madhara

Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kufumbia tabia na kasumba ya askari wa JWTZ kupiga raia na kuwaletea madhara imesababisha mauaji dhidi ya raia kuongezeka

    Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia yanaporipotiwa polisi mara nyingi huwa hawachukuliwi sheria au hatua stahiki. Hii ni kwa sababu ya kulindwa na...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mustaafu: Huyo usimguse, ana madhara

    "...Huyo jamaa wewe wala usihangaike naye nenda naye hadi 2025 kwa tahadhari kubwa! Ukimtoa pale kwa panga hili italeta maneno mengi sana mtaani kwa sababu ana wengi waaminio ni mchapakazi.. Nenda naye hadi 2025 Mollah akijalia halafu zalisheni upinzani wa kweli Jimboni kwake na uhakikishe...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Madhara ya joto kisaikolojia! Ni moja ya cha chanzo cha migogoro na ukatili usiotarajiwa

    Joto ni moja ya kichocheo kikubwa sana kinachoweza kuharibu mfumo wa kufikiri. Wataalam wa saikolojia wanathibitisha kupokea migogoro mingi sana ya ndoa kipindi cha joto Kali la hali ya hewa! Ukiachilia mbali wanasaikolojia! Taarifa za kipolisi zinaeleza matukio mengi ya kikatili huongezeka...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Madhara ya katuni kwa watoto

    Kwa sisi Waafrika, katuni na movies zina madhara makubwa sana kwa watoto. Kwenye movies na katuni asilimia kubwa ya heroes ni wazungu. Hili suala huwa linamjenga mtoto kisaikolojia kwamba wenye uwezo, wenye maadili, wazuri na wenye sifa zingine nzuri ni wazungu. Hili linamfanya asijithamini...
  5. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchora Tattoo Mwilini

    Tattoo ni nini? hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa ya maisha yako yote au kwa muda tu, inategemea na uwekaji.. kwa dunia ya sasa kujichora tatoo ni kama fasheni fulani kwenye jamii, ukienda kuchora tattoo kuna uwezekano mkubwa sana...
  6. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya kutoa ahadi na kutotekeleza kiimani

    Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu nasubiri dada apike ugali samaki nile. Niende kwenye maada husika nina tatizo moja la kuwa muongo hasa nnapotoa ahadi kwa mtu yoyote labda mzazi tu ndio siwezi kumuongopea ila kwa wengine wote nawapiga sanaa natembea kwa spidi kali. Muda wa ahadi ukifika...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CDC: Hakuna madhara kupata chanjo za maradhi mengine kabla au baada ya chanjo ya COVID-19

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema watu waliopata chanjo ya COVID-19 wanaweza kupokea chanjo za maradhi megine. Mwitikio wa chanjo mwilini hautofautiani endapo mtu atapata chanjo ya aina moja au tofauti. ====== Getting a COVID-19 Vaccine with Other Vaccines People...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuondoa watu wenye akili Serikalini nakutumia wenye nguvu, taifa lakosa dira

    Mifumo yetu yote yakijasusi na kiraia imekosa au imepungukiwa watu wenye akili na kukaliwa na watu wenye nguvu. Watu wenye akili hata wakizeeka au kuugua still wanaweza kutoa strategies zakuwasaidia wenye nguvu kufanya KAZI lakini watu wenye nguvu iwe ya mwili au uchumi au ya dola wakipatwa na...
  9. junky

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda China wakanusha vikali kuhusu kupora uwanja wa Ndege Entebbe nchini Uganda

    Wadai ni kelele chache zinazopigwa kuzorotesha mahusiano ya China na Uganda JamiiForums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

    Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kunywa Chai ya bangi kuna madhara kwa Mama mjamzito na mtoto?

    Salaam Wakuu, Juzi kati nimeenda kumtembelea Mzazi mmoja huko Kijiji cha Lyamkena Makambako. Nikakuta ile Jamii inampa Chai ya bangi Mama mzazi ili maziwa yatoke. Wanachemsha maji wanaweka majani kadhaa machanga ya bangi kama vile mchaichai then wanaweka Sukari anakunywa kama chai. Wachagga...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

    Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti? Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli? Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe...
  14. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kukanda wazazi kwa maji ya moto

    Wakati wanawake walio wengi wanaamini kukandwa maji ya moto baada ya kujifungua ni tiba, wataalamu wa afya ya uzazi wanaonya kuwa kufanya hivyo kuna madhara zaidi ikilinganishwa na faida ambazo zimekuwa zikiainishwa. Miongoni mwa madhara yanayotajwa ni pamoja na kumsababishia mama maumivu...
  15. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Serikali imeingia kwenye mtego huu iuepuke mapema

    Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kupasua Chungu na kufunga kwaajili ya kesi ya Ugaidi ya Mbowe kuna madhara kwa wasiotenda haki na vizazi vyao?

    Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine. Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora kunywa gongo na viroba kuliko ushabiki wa mpira madhara ni makubwa zaidi

    Madhara ya ushabiki wa mpira unaoendelea kutamalaki Tanzania ni makubwa sana kuliko ulevi mwingine katika jamii(NAONGELEA “USHABIKI” SIO MAPENZI YA MICHEZO YA KAWAIDA) Umesababisha uvivu uliokithiri hasa mikoa ya pwani na baadhi ya miji ya mikoani Umesababisha wanafunzi, watoto wadogo kuanzia...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba Anadaiwa zaidi ya Tsh13 bilioni kwa amri za Mahakama Kuu, iwapo atashindwa kulipa ni nini hatma yake?

    Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni? Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara ya kiafya wakati unapotumia sukari nyingi kwenye vyakula

    Sote tunajua sukari ni tamu na ni miongoni mwa bidhaa zinazotumika kwa wingi kila siku katika nyumba zetu. Lakini licha ya umuhimu wake, sukari ni hatari kwa ustawi wa afya wakati inapotumiwa kwa wingi kupita kiasi. Kwa kawaida kiwango cha sukari tunachotakiwa kutumia katika vinywaji vyetu...
  20. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

    Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli. CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa...
Back
Top Bottom