Meli ya Tanzania yangundulika kusambaza Silaha nchini Libya. Je, Nasi tutawekewa Vikwazo na Mabeberu?

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,369
9,746
Get short URL
Turkey will be the death of NATO – its recent clash with fellow member France off the coast of Libya is an early symptom

FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 © Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency

When two countries who are supposed to be military allies fall out and almost get themselves into a shooting match, you know there’s going to be trouble ahead. The problem for NATO is, this time, it may prove terminal.

For a story that involves high seas skullduggery, clandestine gun-running, a punch up between people who are supposed to be friends, and an incident that could be fatal for the world’s biggest military alliance, this one started mundanely enough.

Mnamo Tarehe 7 Mwezi June 2020 Meli ya Inayopeperusha Bendera ya Tanzania inayoitwa Cirkin Iliopakia Shehena iliyodhaniwa ni Makapeti, lakini cha Kushangaza ilisindikizwa na Meri tatu za Kivita za Uturuki kwa Siku tatu umbali zaidi wa Maili 1,000 baharini hadi Bandari ya Libya, Uchunguzi ulibaini msafara huo hakika ulikuwa umebeba Silaha nzito za kivita kwa kundi la GNA ambalo limewekewa vikwazo vya Silaha na umoja wa Mataifa.

Mambo yalianza kuwaharibikia Watanzania baada ya Helikopta ya Nchi ya Ugiriki kuitilia Shaka na Kuomba watue helikopta yao ndani ya Meli ya kitanzania ili kuikagua... Nchi ya Ugiriki inaruhusa kufanya ukaguzi ili kuzuia magendo yeyote ya Silaha zinazoelekea kwa nchi zilizowekewa Vikwazo... Meri za Kusindikiza za Uturuki zilikataa ukaguzi kwa ndani ya Meli ya Tanzania yaani waliikingia kifua kiundava.. Wagiriki wakaacha kutua na kuanza kuifuatilia kwa umbali furani Watanzania hapa kazi tu Wakazima mitambo yote ya Mawasiliano ili Meri yao Isionekane wala Kufuatiliwa yaani mwendo ukawa kimya kimya analogue kama Jahazi.

Wagiriki walipoona mbinyo wakawatonya Jeshi la NATO kuwa Watanzania wanajifanya Wajanja na inawezekana wanaleta za Kibongo na watakuwa wamebeba Silaha kuelekea Libya. Jeshi la Nato upande wa Ufaransa Likaingilia Kati na Kuwafuata Watanzania na kuwaambia waseme wapi wanaenda na wajitambulishe Masikini Watanzania hawaelewi lugha ya Kifaransa wakauchubua tu kimya...! Bonju "G" baadae Gamutu puramalaka Rasta Dialo msosi Please.'' Wafaransa wakataka kuikamata Meli ya Tanzania basi kasheshe likaanza Meli za Uturuki za kivita zikaanza kuwasha mitambo ya Makombora basi Wafaransa wakaoana Tanzania is no Alone wakaawaacha ila wakawafuatilia na siku iliyofuata Cirkin Tanzania ikaelekea Libya ikatia Nanga Bandari ya Misrata ikashusha na Mzigo wote.

Ufaransa imekasilishwa sana na Tabia ya Uturuki na imeishitaki Uturuki kwa Tabia walioionesha ya kuikingia Meli Iliyosheheni Silaha ambazo zimepigwa Marufuku na Umoja wa Mataifa ili kuzuia Mauaji ya watu wasio na Hatia nchini Libya.

Nayo Uturuki imeitaka Ufaransa kuomba radhi kwani ingesababisha kichapo cha huku na kule wakati wote ni wanachama wa NATO. Ufaransa imeona ijitoe baadhi ya sehemu inazolinda kuzuia Silaha zisiende nchi ya Vita ya Libya.

Je Watanzania wanasimamia upande Gani? Masikini Libya... Erdogan sio Rafiki atatutia MATATIZONI nashauri hiyo Meli inyang'anywe Bendera yetu ya Nchi ya amani.

Back on June 7, 2020, a Tanzanian-flagged cargo ship, the Cirkin, quietly departed a Turkish port and set sail toward the Libyan port of Misurata.

No one is absolutely certain what its 5,800 tons of cargo was, but it’s safe to say it probably wasn’t carpets.

No, that wouldn’t require the three Turkish warships who escorted the Cirkin on its four-day, 1,000 nautical mile journey. It was almost certainly carrying military equipment for the Libyan army under the command of the Government of National Accord (GNA), in contravention of the UN-imposed arms embargo.

Things started to go wrong three days later, when a Greek helicopter, operating from a Greek frigate, the Spetsai, approached the ship and requested permission to land a boarding party for the purpose of inspecting it. The Spetsai and its helicopter were operating as part of Operation Irini, an effort in the Mediterranean undertaken by the European Council to enforce a UN arms embargo on Libya. Cirkin’s Turkish escorts rejected the request.

Turkey demands apology from France for warship incident amid heated dispute over Libya embargo violations

The Spetsai withdrew and monitored the Cirkin from a distance. Shortly afterwards, the cargo ship turned off its transponder.
A French frigate, the Courbet, operating as part of Operation Sea Guardian, a NATO maritime security operation, was then informed by NATO that the Cirkin was possibly carrying arms in violation of the UN embargo.

After the Cirkin failed to identify itself to the Courbet, and refused to divulge its final destination, the Courbet sought to board the vessel. At this point, one of the Turkish frigates illuminated the Courbet three separate times with its fire control radar, an indication it was intending to engage its weapons systems.

The Courbet withdrew, and the next day the Cirkin arrived in Misrata, where it discharged its cargo.

J’accuse
France has condemned the Turkish actions and filed an official complaint with NATO; a subsequent investigation by NATO was deemed to be “inconclusive,” although the details remain classified. For its part, Turkey has demanded an apology from France. In response, France has withdrawn its forces from Operation Sea Guardian, and demanded that NATO take seriously the task of enforcing the UN arms embargo on Libya, an act that would put it at conflict with Turkey, a NATO member.

This is where the incident becomes murky – it appears that Operation Sea Guardian lacked any NATO mandate to operate in support of Operation Irini, and that the decision to interdict the Cirkin was taken unilaterally by France, void of any NATO authority.

In the days following the June 10 incident, the European Union appealed to NATO to authorize ships assigned to Operation Sea Guardian to operate in direct support of Operation Irini’s Libyan embargo enforcement mission. However, such authorization would require the unanimous consent of all of NATO’s members, making any such authorization impossible given Turkey’s inevitable veto.
 
Kijana Mwenzangu Umetuvamia na Habari Yenye Nakshi Nakshi nyingi ya Mikono Yako ha ha ha ha

Hiyo Habari ni Kweli imetokea.....

Si habari MPYA...

Ina muda HIVI,toka mwezi wa 5 Mwaka Huu.

Umesema Mengi na KUONGEZA chumvi,kwetu sisi tutajikita tu katika kujihoji kimantiki....

Kwa wanaojua jinsi meli zinavyosajiliwa HAWATANIPINGA nikisema kuwa WALA TANZANIA HAIJACHAFUKA km ulivyotaka kuionesha......

Kwa Maana Meli yoyote ili iendelee na kazi zake ni lAZIMA IWE na NCHI ILIKOSAJILIWA.....

Na ni lAZIMA kuwe na vipindi maalumu vya kuifuatilia Meli hiyo toka ile TEMPORARY REGISTRATION mpaka FULL REGISTRATION ni sawa na ule usajili unaoendelea kila mwaka ama miaka fulani KWA MAWAKILI NA MADAKTARI WETU WALIOFUZU......

USAFIRISHAJI MIHADARATI

Meli Inaweza ikasajiliwa na kufuatiliwa vizuri kabisa ila MWENYE KUIMILIKI AMA MABAHARIA wakaitumia kinyume na USAJILI WAKE wakaanza KUITUMIA kusafirisha MIHADARATI km kule Amerika ya KATI na Amerika Kusini.

USAFIRISHAJI SILAHA

Inawezekana pia ujangili ukatumika na meli iliyosajiliwa nchini TANZANIA kwa ajili ya kusafirisha MAZAO YA CHAKULA huku ikiwa na BENDERA YETU ADHIMU,maharamia wakatumia kusafirisha SILAHA pasina kujulikana na nchi ilikosajiliwa(flag registry) ama hata kujulikana na mmiliki wa chombo.

Na si Mara moja hayo hutokea,kwa nchi nyingi tu....

NI sawa na Basi la Abiria,Mali ya Bwana Omar likakamatwa Darajani Mto Wami likitokea Tanga,baada ya ukaguzi likajulikana kubeba MIHADARATI Aina ya MIRUNGI aka GOMBA aka MIRAA aka KANGETA kutoka Mombasa kupitia Tanga na kupelekwa Dar es salaam.
Uchunguzi unapofanyika na kugundulika bwana Omar Wala hakujua Mali yake hutumiwa na baadhi ya wafanyakazi wasio waaminifu kubeba madawa yanayopigwa Vita na SHERIA....

All and All wahusika WATALIDADAVUA VYEMA NA KUTUJUZA kitunduizi.

Karibuni Al Kasus tukisubiri tukamuangalie mtoto mzuri ZUCHU humo ndani mlimani city.Leo PATAWAKA LEO PATAWAKA SI KITOTO.

Zuchu Oyeeeeeee
WCB Oyeeeeeee
 
Dah umechukua mda sana kucopy na nakupaste. TANZANIA hatuna meli za kusafirisha mizigo alafu case kama hizi ni kawaida sio meli ya kwanza kukamatwa ukiwa umepeperusha bendera ya Tz au nchi ingine ni njia wanatumia kuepuka askari wanaopatrol bahari
Get short URL
Turkey will be the death of NATO – its recent clash with fellow member France off the coast of Libya is an early symptom

FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency

When two countries who are supposed to be military allies fall out and almost get themselves into a shooting match, you know there’s going to be trouble ahead. The problem for NATO is, this time, it may prove terminal.

For a story that involves high seas skullduggery, clandestine gun-running, a punch up between people who are supposed to be friends, and an incident that could be fatal for the world’s biggest military alliance, this one started mundanely enough.

Mnamo Tarehe 7 Mwezi June 2020 Meli ya Inayopeperusha Bendera ya Tanzania inayoitwa Cirkin Iliopakia Shehena iliyodhaniwa ni Makapeti, lakini cha Kushangaza ilisindikizwa na Meri tatu za Kivita za Uturuki kwa Siku tatu umbali zaidi wa Maili 1,000 baharini hadi Bandari ya Libya, Uchunguzi ulibaini msafara huo hakika ulikuwa umebeba Silaha nzito za kivita kwa kundi la GNA ambalo limewekewa vikwazo vya Silaha na umoja wa Mataifa.

Mambo yalianza kuwaharibikia Watanzania baada ya Helikopta ya Nchi ya Ugiriki kuitilia Shaka na Kuomba watue helikopta yao ndani ya Meli ya kitanzania ili kuikagua... Nchi ya Ugiriki inaruhusa kufanya ukaguzi ili kuzuia magendo yeyote ya Silaha zinazoelekea kwa nchi zilizowekewa Vikwazo... Meri za Kusindikiza za Uturuki zilikataa ukaguzi kwa ndani ya Meli ya Tanzania yaani waliikingia kifua kiundava.. Wagiriki wakaacha kutua na kuanza kuifuatilia kwa umbali furani Watanzania hapa kazi tu Wakazima mitambo yote ya Mawasiliano ili Meri yao Isionekane wala Kufuatiliwa yaani mwendo ukawa kimya kimya analogue kama Jahazi.

Wagiriki walipoona mbinyo wakawatonya Jeshi la NATO kuwa Watanzania wanajifanya Wajanja na inawezekana wanaleta za Kibongo na watakuwa wamebeba Silaha kuelekea Libya. Jeshi la Nato upande wa Ufaransa Likaingilia Kati na Kuwafuata Watanzania na kuwaambia waseme wapi wanaenda na wajitambulishe Masikini Watanzania hawaelewi lugha ya Kifaransa wakauchubua tu kimya...! Bonju "G" baadae Gamutu puramalaka Rasta Dialo msosi Please.'' Wafaransa wakataka kuikamata Meli ya Tanzania basi kasheshe likaanza Meli za Uturuki za kivita zikaanza kuwasha mitambo ya Makombora basi Wafaransa wakaoana Tanzania is no Alone wakaawaacha ila wakawafuatilia na siku iliyofuata Cirkin Tanzania ikaelekea Libya ikatia Nanga Bandari ya Misrata ikashusha na Mzigo wote.

Ufaransa imekasilishwa sana na Tabia ya Uturuki na imeishitaki Uturuki kwa Tabia walioionesha ya kuikingia Meli Iliyosheheni Silaha ambazo zimepigwa Marufuku na Umoja wa Mataifa ili kuzuia Mauaji ya watu wasio na Hatia nchini Libya.

Nayo Uturuki imeitaka Ufaransa kuomba radhi kwani ingesababisha kichapo cha huku na kule wakati wote ni wanachama wa NATO. Ufaransa imeona ijitoe baadhi ya sehemu inazolinda kuzuia Silaha zisiende nchi ya Vita ya Libya.

Je Watanzania wanasimamia upande Gani? Masikini Libya... Erdogan sio Rafiki atatutia MATATIZONI nashauri hiyo Meli inyang'anywe Bendera yetu ya Nchi ya amani.

Back on June 7, 2020, a Tanzanian-flagged cargo ship, the Cirkin, quietly departed a Turkish port and set sail toward the Libyan port of Misurata.

No one is absolutely certain what its 5,800 tons of cargo was, but it’s safe to say it probably wasn’t carpets.

No, that wouldn’t require the three Turkish warships who escorted the Cirkin on its four-day, 1,000 nautical mile journey. It was almost certainly carrying military equipment for the Libyan army under the command of the Government of National Accord (GNA), in contravention of the UN-imposed arms embargo.

Things started to go wrong three days later, when a Greek helicopter, operating from a Greek frigate, the Spetsai, approached the ship and requested permission to land a boarding party for the purpose of inspecting it. The Spetsai and its helicopter were operating as part of Operation Irini, an effort in the Mediterranean undertaken by the European Council to enforce a UN arms embargo on Libya. Cirkin’s Turkish escorts rejected the request.

Turkey demands apology from France for warship incident amid heated dispute over Libya embargo violations

Turkey demands apology from France for warship incident amid heated dispute over Libya embargo violations

The Spetsai withdrew and monitored the Cirkin from a distance. Shortly afterwards, the cargo ship turned off its transponder.
A French frigate, the Courbet, operating as part of Operation Sea Guardian, a NATO maritime security operation, was then informed by NATO that the Cirkin was possibly carrying arms in violation of the UN embargo.

After the Cirkin failed to identify itself to the Courbet, and refused to divulge its final destination, the Courbet sought to board the vessel. At this point, one of the Turkish frigates illuminated the Courbet three separate times with its fire control radar, an indication it was intending to engage its weapons systems.

The Courbet withdrew, and the next day the Cirkin arrived in Misrata, where it discharged its cargo.

J’accuse
France has condemned the Turkish actions and filed an official complaint with NATO; a subsequent investigation by NATO was deemed to be “inconclusive,” although the details remain classified. For its part, Turkey has demanded an apology from France. In response, France has withdrawn its forces from Operation Sea Guardian, and demanded that NATO take seriously the task of enforcing the UN arms embargo on Libya, an act that would put it at conflict with Turkey, a NATO member.

This is where the incident becomes murky – it appears that Operation Sea Guardian lacked any NATO mandate to operate in support of Operation Irini, and that the decision to interdict the Cirkin was taken unilaterally by France, void of any NATO authority.

In the days following the June 10 incident, the European Union appealed to NATO to authorize ships assigned to Operation Sea Guardian to operate in direct support of Operation Irini’s Libyan embargo enforcement mission. However, such authorization would require the unanimous consent of all of NATO’s members, making any such authorization impossible given Turkey’s inevitable veto.
 
Lini Tanzania tukawa na meli hizo, wakati kwenye maziwa yetu meli zake chuma chakavu , itakuwa Zanzibar hao wazee wakusajili na kuna kipindi ilitokea hiyo
 
Dah umechukua mda sana kucopy na nakupaste. TANZANIA hatuna meli za kusafirisha mizigo alafu case kama hizi ni kawaida sio meli ya kwanza kukamatwa ukiwa umepeperusha bendera ya Tz au nchi ingine ni njia wanatumia kuepuka askari wanaopatrol bahari
Mkuu watu wengine hawa ni kuwapuuza tu, Tanzania sisi hatuna meli ya masafa marefu kama hizo hata moja, narudia tena hatuna hata moja. Sasa kama walikuwa na misheni yao ya kusafirisha silaha kisha kuweka bendera ya Tanzania ili wasitiliwe shaka kutokana na Tanzania kuaminika basi hiyo move wamekosea jinsi ya kuicheza.
 
Lini Tanzania tukawa na meli hizo, wakati kwenye maziwa yetu meli zake chuma chakavu , itakuwa Zanzibar hao wazee wakusajiri na kuna kipindi ilitokea hiyo
Ndio wanachokifanya mkuu, wanakuja kusajili meli huku ili wazitumie kwenye magendo yao huko.
 
siyo mara ya kwanza meli hizi kuleta aibu kwa nchi huwa zinapata tu usajili hapa ila huwa ni za waarabu naskia zanzibar ndipo kuna loop hole za kusajili meli za aina hii, ni aibu na hatari kwa nchi yetu
Duuhh haya yana fanyika nchini ?!!!
 
Get short URL
Turkey will be the death of NATO – its recent clash with fellow member France off the coast of Libya is an early symptom

FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency

When two countries who are supposed to be military allies fall out and almost get themselves into a shooting match, you know there’s going to be trouble ahead. The problem for NATO is, this time, it may prove terminal.

For a story that involves high seas skullduggery, clandestine gun-running, a punch up between people who are supposed to be friends, and an incident that could be fatal for the world’s biggest military alliance, this one started mundanely enough.

Mnamo Tarehe 7 Mwezi June 2020 Meli ya Inayopeperusha Bendera ya Tanzania inayoitwa Cirkin Iliopakia Shehena iliyodhaniwa ni Makapeti, lakini cha Kushangaza ilisindikizwa na Meri tatu za Kivita za Uturuki kwa Siku tatu umbali zaidi wa Maili 1,000 baharini hadi Bandari ya Libya, Uchunguzi ulibaini msafara huo hakika ulikuwa umebeba Silaha nzito za kivita kwa kundi la GNA ambalo limewekewa vikwazo vya Silaha na umoja wa Mataifa.

Mambo yalianza kuwaharibikia Watanzania baada ya Helikopta ya Nchi ya Ugiriki kuitilia Shaka na Kuomba watue helikopta yao ndani ya Meli ya kitanzania ili kuikagua... Nchi ya Ugiriki inaruhusa kufanya ukaguzi ili kuzuia magendo yeyote ya Silaha zinazoelekea kwa nchi zilizowekewa Vikwazo... Meri za Kusindikiza za Uturuki zilikataa ukaguzi kwa ndani ya Meli ya Tanzania yaani waliikingia kifua kiundava.. Wagiriki wakaacha kutua na kuanza kuifuatilia kwa umbali furani Watanzania hapa kazi tu Wakazima mitambo yote ya Mawasiliano ili Meri yao Isionekane wala Kufuatiliwa yaani mwendo ukawa kimya kimya analogue kama Jahazi.

Wagiriki walipoona mbinyo wakawatonya Jeshi la NATO kuwa Watanzania wanajifanya Wajanja na inawezekana wanaleta za Kibongo na watakuwa wamebeba Silaha kuelekea Libya. Jeshi la Nato upande wa Ufaransa Likaingilia Kati na Kuwafuata Watanzania na kuwaambia waseme wapi wanaenda na wajitambulishe Masikini Watanzania hawaelewi lugha ya Kifaransa wakauchubua tu kimya...! Bonju "G" baadae Gamutu puramalaka Rasta Dialo msosi Please.'' Wafaransa wakataka kuikamata Meli ya Tanzania basi kasheshe likaanza Meli za Uturuki za kivita zikaanza kuwasha mitambo ya Makombora basi Wafaransa wakaoana Tanzania is no Alone wakaawaacha ila wakawafuatilia na siku iliyofuata Cirkin Tanzania ikaelekea Libya ikatia Nanga Bandari ya Misrata ikashusha na Mzigo wote.

Ufaransa imekasilishwa sana na Tabia ya Uturuki na imeishitaki Uturuki kwa Tabia walioionesha ya kuikingia Meli Iliyosheheni Silaha ambazo zimepigwa Marufuku na Umoja wa Mataifa ili kuzuia Mauaji ya watu wasio na Hatia nchini Libya.

Nayo Uturuki imeitaka Ufaransa kuomba radhi kwani ingesababisha kichapo cha huku na kule wakati wote ni wanachama wa NATO. Ufaransa imeona ijitoe baadhi ya sehemu inazolinda kuzuia Silaha zisiende nchi ya Vita ya Libya.

Je Watanzania wanasimamia upande Gani? Masikini Libya... Erdogan sio Rafiki atatutia MATATIZONI nashauri hiyo Meli inyang'anywe Bendera yetu ya Nchi ya amani.

Back on June 7, 2020, a Tanzanian-flagged cargo ship, the Cirkin, quietly departed a Turkish port and set sail toward the Libyan port of Misurata.

No one is absolutely certain what its 5,800 tons of cargo was, but it’s safe to say it probably wasn’t carpets.

No, that wouldn’t require the three Turkish warships who escorted the Cirkin on its four-day, 1,000 nautical mile journey. It was almost certainly carrying military equipment for the Libyan army under the command of the Government of National Accord (GNA), in contravention of the UN-imposed arms embargo.

Things started to go wrong three days later, when a Greek helicopter, operating from a Greek frigate, the Spetsai, approached the ship and requested permission to land a boarding party for the purpose of inspecting it. The Spetsai and its helicopter were operating as part of Operation Irini, an effort in the Mediterranean undertaken by the European Council to enforce a UN arms embargo on Libya. Cirkin’s Turkish escorts rejected the request.

Turkey demands apology from France for warship incident amid heated dispute over Libya embargo violations

Turkey demands apology from France for warship incident amid heated dispute over Libya embargo violations

The Spetsai withdrew and monitored the Cirkin from a distance. Shortly afterwards, the cargo ship turned off its transponder.
A French frigate, the Courbet, operating as part of Operation Sea Guardian, a NATO maritime security operation, was then informed by NATO that the Cirkin was possibly carrying arms in violation of the UN embargo.

After the Cirkin failed to identify itself to the Courbet, and refused to divulge its final destination, the Courbet sought to board the vessel. At this point, one of the Turkish frigates illuminated the Courbet three separate times with its fire control radar, an indication it was intending to engage its weapons systems.

The Courbet withdrew, and the next day the Cirkin arrived in Misrata, where it discharged its cargo.

J’accuse
France has condemned the Turkish actions and filed an official complaint with NATO; a subsequent investigation by NATO was deemed to be “inconclusive,” although the details remain classified. For its part, Turkey has demanded an apology from France. In response, France has withdrawn its forces from Operation Sea Guardian, and demanded that NATO take seriously the task of enforcing the UN arms embargo on Libya, an act that would put it at conflict with Turkey, a NATO member.

This is where the incident becomes murky – it appears that Operation Sea Guardian lacked any NATO mandate to operate in support of Operation Irini, and that the decision to interdict the Cirkin was taken unilaterally by France, void of any NATO authority.

In the days following the June 10 incident, the European Union appealed to NATO to authorize ships assigned to Operation Sea Guardian to operate in direct support of Operation Irini’s Libyan embargo enforcement mission. However, such authorization would require the unanimous consent of all of NATO’s members, making any such authorization impossible given Turkey’s inevitable veto.
Jifunze kuelewa kidogo, kuna tofauti ya meli ya Tanzania na meli iliyosajiliwa Kwa Bendera ya Tanzania, jaribu kujifunza kidogo usajili Wa meli Kwa bendera za nchi nyingine, hiyo haimaanishi hiyo meli ni ya nchi inayopeperusha hiyo bendera Bali huo ni usajili tu!
 
Back
Top Bottom