Hatimaye akili imeanza kuwaingia HAMAS maana sikuwa nawaelewa kwenye kuachia mateka kisha kichapo kinarudi baada ya wiki

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,675
48,450
Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua wanachokilenga....yaani kuna dini inakufanya zombi hata akilini.

Hatimaye hao hao HAMAS wametia akili na kugoma suala la kuachia mateka eti halafu baadaye wanaendelea kupigwa, kama vipi wameomba aidha Israel iache vita kabisa....
=================

Senior Hamas official Ghazi Hamad tells Qatari broadcaster Al Jazeera that the terror group is not interested in releasing hostages just to get pummeled by Israel afterward, and appears to confirm the organization’s interest in reconciling with rival Fatah on Gaza’s postwar future, though it may not be mutual.

Hamad says a permanent ceasefire is the group’s “priority.”

“Israel will take the card of the hostages and after that they will start a new round of mass killing and massacres against our people,” he is quoted saying. “We will not play this game.”
 
Israel ni magaidi waliotukuka. Occupiers wanaolazimisha kukalia nchi ya watu.

Ni watu wanaotakiwa kulaaniwa kwa nguvu kubwa sana hao wayahudi. Ipo siku watafutwa kwenye hiyo ardhi na waPalestina kubaki na amani waliyokuwa nayo katika ardhi yao kabla ya uvamizi wa hao wakimbizi.
 
Waisraeli kwao wapi? Unaweza kutuambia asili Yao ni nchi gani?
 
Israel inakubali kusimamisha Kwa muda ili wale askari wa Hamas wanaotaka kutoroka warudi nchini kwao waondoke .Ni huruma kuwa tupeni mateka nyie watoto watoka nchi nyingine mnaona vita inavyoenda ondokeni tubaki na Hamas wazawa tu wa Palestina

Nchi nyingi zinajadiliana na Israel kuomba raia wao walioko Gaza waondoke of course huko ndani wamo Wapiganaji ambao wanalia kama mbwa kuwa tunataka kurudi kwetu.Israel anawaambia wangapi nipe mateka wangu mumechukua nisimamishe vita muondoke
Ndio maana wakitoa mateka Hamas kikiisha Kipindi vita inaendelea
 
Huwezi kutenganisha Uislamu na Shetani
 
Israel ni magaidi waliotukuka. Occupiers wanaolazimisha kukalia nchi ya watu.

Ni watu wanaotakiwa kulaaniwa kwa nguvu kubwa sana hao wayahudi. Ipo siku watafutwa kwenye hiyo ardhi na waPalestina kubaki na amani waliyokuwa nayo katika ardhi yao kabla ya uvamizi wa hao wakimbizi.
Kaka utafutika wewe, nchi zote waliotamka kuifuta Israel zina vita daily
 
Waisraeli kwao wapi? Unaweza kutuambia asili Yao ni nchi gani?
Hao ni wakimbizi wanaotanga tanga tu duniani. Hitler alipotaka kuwafuta wakasaidiwa na US na washirika wake wakaona Palestina ndio pakuenda kuleta vurugu.

Siku Palestina ikipata Hitler wake watakimbilia tena East Africa na ku claim kuwa ndio chimbuko la mababu zao maana ushahidi wa kisayansi unathibitisha kuwa binadamu wa kwanza aliishi East Africa.

Pathetic morons.
Kaka utafutika wewe, nchi zote waliotamka kuifuta Israel zina vita daily
Acha uzwazwa wewe. Huko Congo walitamka lini?
 
Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua wanachokilenga....yaani kuna dini inakufanya zombi hata akilini.

Hatimaye hao hao HAMAS wametia akili na kugoma suala la kuachia mateka eti halafu baadaye wanaendelea kupigwa, kama vipi wameomba aidha Israel iache vita kabisa....
=================

Senior Hamas official Ghazi Hamad tells Qatari broadcaster Al Jazeera that the terror group is not interested in releasing hostages just to get pummeled by Israel afterward, and appears to confirm the organization’s interest in reconciling with rival Fatah on Gaza’s postwar future, though it may not be mutual.

Hamad says a permanent ceasefire is the group’s “priority.”

“Israel will take the card of the hostages and after that they will start a new round of mass killing and massacres against our people,” he is quoted saying. “We will not play this game.”
Tunataka kuona mpaka sisimizi wa Hamas wanateketea.

Hivi maji bahari tunayasukuma lini?
 
Israel ni magaidi waliotukuka. Occupiers wanaolazimisha kukalia nchi ya watu.

Ni watu wanaotakiwa kulaaniwa kwa nguvu kubwa sana hao wayahudi. Ipo siku watafutwa kwenye hiyo ardhi na waPalestina kubaki na amani waliyokuwa nayo katika ardhi yao kabla ya uvamizi wa hao wakimbizi.
quran yenu inadanganya ? au hamuamin tena quran wala biblia?
 
Israel inakubali kusimamisha Kwa muda ili wale askari wa Hamas wanaotaka kutoroka warudi nchini kwao waondoke .Ni huruma kuwa tupeni mateka nyie watoto watoka nchi nyingine mnaona vita inavyoenda ondokeni tubaki na Hamas wazawa tu wa Palestina

Nchi nyingi zinajadiliana na Israel kuomba raia wao walioko Gaza waondoke of course huko ndani wamo Wapiganaji ambao wanalia kama mbwa kuwa tunataka kurudi kwetu.Israel anawaambia wangapi nipe mateka wangu mumechukua nisimamishe vita muondoke
Ndio maana wakitoa mateka Hamas kikiisha Kipindi vita inaendelea
Ndio umeandika nini sasa
Elimu Elimu Elimu
 
Back
Top Bottom