Uchaguzi 2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,235
2,000
Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million.

Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini

1598452825992.png

1598452833371.png

1598454487319.png
 
The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,582
2,000
Mwanasheria Emmanuel Mwasonga amemuwekea pingamizi mgombea ubunge jimbo la Njombe mjini bwana Deodatus. Mwanyika ambae amepitishwa na chama chake kugombea ubunge huku mwezi wa 7 alipatikana na hatia ya utakatishaji pesa na uhujumu uchumi.

Najiuliza hadi CCM wanampitisha Mwanyika hawakujua kama ni mtu ambae hafai kugombea kulingana na sheria za Tanzania?
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,050
2,000
Mwanasheria Emmanuel Mwasonga amemuwekea pingamizi mgombea ubunge jimbo la Njombe mjini bwana Deodatus. Mwanyika ambae amepitishwa na chama chake kugombea ubunge huku mwezi wa 7 alipatikana na hatia ya utakatishaji pesa na uhujumu uchumi.

Najiuliza hadi CCM wanampitisha Mwanyika hawakujua kama ni mtu ambae hafai kugombea kulingana na sheria za Tanzania?
wanaenda kumrudishia hela zake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom