maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole naye ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili?

    Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili. Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression? Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Spika atishia kuwaita IGP Siro, AG, na waziri M.Ndani kamati ya maadili kwa kushindwa kushughulika na Gwajima

    Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power. Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia, amewafukuza Makamishina wa polisi kwa kukiuka maadili ya kazi zao wakati wa Lungu

    Swali: 1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote? 2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa? 3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Bodaboda zinachangia kumomonyoka kwa maadili

    Wakuu, Biashara ya bodaboda imekuwa mkombozi kwa kurahisisha usafiri katika maeneo mengi nchi hii, mijini na hata nje ya miji. Lakini pia imekuja na mambo mengi maovu, kama vile kutumika katika ujambazi na unyang'anyi ukiachilia mbali ajali nyingi zinazosababisha ulemavu wa kudumu hata vifo...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kila anayeusema ukweli kuwa Bunge ni dhaifu, itafsiriwe kuwa amelidhalilisha Bunge na kuitwa kwenye Kamati ya Maadili?

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemuhoji mbunge Jerry Slaa, mbunge wa Ukonga, kwa tiketi ya CCM, kutokana na amri iliyotolewa na Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai, kwa madai kuwa amesema uongo na kulidhalilisha Bunge hilo! Ikumbukwe kuwa mbunge Jerry Slaa, siku chache zilizopita...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jerry Silaa kuingia na Sanduku la Vitabu kwenye Kamati ya Maadili inaleta tafsiri gani?

    Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano. Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa...
  7. mshale21

    JamiiForums Tanzania Nyasa: DC Kanali Laban Thomas aagiza polisi kuwakamata wanaovaa nguo fupi na "milegezo"

    Mkuu wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Kanali Laban Thomas, amepiga marufuku mavazi yasiyo na staha ikiwemo vimini na suruali za milegezo wilayani kwake na amemuagiza Mkuu wa Kituo cha Polisi wilaya ya Nyasa, kuwakamata na kuwachukulia hatua wale wote watakao vaa mavazi ya namna hiyo. Kauli...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kutoka BASATA: Mwongozo Mahsusi wa Uzingatiaji wa Maadili Katika kazi za Sanaa

    Heading inahusika kama ilivyo. Lakini kwa mtazamo wangu hili jambo linaenda kuibua mjadala mkubwa huko mbeleni. Najaribu kuweka link ya rasimu ya Kanuni hizo. Mnaweza kupeleka maoni kabla kisu hakijawekwa ======= Simu: 255 22 2863748 Barua pepe: info@basata.go.tz Tovuti: www.basata.go.tz...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Dini muarobaini wa mmomonyoko wa maadili na utovu wa nidhamu mashuleni na vyuoni

    Kutokana na kuporomoka kwa MAADILI na utovu wa nidhamu ulio kithiri mashuleni,vyuoni na jamii kwa ujumla ni wazi sasa serikali inalazimika kuliweka Somo la ELIMU YA DINI mashuleni na vyuoni kuwa ni LAZIMA kama njia ya kupambana na CHANGAMOTO hizi ELIMU YA DINI hili ni Somo ambalo litakuwa...
  10. mama D

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Misiba, Maziko na Maombolezo zimeanza kupoteza maadili ya asili na imani zetu, Utu na Ubinadamu katika jamii

    Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
  12. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania Taifa letu limeoza kwa kukosa maadili na tutaona mengi sana

    Wana JF, Mwaka 2020 ulikuwa mwaka wa uchaguzi mkuu. Mambo yalifanywa na viongozi wetu yanaonyesha kwa kiasi kikubwa suala la maadili katika nchi yetu limepigwa teke. Taifa liimeoza kabisa. Uozo umeanzia kwenye kiini. Kuna mambo ambayo pengine hayatakushangaza iwapo yatafanywa na wakora mtaani...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Maadili ya Uongozi: Naibu Waziri Abdallah Hamis Ulega, hapa ulikuwa unamaanisha nini?

    Wanajamvi, Nimeshangaa na Kushituka kusikia sauti ya Naibu waziri wizara ya Mifugo na uvuvi (MUV) Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Hamis Ulega akiongea mambo ya ajabu bila hata kuhofia vyombo vya dola Nikajiuliza Maswali mengi. Je, Maadili ya Viongozi yameishia wapi? Je Siasa za...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM: Hatua zichukuliwe kwa wale wote wanaokiuka mienendo, taratibu na kanuni za maadili na uongozi kwa mujibu wa katiba ya Chama

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imempongeza Rais...
  15. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Huyu ndiye Kiongozi tunayemtaka Watanzania

    Duniani ni sehemu mzuri sana kuishi kama sisi wenyewe tutaifanya dunia kuwa salama kwa ajili ya maisha yetu wenyewe. Hata hivyo hatuwezi kuishi kiholela, isipokuwa inatulazimu wawepo baadhi yetu watakao simamia mambo yetu na kutuwakilisha katika baadhi ya mambo. Watu hao ni viongozi na watawala...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuoa Msabato

    Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo; 1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000. 2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu...
  17. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania SoC01 Viongozi acheni ubinafsi, mnamchukiza Mungu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini siwafichi kazi ya kulijenga taifa hili itaendelea kuwa ngumu, ngumu haswa kama viongozi hamtaacha ubinafsi. Nasisitiza tena, taifa hili halitasonga mbele kama viongozi hawataacha ubinafsi. Nchi hii ina utajiri mkubwa sana wa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

    Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu. Mytake : NI AIBU...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

    Taarifa zaidi zitawajia hivi punde ===== Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 . Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Misingi mikuu ya maadili ya viongozi wa umma

    MISINGI MIKUU YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA i) Kufanya kazi kwa uadilifu, uaminifu na kujali; ii) Kujizuia na tamaa na kujiheshimu; iii) Kujituma na kutekeleza majukumu kwa umahiri kufuatana na misingi ya kitaaluma; iv) Kufanya kazi bila upendeleo; v) Kutoa Tamko la Rasilimali na Madeni; vi)...
Back
Top Bottom