Nahitaji miwani ya macho

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,826
8,674
Habarini wote.

Mimi ni muhanga wa macho nimeyavumilia kwa muda mrefu lakini naona ni too much. Siwezi focus vitu vya mbalii hata karibu hasa maandishi ziwezi somaa.

Naitaji miwani ya bei nafuu nipo Morogoro

Asanteni
 
Miwan ni frame tu unayotaka wewe ungekua dar ningekuambia uje uchague tu glass ndo ukapime ununue frame kuna mshkaj wangu ndo dili zake
 
Nenda kapime macho kabla hujavaa miwani na kumbuka macho yanatofautiana Sana ..ukienda kupima Rudi hapa ulizia frame na kioo, easy sana ndugu yangu!

Pole Sana, Nina shida kubwa ya macho na Nina vaa Sana miwani. Sichague sometimes hata bafuni najikuta nayo. Mungu atusaidie
 
Kapime asee uanze kuvaa , muda mwingine kuchelewa kupima na kutumia miwani hufanya tatizo kuwa kubwa zaidi.
 
Nenda hospitali ya mkoa kuna kitengo cha macho watakuhudumia.
 
Kuyavumilia macho kwa kutokutaka kuvaa miwani ni kuongeza tatizo,

Kuvaa Miwani sio dawa ya macho kupona bali ni kuyalinda yasizidi kupoteza nuru,

Kapime macho uvae miwani faster,

Macho ni kiungo muhimu sana,tafuta miwani bora hasa lenzi zake usifuate urahisi wa bei tu,

Good luck.
 
Nenda kapime macho kabla hujavaa miwani na kumbuka macho yanatofautiana Sana ..ukienda kupima Rudi hapa ulizia frame na kioo, easy sana ndugu yangu!

Pole Sana, Nina shida kubwa ya macho na Nina vaa Sana miwani. Sichague sometimes hata bafuni najikuta nayo. Mungu atusaidie
Nimetoka agakani pale leo nimepimaa ssss jamaa wananiambia miwani zipo kuanzia 50k mpaka 400k kutokana na frame
 
Miwan ni frame tu unayotaka wewe ungekua dar ningekuambia uje uchague tu glass ndo ukapime ununue frame kuna mshkaj wangu ndo dili zake
Habari mkuu.
Mnapatikana wapi hapa mjini na bei ya frame zinarange kiasi gani.
Ahsante
 
Nimetoka agakani pale leo nimepimaa ssss jamaa wananiambia miwani zipo kuanzia 50k mpaka 400k kutokana na frame
Ndo bei zake kwasababu kuvaa miwani kutokana na ugonjwa pia miwani yenye fremu nzuri huleta muonekano uliobora pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom