macho

  1. S

    JamiiForums Tanzania Colonel Macgregor wa Marekani asema Biden alikataa kukiri madai muhimu ya Putin, sasa atazame tu kwa macho uvamizi wa kijeshi wa Putin Ukraine

    Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utapeli uliofumbiwa macho na Serikali

    UTAPELI ULIOFUMBIWA MACHO NA SERIKALI. Anaandika Robert Heriel Kuhani katika Hekalu jeusi. Angalizo; Andiko hili laweza kuwa na Lugha Kali hasa Kwa waumini wa madhehebu ya utandawazi. Hivyo Kama ni mwepesi WA hasira, mwoga wa ukweli, na unayeongozwa na mihemko, tafadhali achia hapahapa kusoma...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira: Ujenzi wa Hospitali ya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere sifa wapewe wananchi wa Mara na siyo Serikali

    Mzee Wassira ni mmoja kati ya wazee ambao huwa haonyeshi kucheka cheka pale anapoongelea jambo, mfano aliongelea jambo urais ambao wengi wanaonyesha nia wkt huu na kusema muda wao bado na hata yeye aliwahi kuutaka ila kwa sababu ya muda basi muda wake umepita na hawezi tena. Mimi ni mmoja kati...
  4. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnapofumbia macho Rushwa ya Trafiki mnazidi kuwachonganisha wanyonge na Serikali

    Nadhini mnaopita barabarani mtakuwa shahidi kwamba Sasa hivi Rushwa si siri tena. Unapanda bajaji wanalalamika kuna maeneo wanatoa elfu mbili kwa siku na maeneo mengine elfu moja kwa siku. Daladala kila siku lazima watoe kuanzia elfu mbili Hadi tano kwa siku na usipotoa gari Yako haitafanya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Inspekta Ndowo, umetufungua macho na "udukuzi wa kimaadili"

    Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udukuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini. Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong. Tunajidanganya...
  6. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

    [emoji397] [emoji577][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588]
  7. T

    JamiiForums Tanzania Suala la Tume Huru au Katiba hatma yake ni Madaraka na si maslahi ya wananchi. Tuweni macho

    Habarini wakuu, Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu kimoja? Je, wanaofanya hivyo ni kwa maslahi ya nchi au wananchi? Nimejipa muda wa kusikiliza pande...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania 2022 imeanza, tunamshukuru Mungu kutulinda, wembe ni uleule, hayati JPM alitufumbua macho hili taifa lina mali nyingi

    Madini yalikuwa yanatoroshwa hovyo, nchi ya Kenya ndio ilikuwa kitovu cha uuzwaji wa dhahabu na madini mengi toka Tanzania. Pesa za umma zilikuwa zinaliwa hovyo na kuingia kwenye mifuko ya mafisadi, hayati JPM akasema kila pesa ya umma iingie mfuko wa hazina. Kwa hakika ni mengi alitufumbua na...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina wapinzani bali wajaza matumbo. Tatizo la uhaba wa madarasa limetatuliwa; mnalalama nini kihusu mikopo?

    Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao. Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Dawa ifutwe ni kiini macho na Upigaji wa Wazi

    Nimefika katika hospitali mbali mbali ndani ya msimu huu wa mafua ya kawaida na sikukuu za mwisho wa mwaka. Katika hospitali zote nilizokwenda kama mgonjwa au kupeleka wagonjwa nimethibitisha tashwishi yangu kuhusiana na bajeti ya dawa. Hakuna wagonjwa wanaopata huduma ya dawa. Dawa zote...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwafumbua macho Watanzania juu ya ufisadi na wizi mali ya umma, sasa Watanzania wapo macho kodo

    Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G. Kila mtanzania amepata jibu kuwa pesa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi Tusifumbie macho mambo haya! Mwisho wake huchangia ukatili wa kinyama (kuna wajibu, haki na sheria)

    Nilipokuwa mdogo niliamini Jeshi la Polisi ni taasisi inayo mulika kila mahali! Niliamini Polisi ni Dubwana kuuubwaa lenye kuona yaliyopita, yaliyopo na yajayo! Hii Imani ilinifanya nivimbe kichwa na kutembea kifua mbele! Sikuogopa ujambazi kwasababu niliamini jeshi lipo! Nilikatiza popote...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Huenda Polepole ni changa la macho. Huenda ni upinzani feki unaojengwa na CCM yenyewe

    Sielewi anapambana na nani, kwanini na kwa sapoti ya nani? Na vipi anaweza kutumia vyombo vya habari vya CCM kujenga falsafa binafsi za siasa. Kama ni mpinga utawala uliopo anangoja Nini kujiondoa CCM. Kila nikitafakari namuaona ni uvimbe ndani ya CCM.
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Shamimu Mlacha yala yala hayo macho yako

    Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa. Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC kumfuatilia. Kwa mtu anayejua kama ameolewa au lah, mwenye namba zake za simu pia napokea. Kwa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

    Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania. Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana...
  17. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mkombozi au tunafumbwa macho?

    Wanabodi, Nchi za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zilipata maafa makubwa sana baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Katika kipindi hicho ambacho Umoja wa Mataifa uliundwa, mpango wa kuzisaidia nchi hizi uliandaliwa. Hiki ndicho kipindi ambacho misaada na mikopo ilitumiwa kwa mara ya kwanza...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

    Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini. Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho...
  19. BAK

    JamiiForums Tanzania Kukiri kwa viongozi wa CCM kuhusu Maalim Seif kutufumbue macho kuhusu kinachoendelea kwa Wapinzani nchini

    UKIRI WA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUHUSU MAALIM SEIF, UTUFUMBUE MACHO KUHUSU YANAYOENDELEA KWA FREEMAN MBOWE NA WAPINZANI WENGINE! Tulikuwa Zanzibar kuhudhuria Uzinduzi wa Maalim Seif Foundation. Tuliwasikiliza vizuri viongozi waandamizi wa CCM na Serikali yake, wastaafu na waliopo...
  20. Latebloomer

    JamiiForums Tanzania Masalange; Kero ya usafiri katika mabasi iliyofumbiwa macho

    MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO! Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
Back
Top Bottom