Nani aliyewaambia na kuwadanganya hawa Wahubiri kuwa abiria wa mabasi ya mikoani ni wakosaji, mapepo na tunahitaji kuhubiriwa nao tukiwa safarini?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Uko zako ndani ya Basi la Mikoani na kwa bahati nzuri unaweza kukuta ama umebahatika Kukaa na Mrembo Kiti Kimoja na unaanza zako Kumuingizia Voko zako au labda Kondakta wa Basi husika ameweka Sinema Moja Kali na Matata yenye iliyo na Mvuto halafu unakuta katikati ya Safari kuna ama Abiria Mwenzenu au Mtu anapanda ndani na Kuanza Kuhubiri tena kwa Makelele makubwa tu.

Hivi nyie Wahubiri mmeambiwa kuwa Sisi Abiria akina Mzukulu hatumjui Mungu? Mbona katika Ndege / Meli / Treni hampandi Kuhubiri hivyo?

Mnakera sana Wanafiki wakubwa nyie. Na Siku zingine muwe na Adabu mjue kuwa siyo Abiria wote huwa ni Wakristo tu bali kuna Waislamu pia.
 
Kinachonikera ni uwongo wanaotumia mwingi(Mwingine mara hoo nimeacha kazi flani nimeamua kumtumikia Mungu Wakati hakuna lolote. Siku moja nilimfuma mmoja nlosoma nae akalamba F zote form Iv na namfaham fika namkuta kwenye gari anahubiri alishawahi kuwa meneja wa benk eti sauti ya bwana ikamwambia aokoke.

ALAFU WANAJAZA WATU HOFU SANA.
Anaaza taja taja ajali zilizowahi toke kiasi kwamba kama huna imani yakutosha unaeza ona ndo unaenda kufa. Sababu ya kujaza hofu watu ni ili ukifia muda wa kutaka sadaka utoe kubwa.
 
FB_IMG_1593089368254.jpg
 
Mimi huwa nahubiri sana kwenye mabasi ya Dar to Mbeya, na nashukuru sana wananipa sadaka na maisha yanakwenda vizuri. Hujawahi kuniona na suti yangu nyeusi? Na sauti nzito? Na shati langu la zambarau?

God is good all the time, tubuni mkaokoke, mabasi yote ninayoombea huwa hayapati ajali wala kukamatwa na askari
 
Waache wahubiri injili wewe usiependa weka ear phone au pamba masikioni mwako.
Suala la kuwapa sadaka ni uamuzi wako tu utoe au usitoe.
Wengine tunabarikiwa na mahubiri yao.
 
Waache wahubiri injili wewe usiependa weka hear phone au pamba masikioni mwako.
Suala la kuwapa sadaka ni uamuzi wako tu utoe au usitoe.
Wengine tunabarikiwa na mahubiri yao.

Mpumbavu huwa anabarikiwa?
 
Mimi huwa nahubiri sana kwenye mabasi ya Dar to Mbeya, na nashukuru sana wananipa sadaka na maisha yanakwenda vizuri. Hujawahi kuniona na suti yangu nyeusi? Na sauti nzito? Na shati langu la zambarau? God is good all the time, tubuni mkaokoke, mabasi yote ninayoombea huwa hayapati ajali wala kukamatwa na askari
umesahau na ile tai nyeusi unayovaaga 😂😂😂
 
Back
Top Bottom