maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kabla ya wanasiasa kusema machinga ni nani, kuwapatia maeneo ni kazi ngumu sana

    Duniani kote "mmachinga" ni yule mtu anaetembeza bidhaa zake kwa kutembea nazo mikononi mwao au kwenye begi la mgongoni akitafuta waliko wanunuzi. Yaani badala ya mnunuzi kufuata bidhaa (dukani), mara hii mwenye bidhaa (duka) ndiye anaemfuata mnunuzi. Wafanyabiashara wa aina hii sio kero sana...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Tujenge Kariakoo nyingine maeneo muhimu

    Kwa sasa Soko la K/koo lililo jengwa zaidi ya Miaka 40 iliyo pita limeelemewa na kuzidiwa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watu. Kila Mgeni anaye kuja Jijini anawaza kwenda kufanya biashara maeneo ya K. koo ndio maaana leo hii wamachinga wametapakaa hadi wameziba barabara na mifereji ya...
  3. P

    JamiiForums Tanzania BEI ZA vyumba maeneo sahihi UDOM

    Habari wanajamvi, ninaomba wenyeji wa Udom mnihabarishe maeneo sahihi jirani na chuo ambapo nitaweza pata chumba kwa gharama Kati ya 30000/40000 NB Zingatia gharama husika za huduma za kijamii pamoja na huduma mbalimbali muhimu kama maeneo ya michezo,studios nk
  4. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Wanawake jihadharini Mwanaume hajaribiwi

    Wakuu tumaini langu najua mko wazima wa afya na kwa wagonjwa Mungu awape ahueni ili muwe wazima hatimae muendelee kujitafutia Ridhiki. Niende moja kwa moja katika mada hii ambayo nimeona kwa wadada ili wajifunze Jambo pengine. Wadada msipende kuwajaribu wanaume wakati vyumba vya mioyo yenu...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, The Royal Tour isiache maeneo haya...

    Amani iwe nawe Mama yangu! Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour” Program hii kwa ufahamu wangu imezinyanyua nchi nyingi sana katika sekta ya Utalii na Uwekezaji Mf...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuna funzo kutoka Japan, nchi yenye uhaba wa dustbin lakini safi kimazingira kuliko maeneo yenye dustbin katika miji yetu

    Kwa miaka takriban mitatu niliishi mjini Tokyo, Japan. Ukiachilia mbali maajabu katika mifumo ya usafiri hasa treni katika mji huo, jambo ambalo lilinistaajabisha kila siku ni jinsi mji huo ulivyo msafi ilihali ni nadra sanaa kuona dastibini au mahara pa kutupa takataka katika maeneo ya public...
  8. OllaChuga Oc

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mkopo wa million mbili tu kiwanja kipo maeneo ya kisongo kama bondi.

    Wakuu kwema ..nahitaji mkopo wa Million mbili nina kiwanja kipo kisongo naweka kama bondi nimekwama sehemu hivyo nahitaji hiyo pesa. Kwa mwenye nia anisaidie kupata hiyo pesa then ndani ya miezi miwili kuanzia mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nitarudisha. Asante ni kila kitu kipo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maeneo aliyoyatolea ufafanuzi Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa

    Mapema leo Jumamosi Agosti 28, 2021 Msemaji wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa- amezungumza na Waandishi wa habarih katika Ofisi za Habari-Maelezo Jijini Dodoma. Haya ndiyo aliyoyazungumza Ndugu Msigwa wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Serikali. Haya ni sehemu ya maeneo...
  10. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta A mpaka Goba mpakani

    Nina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo. Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba. Nawasilisha
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Temeke jitokezeni muwape ufafanuzi juu ya utwaaji ardhi unaonekana ni wa kiholela unaondelea kwa baadhi ya maeneo

    Habari wadau..! Napita pita zangu baadhi ya mitaa ya Temeke,Chang'ombe,Vetenary,Keko kote huko kuna harakati za watu kuhamishwa makazi yao wengine wanavunja nyumba zao wanakubali kupokea pesa kidogo kutoka kwa watu wanaozaniwa wawekezaji pia kuna baadhi ya watu wanawatisha wenyeji wenye nyumba...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Singida: DC Iramba apongeza utengaji wa maeneo ya uwekezaji

    MHE MWENDA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO, APONGEZA UTENGAJI WA MAENEO YA UWEKEZAJI Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameupongeza uongozi wa kata ya Ulemo kwa kutenga maeneo ya uwekezaji. Mhe Mwenda ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye baridi kupita yote Bongo land

    Haya maeneo ni kiboko katika sekta ya kuwa na baridi Kali katika nchi hii 1. Makete 2. Njombe 3. Mbulu 4. Lushoto 5.Ngara Kama unahisi Kuna pengine sema hapa , Ila haya ni balaa ,kwingine kupo pia,
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

    Ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa -Kahama. Basi ya FRESTER iliyokuwa inatoka Dar es salaam kulekea Bukoba imepata ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa Kahama.
  15. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wananchi tumeanza kumkumbuka Magufuli. Wananchi wanatapeliwa viwanja na maeneo yao kwa watu wanaojiita Wawekezaji

    Habari wadau! Hali sasa imekuwa mbaya sana, wananchi wamekuwa wakitapeliwa maeneo yao kupitia hawa wawekezaji ambao kipindi cha JK walisumbua sana lakini alipoingia madarakani Magufuli walijificha kama hawapo na wakatelekeza maeneo yao kama hawayajui. Ndio Rais Samia Hassan ameruhusu...
  16. Deadbody

    JamiiForums Tanzania Nataka kung'oa mzungu, naomba msaada kwa hapa Dar wazungu wanashinda mitaa ipi?

    Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea. Makato yamezidi, watanifilisi hawa. Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu. Natanguliza shukrani
  17. Medecin

    JamiiForums Tanzania Mikumi: Basi Standard Coach lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam lapata ajali

    Ajali ya basi la Standard Coach kutokea Iringa kwenda Dar. Saa tatu asubuhi hii imetokea ajali ya basi la Standard Coach lenye namba za usajili T543 CSF lililokuwa likitokea mkoani Iringa kwenda Dar es Salaam. Ajali imetokea maeneo ya Mikumi wilayani Kilosa eneo maarufu kama kona za Iyovi...
  18. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari za hospitali kujengwa kwenye maeneo tunayoishi

    Saalamu wanaJF, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika Zahanati hapa Tanzania nyingi zimekuwa zikijengwa sehemu ambazo ni karibu tunapoishi . Hii ni nzuri kwa sababu ya ‘easy access’ pale mtu anapopatwa na tatizo la kiafya linalohitaji uangalizi wa haraka hiyyo anaweza kupata msaada...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Maeneo unayopaswa kuyawekea nidhamu

    Je nimaeneo gani naweza yawekea nidhamu?! Maeneo yafuatayo ni miongoni mwa maeneo ambayo mtu yoyote anatakiwa ayape kipaumbele kwenye kuyawekea nidhamu!! #Eneo la kujiwekea malengo binafsi kila mwaka. Kujiwekea malengo na kuyapa vipaumbele hii itakufanya kujua nitaanza na hili na kwa nini...
  20. Lorenzo Samike

    JamiiForums Tanzania Corona iko maeneo gani Tanzania?

    Hey, Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani?? Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi. Kiuhalisia...
Back
Top Bottom