maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Umofia kwenu wakuu, Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi unaanzaje kuwaza kuoa au kuolewa wakati hujui maana halisi ya ndoa?

    Hi, WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione kama unafuzu ndoa. Katoa majibu mafufu matupu, nikapata fursa tena ya mtarajiwa mwenza nae kaleta...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vivutio vya Tanzania kuwekwa kwenye jengo la Burj Khalifa ina maana gani kwa Taifa?

    Na Bwanku M Bwanku. Dubai pale Falme za Kiarabu (UAE) kwa sasa ni moja ya maeneo maarufu yanayotembelewa na watu wengi sana kila siku na kila mwaka. Kwasasa Dubai kunasifika ulimwenguni kote kwa Utalii wa hoteli, kupumzika, mikutano mikubwa ya Kimataifa, maonyesho na mikutano mikubwa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na umri huu sijui maana ya hii

    Pamoja na umri huu sijui maana ya hii Nawakaribisha kwa michango
  5. JamiiForums Tanzania "Fujo Isiyoumiza" Ni Code Name au nini maana yake kiusalama

    Kuna mtu anajiita "Bongo Zozo" na kaulimbiu yake "Fujo Isiyoumiza". Binafsi huyu mtu ananitatiza sana. Anafanya akili yangu iwaze na kuwazua beyond its ordinary scope. Hivi huyu Bongo Zozo ni nani haswa? Ana mission gani hapa nchini? Ni mzalendo kweli kwa nchi yetu ama ametake cover ili aweze...
  6. JamiiForums Tanzania Trump alikuwa kiongozi imara ndio maana Putin alivamia Ukraine kipindi cha Obama (2014) na anaendelea sasa kwa Biden

    Kipindi cha obama Russia iliivamia Ukraine wakajimegea mkoa wa Crimea. Kipindi hiki cha Joe Biden, Russia anaimega huko ukraine mikoa miwili Kipind cha Trump , Putin hakuthubutu. Kiukweli Obama na Bidden ni maraisi ambao wanapaishwa sana na media kuanzia magazeti mararufu kama New York Times...
  7. JamiiForums Tanzania Ni nani hasa huitumia ndege ya Rais wetu 5H- ONE Gulfstream G550 maana inaonekana ikizurula tu mikoani na kupaki Zanzibar?

    Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu. Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura...
  8. JamiiForums Tanzania Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

    Hapo vip!! Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani. Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Kamishna katika Utumishi wa Umma?

    Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna? Naomba kujua vigezo vinavyotumika kuwaita Makamishna?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Msaada, nini maana ya "Mahala ulipozaliwa"?

    Habari wanajukwaa, naomba moja kwa moja niende kwenye uzi mfupi wa hiyo swali kama linavyosomeka. Katika baadhi ya nyaraka mbalimbali ninazokutana nazo kama za kazini, NIDA, fomu za maombi ya kupigia kura, kujiunga na Chuo na nyaraka nyingine zinahozitaji kijua wapi ulipotoka au wapi...
  11. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kifupisho cha 'ndc' mbele ya jina la Nenelwa J. Mwihambi Katibu wa Bunge

    Wakuu nawasilimuni, Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho? Shukrani!
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona hamueleweki Watz, hii gesi mnayotaka kutuuzia Wakenya ina maana sio yenu?

    Kha! Hizi ni chokochoko bana, kwani gesi ya nani? Ha ha ha!!! Acheni tununue....
  14. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa: Nini maana ya Uchumi wa bluu, Je, ni muhimu kuhudhuria? Pata shule fupi

    Utangulizi: Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kikosi hiki cha Simba SC, nawashauri mashabiki wajiandae kisaikolojia maana hawatafika popote

    Takwimu za Asec mimosa ligi kuu mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi Huku upande wa simba mambo yako hivi. Morrison Lwanga- injury Chama Mugalu kibu denis- injury Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa. Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  17. JamiiForums Tanzania Wale wenye majina ya Kilatini joining muone maana ya majina yenu

  18. JamiiForums Tanzania Katika nchi ya kibepari kukaa kimya maana yake ni kukubali

    Wakati Marekani inaingia kwenye vita ya dunia, kwa mara ya kwanza ndio ikawa mwanzo wa kodi kwa raia wake sababu ikiwa ni kugharamia vita kama wanainchi wazalendo dhidi ya vitisho vya wa NAZ. Ajabu ni kwamba kodi zile zimeendelea kuwepo hata baada ya vita kuisha mpaka leo miaka mia imepita toka...
  19. JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha ya mwanadamu? Tunaishi ili iweje?

    Mungu akamuumba punda na kumwambia, “Utakuwa punda na kubeba mizigo ya kila mtu na utaishi miaka 40.” Punda akasema, "Kubeba mizigo ni sawa, lakini miaka 40 ni mingi kwangu, nipe miaka 30 tu." Mungu alitimiza matakwa yake. Mungu alimuumba mbwa na kumwambia, “Utakuwa mbwa na unachunga mali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

    Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao Shahidi: Ndiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…