maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya kutembelea ukiwa Mbeya

    1. Fukwe za Ziwa Nyasa 2. Ziwa Ngosi 3. Kawetere view point 4. Ziwa Kisiba 5. Maporomoko ya maji Kaporogwe 6. Mpanga Kipengere game reserve 7. Hifadhi ya taifa Ruaha Unaweza kuongeza na mengineyo Kwa huduma za safari za kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania Cheki nami...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

    Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine). Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo?? Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ujenzi: Wananchi wengi wamejenga maeneo hatarishi kama :kando ya mito, makorongo na kwenye njia za mito ya msimu chukueni tahadhari

    Nawasalimu wote. Maeneo mengi nchini wananchi wamejenga kiholela na ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa nchi kwani majanga yakitokea huhudumiwa na serikali. Nyumba nyingi zimejengwa kando ya mito ya msimu, makorongo, kwenye njia za maji kabisa na wengine hujaribu kuyatengenezea maji njia mpya...
  4. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuiharibu Jamii Yoyote, Shambulia Maeneo Haya 3

    Kama jamii imetulizana ina maadili , usitumie mizinga ya atomic au masafa marefu . Shambulia maeneo 3 tu ambayo ni Ndoa na familia, Kioo cha jamii na Mfumo wa kielimu.Kwa leo tuone eneo moja. 1. Ndoa na Familia Ukitaka mtotoo aje awe katili au jambazi , mlelee bila wazazi wawili (alelewe na...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wadau naombeni ushauri

    Nipo chuo nasoma Diploma in Clinical Medicine lakini nafikiria kuanza kilimo cha mihogo maeneo ya kisarawe naombeni ushauri, maoni mtazamo hata kama kuna idea tofauti msaada wenu 💡
  7. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mmekata Umeme kwa Saa 24 sasa maeneo ya Mbezi, Kimara, Kijitonyama, Tatizo nini?

    Kwasasa sababu zimekuwa hazieleweki, wanakata umeme bila Taarifa, kwa muda mrefu kiasi hivi, bila kuipa jamii taarifa, Biashara nyingi zinategemea umeme kwanini Mnaumiza wafanya biashara kama hivi, hawajajiandaa kabisa kukosa umeme. Nilipiga simu nikaambiwa maji hyingi, hayaingii wapi? Mbona...
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kuna Foleni Kubwa Sana Barabara ya Morogoro Maeneo ya Mikese

    Tumekaa maeneo ya Fulwe Mikese kwa zaidi ya saa tatu, gari zimefunga pande zote mbili, nilikuwa mawazo Dodoma kikao saa 2:30 sijui kama nitawahi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu inayouza mbwa (mnada wa mbwa): Sehemu ambayo mtu unafika na kuchagua mbwa unayemtaka kwa maeneo ya Dar es Salaam

    Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa. Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali wanauza mbwa aina mbalimbali ili uwe na nafasi ya kuchagua mbwa unayemtaka. Sehemu yenye ushindani pia...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Askari wanyamapori kwenye Maeneo yasiyo na vivutio na wanyama

    "Uzalishaji wa Tumbaku kwa miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imepanda mpaka mwaka 2023 zimezalishwa Kilo Milioni 122 sawa na dola za kimarekani Milioni 341 za Tumbaku. Msimu wa 2023-2024 wanunuzi wameongeza Uzalishaji wa tani laki 214 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 900" -...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Mpanda awataka Wananchi wanaoishi maeneo ya Hifadhi ya Misitu kuondoka

    Baadhi ya Wakazi Kijiji cha Kimani, Kata ya Ugala Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wametoa malalamiko yao ambayo yanawataka kuhama katika eneo wanaloishi. Grace Julius na Simon Daluso wametoa malalamiko katika mkutano wa hadhara mbele ya Mkuu wa Wilaya ambapo wamesema wamekuwa wakiambiwa...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waliochukuliwa maeneo kulipwa Tsh. Bilioni 4.5 Dodoma

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema kuanzia wiki ijayo Halmashauri ya Jiji la Dodoma itaanza kulipa fidia wananchi ambao maeneo yao yalitwaliwa na tayari Sh bilioni 4.5 zimetolewa na serikali kwa ajili hiyo. Akizungumza kuhusu kliniki ya ardhi iliyoandaliwa na...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Arusha Yatenga Milioni 380 Kukarabati Maeneo Yaliyoharibiwa na Mvua

    Halmashauri ya Jiji la Arusha imetenga kiasi cha Sh milioni 380 ili kurudisha miundombinu ambayo imeanza kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Arusha. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jij la Arusha, Juma Hamsini alisema hayo juzi wakati akizungumza katika mkutano wa madiwani...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoishi maeneo ya mbali pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam kimsingi ni kama wako mikoani tu

    Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo. Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali kupeleka huduma ya usafiri wa dharula kwenye maeneo yasiyofikika

    SERIKALI KUPELEKA HUDUMA YA USAFIRI WA DHARULA KWENYE MAENEO YASIYOFIKIKA NAIBU Waziri TAMISEMI (Afya), Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali kwa kushirikiana na Wizara ya Afya imeandaa mpango mkakati madhubuti utakaoyawezesha maeneo magumu kufikika kupata huduma za usafiri wa dharura pindi...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nyie wa kujiita kizazi cha Ismael si mlipewa maeneo yenu binafsi sasa mnahangaika nini na Israel

    Agano la Mungu ilikuwa ni kiumbe kitakachotoka kwenye viuno vya Ibrahimu na Sarah. Ndio maana Ismael aliezaliwa na Ibrahimu na kijakazi wao hakupewa heshima ya agano la nchi ya ahadi ila Ismael alipewa baraka zake binafsi. Ismael na mama yake waliamrishwa kwenda maeneo ya mbali na sio kukaa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Kuna haja ya kuweka mfumo maalumu wa kuwatambua "Beach Boys" maeneo ya Fukwe

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Doroth Gwajima amesema kuna haja ya kuweka mfumo maalumu katika fukwe ili huduma zinazotolewa kutambulika na watu wanaotoa huduma pia kutambulika lengo ni kuepuka watu matapeli ambao wanafanya ukatili. Dk Gwajima ameeleza...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Utapeli Mitandaoni wakithiri Morogoro na Rukwa

    Nimesoma Report ya TCRA Nimeona uzembe mkubwa sana unafanywa na serikali za maeneo ya Rukwa na Morogoro, Kwa karibu kila report yao TCRA , mikoa inayoongoza kwa Utapeli ni Rukwa na Morogoro Kuna nini maeneo haya? 1.Wananchi wake hawana elimu nzuri ndio maana wanatapeliwa kirahisi? 2.Vyombo vya...
  20. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga kinahitajika Daresalam maeneo yawe Tandika

    Bei ya chumba isizidi elf 30 kwa mwez. Ambaye anamjua dalali anitafute kwa namba hii 0656376814 Pesa ipo mfuko wa shati
Back
Top Bottom