Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,417
108,519
Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.

Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao ya 'Kumnyoosha' na naomba idadi yao ili niwatumie Zawadi ya Mbuzi wangu 'Wanono' Watano wachinje na wale.

Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.

Hongereni sana 'Jeshi la Magereza ' TZ.
 
Asee hiv mnyeti yupo? Kanyamazaaaaa hadi nimemsahau
 
Mara kwa mbali namuona kaka angu Olesabaya,,
Amekamatwa akafungwe akanyeee debe,
afanye nini na hayo yote alitaka mwenyewe,
hata buku7 wakiandamana hawata chukua ushindi,
wakija na mawe mapanga kundi kwa makundi!!!!
Pesa alizopiga bado zinamtafunaa
Genge lake la wahuni nalo latafutwaa
Mashahidi wa matendo yake wote wanamzomea
Alokula nao bata nao wamemkimbiaa

Daaah nlikua najaribu kushusha voko vipi wadau naweza au.

Imba kama WIMBO WA TAIFA WA msaniii KALA JEREMIAH.😀😀😀
 
Chalamila aliendesha operation haramu mbuga ya ruaha na kuwapora maelfu ya watu ng’ombe zao bila huruma , chalamila alibariki maafisa wanyama pori wwawaue watu kwenye bonde lile bila huruma , yako mengi
Angalau umeleta vitu tangible,lakini kuhusu kuwaroa wavamizi kwenye mbuga ni halali sema Kama watendaji waliua watu hiyo ni tuhuma yenye mashiko na wahusika Ni hao waliotenda mauaji na si Chalamila unless waseme Chalamila aliwaamuru wauwe.
 
mahabusu na wafungwa Wana haki zao askari magereza huwa hawapigi mtu kule Ukikuta mtu anapigwa ujue kafanya kosa kubwa sana huko ndani na hawez kupigwa mtu bila sababu kwa Hawa mahabusu kama sabaya hata kaz huwa hawafanyi kule ndan
 
Back
Top Bottom