maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. Serengeti: Mkutano Maalum wa CHADEMA Watikisa

    Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL) sasa hapa chini ni Mkutano Maalum wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti , hebu jionee mwenyewe .
  2. PreGE2025 Tume yateua madiwani wanawake wa viti maalum watano

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake wa viti Maalum. Pamoja nae ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya...
  3. UVCCM Kagera watoa tamko kuhusu Taarifa ya Sintofahamu iliyotolewa na Emeltha Kente yenye Ujumbe Maalum kwa Rais Samia

    Kwenye Ujumbe huo, Emeltha alimpa Rais Samia siku 4 kutimiza kusudi la Mungu la Kinabii la kurudisha mali za wavuvi zilizopokonywa na Serikali, kuwatoa jela wavuvi waliopewa kesi za uwongo wakatumikie familia zao, wavuvi wavue kwa kutumia kokoro kwa nchi 4 hadi 5 na siyo nchi 6 kama ilivyo sasa...
  4. Kigoma Region Tanzania: Mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Kigoma na viunga vyake

    Uzi huu ni maalumu kwa wakazi na watu wenye asili ya Mkoa wa Kigoma na watanzania wote kwa ujumla. Utapata kushiriki habari na kuungana na marafiki wa Kigoma kupitia hapa. Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma basi Ubongo wako umeshakubeba kabla ya elimu yako (wewe ni wa tofauti...
  5. Rais Samia ashiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, Azania Front, leo Januari 21, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, katika Viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani jijini Dar...
  6. Uzi maalum wa kuwashauri CHADEMA katika wakati mgumu wanaoupitia. Wanahitaji faraja

    Hata kama wamemkabidhi akili Mbowe bado hawa jamaa ni ndugu zetu kwahiyo tunapaswa kuwashauri na kuwatia moyo kwenye wakati huu mgumu wanaopitia. Kiukweli kisiasa chama kikuu cha utoaji taarifa kina wakati mgumu... kimekataliwa kila kona hasa baada ya kutoa hoja zao zenye nia ovu kuhusu muswada...
  7. Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  8. Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia tarehe 03 Januari 3, 2024 (kipindi cha pili)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  9. Ufunguzi wa Mkutano maalumu wa baraza la Vyama vya Siasa 03 Januari 2024

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  10. Kufunga mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa - tarehe 3 na 4 januari, 2024 (Mgeni Rasmi: Doto Biteko)

    KUFUNGA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Doto Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion Centre - Dar...
  11. Ufunguzi wa mkutano maalum wa baraza la vyama vya siasa

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  12. Tangazo maalum kutoka bar, 2024 pombe basiiiii!

    Enough is enough.
  13. Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024

    MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani
  14. D

    Vipaji maalum Africa vs China

  15. Tafadhali kuwe na Programu Maalum ya kuwafanya Mabinti wanaomaliza Darasa la 7 na Form 4 wawe 'busy' kipindi wakiwa Wanasubiria Matokeo yao

    Wanangonoliwa na Wanaume hadi Huruma na wengi Wao hata ukiwaomba upite nao Barabara za Vumbi tupu ili tutokee Yombo Buza kwa Mpalange wala hawakatai na tena Siku zingine Wao ndiyo wanakumbusha Madereva tukuka wapite huko. Hali ni mbaya sana Wakuu hebu tuamkeni na tuje na Suluhisho ili kwa...
  16. Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass. Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi watu walivyo celebrity, na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya huko atapokuwa, au kuandika matukio yote...
  17. Wengi tulipoambiwa yuko kwa KAZI MAALUM hatukuelewa, ila kwa huu mtiririko hapa chini tutamwelewa vyema aliyetuambia hivyo

    KAZI MAALUM #1 (ULAYA) Mwambie Boss wako mwenye Machale ya Kukamatwa nasi atulipe Chetu haraka vinginevyo utakaa huku hata mwaka na Wajukuu zako Wanaokupenda walie mpaka Macho yao yawatumbuke sawa? KAZI MAALUM #2 (AFRIKA) Jengo Ndege Tai (JNT) ili kufunika hii Aibu kwa nchi na Taifa na...
  18. Wanajamiiforums mko wapi?

    Ni vizuri pale unapokosa kuona "uzi" wa mwana/wana JF katoka "ukumbi" huu tuliouzoea, tuulizane mko wapi? Mpo lakini mmetingwa na shughuli au mmetoka kabisa kwenye ukumbi JF? Mfano mzizimkavu, mwifwa, emmyta na wengine wengi mpo?
  19. Kipindi Maalum Leo Mchana Saa 8: Julius Nyerere Alivyochaguliwa Kuwa President wa TAA 1953

    KIPINDI MAALUM LEO MCHANA SAA NANE TBC1: JULIUS NYERERE ALIVYOCHAGULIWA KUWA PRESIDENT WA TAA 1953 Katika historia ambayo haifahamiki kabisa ni vipi Julius Nyerere alichaguliwa kuwa President wa TAA mwaka wa 1953 nafasi aliyogombea na Abdulwahid Sykes katika Ukumbi wa Arnautoglo...
  20. Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…