Madhara ya kutumia dawa za kuongeza vichocheo mwilini

Dec 25, 2020
28
49
Habari wanandugu, poleni na majukumu ya kila siku, wala siwapi faraja sababu najua tutapumzika kaburini

Kuna jambo limekua kama katabia siku hizi, watu wanakunywa virutubisho na vichocheo vya mwili sana yani katika kukuza ama kuactivate miili yao, naamini hata siku hizi mmekutana na watu wakitangaza hadharani mambo kama hayo.

Swali langu ni kuwa nataka kujua Je, kuna madhara katika kutumia hizi mambo, maana toa wote siku hizi hili wimbi la vijana kujibugia madawa na kupakaa Titan gel na mavitu mengine kukuza maumbile yao ya kiume limekuwa linanisumbua kichwa sana, sababu uhalisia unapotea kabisa mtu anashift kutoka 4 inch ma 5 inch anakuja kwenye 8 inch huko aisee alafu unakuta wengine tumekomaa na mahali tulipo tu kwa kuzaliwa si tutaonekana hakuna jambo?

Mtu anapaka mkongo ama anakunywa viagra kwa ajili ya mamiloo alafu wewe unaenda kukwichikwichi bila kupaka kitu si utaonekana wakike tu? Hebu tuwekane wazi wakuu maana bora hata hawa wanaokunywa viagra na kupaka mikongo najua baada ya muda hawataweza tembea show bila hizo, ila vipi kuhusu hawa wanaofanya body transformation?

Mwenye uzoefu ama aliyewahi kukutana na mtu amedhurika na hizi mambo za kukuza maumbile aseme hapa jamani ama laa hakuna madhara na mimi ni bora nijitose tu kuliko kukaa nyumanyuma kama koti.
 
Madhara kwanza mkuu
slidenafil kama viagra ,sijui njoi .erecto ni kweli zinafanya kazi tena cheap hata buku unapata ila hyo ma titan gel ya wakenya ni scam

madhara izo watu wanaotumia excess mpaka wanakuwa addicted kwa wale wa kuamsha confidence labda game 4 kapiga show kali amegain confidence akaachana nazo basi hana madhara ila wale mwaka sijui miezi ngoma itakuja kulala mazima vikao vya familia vianze bure
 
slidenafil kama viagra ,sijui njoi .erecto ni kweli zinafanya kazi tena cheap hata buku unapata ila hyo ma titan gel ya wakenya ni scam

madhara izo watu wanaotumia excess mpaka wanakuwa addicted kwa wale wa kuamsha confidence labda game 4 kapiga show kali amegain confidence akaachana nazo basi hana madhara ila wale mwaka sijui miezi ngoma itakuja kulala mazima vikao vya familia vianze bure
Scam kwamba hazifanyi kazi??
 
Hawa wanaotaka kujua ni wale.sitaki nataka. Psychology ya binadamu ni kwamba mpka aombe ushauri unakuta tayari kashafanya maamuzi lakini anaomba ushauri ili ajihakikishie zaidi
Sio tatizo kutumia mm mwenyewe nimeshajipa ruhusa sema nataka kupata uhakika wa madhara, kama ni jau ni bora kuacha kabisa
 
Sio tatizo kutumia mm mwenyewe nimeshajipa ruhusa sema nataka kupata uhakika wa madhara, kama ni jau ni bora kuacha kabisa
Il tel u something, hakuna chemical ambayo haina madhara. The effects might not be sudden, but with time ziko even worse.
Iko hivi, kwa mfano tuchukulie mvuta sigara, leo akivuta fegi moja alaf kesho mapafu yakaharibika kabisa, do u think mtu mwingine atavuta after observing that? Lakini kwakua madhara sio ya ghafla tunaendelea kujichoma na kujipa moyo. The compound effect goes on n on by the time madhara yanaonekana dhahiri, hakuna njia ya kurudi kurekebisha.
So, hata kwa hizi vichocheo, if ungepaka mkongo leo na kesho dushelele lisisimame tena, hakuna ambae angetumia. But kwakua madhara ni baadae ndo maana wengi wanakua waraibu.
Therefore, ni sawa mtu mwingine akitumia maana kila mtu ana safari yake binafsi. Ni machaguo yao. Kuna vitu you cant compete with. Leo utamuonea wivu because amekua mandingo ghafla, but 10 years later wewe ukiwa unambanjua wife ako daily, mandingo huyo huyo atakua amekaa anaangalia pono coz hakuna atakachoweza kumfanya mwanamke yoyote yule. Sasa hapo chagua, fedheha ipi ni kubwa kati ya kuonekana wa kawauda ryt now au kishindwa kabisa kufanya chochote in the future.
 
Back
Top Bottom