maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkiacha urithi mkumbuke na ndugu zenu maana wanavyopambana kama wametafuta wao

    Zoezi la nduuugu wa marehemu kugombania mali limekua likiongezeka kila iitwapo leo Ingawa asilimia chache hufanikiwa ila wengi huteseka sana amahakaman Ushauri ukiona umeanza kuchoka wakumbuken na wadogo zenh maana mkifa wanakuja nammishale kama wametafuta wao na kufanya watoto kuteeeseka Na...
  2. JamiiForums Tanzania Ijue sheria ya wosia

    Wosia ni maandishi au maneno anayo ya tamka mtu akielezea taratibu za mazishi yake,warithi, wake baada ya kifo chake WOSIA KATIKA SHERIA YA KIMILA Wosia wa maneno ya mdomo lazima wawepo mashahidi wasiopungua wanne na wawili kati ya hao lazima wawe ndugu WOSIA KATIKA SHERIA ZA KISERIKALI wosia...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni mnikumbushe tena maana ya maisha

    Huenda mimi ni mmoja kati ya wale watu wanaosahau mambo haraka, kwa jinsi mambo yanavyosonga ni wazi kabisa nakosa maana halisi ya neno Maisha. Navurugwa na kupata mtungo wa maswali ndani ya kichwa change, nakosa majibu nabaki nakuna kichwa kwa mishangao mikubwa mikubwa. Unaweza kupata mgonjwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

    Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira. Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
  5. JamiiForums Tanzania Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

    Vipi wakuu. Ki ukweli inashangaza sana raisi wa nchi ambayo ina jeshi, polisi na serikali, lakini anakosa kupata habari za kiintelejensia kuhusu kile kinachoweza kumtokea mbeleni endapo atataka kutumia mamlaka yake kama raisi kupambana na mtu au nchi inayomshinda kila kitu. Najua fika kuwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wana uchu na Uroho wa madaraka ndiyo maana hawafanikiwi

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni watu wenye uroho na uchu mkubwa sana wa madaraka.ndio maana kwa kila jambo linalojitokeza mbele yao wao huangalia ni vipi watapata na kufaidika zaidi na kupata madaraka kiwepesi. kuliko kuangalia ni vipi wananchi watapata faida na kunufaika.ndio sababu huwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

    Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani.... Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe...
  8. JamiiForums Tanzania vijana msome mjaribu bahati ya ajira, mjiajiajiri / biashara, kuwa msanii au mwamichezo ni kundi halizidi watu elf 1 nchi nzima waliofanikiwa.

    >> MOVED <<
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

    Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake. Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano very active na baba wa mtoto wake ili kuwakeka karibu. Akimpenda sana bwana wake atazuia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

    Comrade Makonda hakuongea kwa bahati mbaya wala kukurupuka, aliongea ukweli mtupu. Freeman Mbowe, Ntobi, Salim Mwalimu, na Bonifas Mwita ni baadhi tu, ya watoa taarifa ndani ya Chadema. Imefika muda tuseme kila kitu kwa uwazi kwamba, Chadema ina wazalendo wachache. Wengine wote wachumia tumbo na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi hawajawekeza kwenye sekta ya Afya ndo maana wanaruhusu huu uhuni wa NHIF!

    Asalaam Aleykum. Ama baada ya salamu hizo, niangukie kwenye mada moja kwa moja. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taharuki kwa wanufaika wa mfuko wa NHIF mara baada ya watoa huduma za Afya upande wa hospitali binafsi na zile zinazomilikiwa na Taasisi za dini na mashirika yasiyo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuchambua Biblia, nini maana ya hiki kifungu?

    Mungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii? Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
  13. JamiiForums Tanzania Kuna jambo gani la maana umelibeba toka hapa Jamii Forums kwa 2023?

    Pamoja na JF kuwa platform ya kutuondolea stress ila pia imekuwa na mambo mengi ya kutujenga kwenye maisha yetu.Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya 2023 kuisha, Binafsi nimejibebea mambo yafuatayo kwa mwaka huu 2023 toka hapa JF; 1. JF ndo sehemu pekee kwa sasa ninapoweza kupata ushauri mzuri...
  14. JamiiForums Tanzania Asec schools wana jipya gani. Maana naona ime trend sana.

    Kuna shule nyingi zime simama shule kama Tusiime Zhabika St Ane Maria Fortune Sahara Abc school FOUNTAIN GATE ACADEMY GREENHILL PRIMARY SCHOOL MAJMAAL BAHRAIN PRIMARY STMAXIMILIAN PRIMARY SCHOOL - PS0202113 Ziko fire kwanini hawa Ask school wasumbue hivi??
  15. JamiiForums Tanzania Wakatoliki mmeniangusha sana ndugu zangu. Ina maana kweli mmekosa watu wa kubadilisha upepo wa papa?

    Poleni sana ndugu zangu wakatoliki kwa taharuki mliyo ipata baada ya kauli tata ya papa. Binafsi wala hata sioni threat ya maneno ya papa kwa ustawi wa kanisa katoliki duniani.. Wala sioni damage yoyote kwa kanisa katoliki. Na hii ni kwa sababu, maneno ya papa yana loop holes nyingi mno na...
  16. JamiiForums Tanzania Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  17. JamiiForums Tanzania Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye akili imeanza kuwaingia HAMAS maana sikuwa nawaelewa kwenye kuachia mateka kisha kichapo kinarudi baada ya wiki

    Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Caf hawajui logo ya Yanga au ni dharau?

    Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau? Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali...
  20. JamiiForums Tanzania Wengi bado hamjamuelewa Papa. Wengine tumeanza kumuelewa toka usiku wa manane, ndiyo maana tukafanya maamuzi haya

    Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit. Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…