Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,549
Nataka nikuulize wewe DC au RC au Polisi ambaye unawatishia watu kua utawakamata watakaofanya maandamano, maandamano ya amani yamezuiliwa na Sheria ipi?
Twafahamu kuwa wewe ni kada wa CCM na unatumika. Ufahamu kabisa kama ataumizwa au kuuawa Raia yeyote ambaye atatokana na maandamano haya mwenye kujibu ni wewe ICC na utaishia jela mzee wangu.
Unaposema watu wanachoma vituo vya mafuta na kuchoma matairi au maandamano ni ya vurugu, nani amesema hayo kama siyo unaongezea chumvi kuwatia watu hofu?
Kama viongozi wa vyama husika wamesema wataandamana kwa amani wewe inawazuia kwa lipi? Si usubiri huyo atakayechoma matairi au kituo cha mafuta umkamate?