamaa ana majivuno kibri na memgime mengi.Na hakuna mtu anaefanikiwa halafu akawa na lifestyle ile ile ya kale.
Kumbuka hata waliosoma pia ratiba na life style zinabadilika tena sana..
Hila ni tofauti sana na hawa ambao hawajasoma kitabia
 
Hapo vipi?

Ni utafiti ambao nimefanya muda mrefu sana...watu wengi ambao hawaja soma alafu wakapata mafanikio kidogo huwa hubikwa na dharau pamoja na kiburi.

Hii nitofaauti na watu ambao wamesoma alafu wakawa na mafanikio kama wakina Bill Gate na Marehemu Reginald Memgi.

Kulikuwa na majamaa wengi enzi hizo ambao walikuwa walikamata vipesa kidogo kupitia utalii na mererani hapo Arusha.
Hakika walikuwa na nadharau na kiburi.

Ni utafiti tu nilifanya.
Hakuna mtu aliyefanikiwa bila kusoma na kuelimika, tofauti ni kwamba jamii yetu inaona kuwa wale waliokaa vyuoni na kupata vyeti vya shahada na GPA (mfumo rasmi) ndiyo wasomi. Jamii hiyo-hiyo inasahau (haitambui) kuna watu wamesoma kupitia elimu mtaani.com (Mfumo usio rasmi) na wamefaulu na hayo mafanikio unayoyaona ndiyo ufaulu wenyewe, maana katika mfumo usio rasmi wa elimu, vitendo (Practical) vinaongea zaidi kuliko makaratasi.

Kuhusu dharau inategemea na malezi,makuzi na mazingira aliyokulia muhusika, pia waweza kuta ni hisia zako tu. Inawezekana pia wewe umemuonyesha dharau ikabidi akupotezee (sasa ukaamua kuja kumchongea). Kumbuka pia kadri mafanikio yanavyoongezeka ndivyo na juhudi za kuyalinda zinatakiwa kuongezwa. Ndiyo maana waliofanikiwa wanatafuta kufanikiwa zaidi kwa hiyo hawawezi kuwa na muda wa kukaa vijiweni kupiga story kila siku na watu ambao hawawapi changamoto yoyote katika majukumu yao.

Hata wewe mtoa uzi kwa mfano ukinunua gari unatakiwa uwe na marafiki wenye magari ili hata gari ikikusumbua watakushauri na kukuonyesha/kukupeleka kwa mafundi wazuri na maduka yanayouza vipuri kulingana na gari yako wakati watu wa kawaida wasio hata na baskeli wanaamini mtu akimiliki gari kuwa ana fedha nyingi hivyo watakuja kukulilia shida na ukiwaambia ukweli kwamba huna hawataamini na mwishowe watakuchukia.

Mwisho (Japo si kwa umuhimu) ukiwa na tabia ya kujali mambo yako na kuishi kwa viwango vyako, watu wenye dharau hawatakushughulisha!!
 
Hapo vipi?

Ni utafiti ambao nimefanya muda mrefu sana...watu wengi ambao hawaja soma alafu wakapata mafanikio kidogo huwa hubikwa na dharau pamoja na kiburi.

Hii nitofaauti na watu ambao wamesoma alafu wakawa na mafanikio kama wakina Bill Gate na Marehemu Reginald Memgi.

Kulikuwa na majamaa wengi enzi hizo ambao walikuwa walikamata vipesa kidogo kupitia utalii na mererani hapo Arusha.
Hakika walikuwa na nadharau na kiburi.

Ni utafiti tu nilifanya.
Kwanza nini maana ya dharau mkuu? Is their globally acceptable single definition of "dharau"? Ninaomba tuanzie hapo kwanza mkuu kwa maana inawezekana mtu hajapokea simu yako kwa maana yupo katika kikao wewe tayari unamhukumu vibaya.
 
kwa nini waliosoma huwadharau wasio soma???
Akikujibu najisaidia mafungu mafungu SAMAKI SAMAKI mpaka UBUNGO MATAA
1109084621.jpg
 
Back
Top Bottom