maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Unadhani ni nchi gani jirani imepandikiza kikamilifu majasusi wake mahiri maeneo / idara nyeti za Tanzania?

    1. Malawi 2. Zambia 3. Congo DR 4. Kenya 5. Burundi 6. Uganda 7. Rwanda atokayo member mmoja maarufu jamiiforums ambaye kwa bahati mbaya jina lake kwa sasa ameir seif wete paje kidagaa ( cognizant ) mimi nimelisahau? 8. South Sudan 9. Msumbiji
  2. M

    TANESCO na DAWASA sitisheni kupeleka huduma maeneo ya mabondeni

    Mheshimiwa Rais wetu mpendwa tunakuomba uwaagize Tanesco na Dawasco waache mara moja kutoa huduma kwenye maeneo ambayo ni hatarishi(mabondeni). Kwa kufanya hivyo itapunguza kasi ya wananchi kujenga maeneo hatarishi.
  3. Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  4. IDF ilipoteza udhibiti kamili Kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa Al -Qassam

    Wanaukumbi IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam. Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja...
  5. Zingatia umuhimu wa usafi katika maeneo ya vyakula

    Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara. Katika...
  6. P

    Kuna maeneo nchini miaka nenda rudi miundombinu ni mibovu, mamlaka hazioni? Mpaka maafa yatokee ndio wachukue hatua?

    Kuna maeneo nchini yana miundombinu mobuvu miaka na miaka lakini serikali wala haichukui hatua. Unakuta barabara mbovu, madaraja yamebomoka nk, lakini ni kama hakuna anayeoona! Ni kwamba wanasubiri maafa yatokee ndio wachukue hatua? Wanasubiri mpaka watu wafe ndio wachukulie malalamiko ya...
  7. Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

    Hello ladies and Gentlemen? Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI? Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.
  8. Yapo maeneo mabadiliko ya mtaala mpya ni kukurupuka kulekule alikofanya makosa Mungai

    Mapendekezo yamesambaa kila kona. Ni mpuuz pekee atasapoti kufuta somo la uraia na general studies Kuona mwalimu mwenye degree anajua kuliko mwenye diploma katika level za sekondari ni mjinga pekee atakuelewa. Awali sheria ilimtaka mwenye degree afundishe 3 to 4, diploma 1 na 2 ilikuwa bora...
  9. C

    Upanuzi wa barabara Mbeya ungeanza na maeneo yanayoua wananchi

    Naipongeza juhudi inayofanywa na serikali kupanua barabara kuu Mkoani Mbeya. Lakini najiuliza ni kwa nini wajenzi wameanza na maeneo yasiyo na matukio ya kupoteza maisha ya wananchi? Binafsi labda kama kuna sababu za kiufundi nadhani ujenzi ungeanza na maeneo hatarishi ambayo kila mwaka...
  10. Uwekezaji Mahiri Katika Maeneo ya Kimkakati ya TAWA Kuiingizia Serikali Zaidi ya Dola za Marekani Milioni 314

    UWEKEZAJI MAHIRI KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI YA TAWA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 314 Na Beatus Maganja, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Serikali inatarajia kupata mapato yanayokadiriwa kufikia dola za Kimarekani milioni...
  11. Israel yatoa ishara kuwa inapigana maeneo 7 huku Houthi wakifanikiwa kupenya ngome za mataifa 20 yanayoongozwa na Marekani

    Waziri wa ulinzi wa Israel amesema nchi yake iko vitani maeneo saba tofauti.Akaongeza kusema kuwa kutokana na hilo tayari wameshaanza kushambulia kwa nguvu maeneo sita kati ya hayo kulipiza kisasi. Maeneo hayo aliyataja kuwa ni Iraq,Syria,Lebanon na Yemen.Mengine ni Gaza,ukiongo wa Magharibi na...
  12. Maeneo ya kutembelea ukiwa Mbeya

    1. Fukwe za Ziwa Nyasa 2. Ziwa Ngosi 3. Kawetere view point 4. Ziwa Kisiba 5. Maporomoko ya maji Kaporogwe 6. Mpanga Kipengere game reserve 7. Hifadhi ya taifa Ruaha Unaweza kuongeza na mengineyo Kwa huduma za safari za kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania Cheki nami...
  13. S

    Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

    Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine). Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo?? Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
  14. M

    Waziri wa ujenzi: Wananchi wengi wamejenga maeneo hatarishi kama :kando ya mito, makorongo na kwenye njia za mito ya msimu chukueni tahadhari

    Nawasalimu wote. Maeneo mengi nchini wananchi wamejenga kiholela na ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa nchi kwani majanga yakitokea huhudumiwa na serikali. Nyumba nyingi zimejengwa kando ya mito ya msimu, makorongo, kwenye njia za maji kabisa na wengine hujaribu kuyatengenezea maji njia mpya...
  15. Ukitaka Kuiharibu Jamii Yoyote, Shambulia Maeneo Haya 3

    Kama jamii imetulizana ina maadili , usitumie mizinga ya atomic au masafa marefu . Shambulia maeneo 3 tu ambayo ni Ndoa na familia, Kioo cha jamii na Mfumo wa kielimu.Kwa leo tuone eneo moja. 1. Ndoa na Familia Ukitaka mtotoo aje awe katili au jambazi , mlelee bila wazazi wawili (alelewe na...
  16. CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  17. J

    Wadau naombeni ushauri

    Nipo chuo nasoma Diploma in Clinical Medicine lakini nafikiria kuanza kilimo cha mihogo maeneo ya kisarawe naombeni ushauri, maoni mtazamo hata kama kuna idea tofauti msaada wenu 💡
  18. Tanesco Mmekata Umeme kwa Saa 24 sasa maeneo ya Mbezi, Kimara, Kijitonyama, Tatizo nini?

    Kwasasa sababu zimekuwa hazieleweki, wanakata umeme bila Taarifa, kwa muda mrefu kiasi hivi, bila kuipa jamii taarifa, Biashara nyingi zinategemea umeme kwanini Mnaumiza wafanya biashara kama hivi, hawajajiandaa kabisa kukosa umeme. Nilipiga simu nikaambiwa maji hyingi, hayaingii wapi? Mbona...
  19. Kuna Foleni Kubwa Sana Barabara ya Morogoro Maeneo ya Mikese

    Tumekaa maeneo ya Fulwe Mikese kwa zaidi ya saa tatu, gari zimefunga pande zote mbili, nilikuwa mawazo Dodoma kikao saa 2:30 sijui kama nitawahi
  20. M

    Natafuta sehemu inayouza mbwa (mnada wa mbwa): Sehemu ambayo mtu unafika na kuchagua mbwa unayemtaka kwa maeneo ya Dar es Salaam

    Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa. Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali wanauza mbwa aina mbalimbali ili uwe na nafasi ya kuchagua mbwa unayemtaka. Sehemu yenye ushindani pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…